Friday 19 April 2013

Re: [wanabidii] Mlipuko wa Mabom Boston, Bendera ya Tanzania inapepea kwenye eneo la tukio

Duh........inaoenekana jamaa kabanwa kweli kweli maana hata humu sijamsoma muda mrefu

2013/4/19 mejah mbuya <mejaah@gmail.com>
Nilkuwa boston jana sijasikia mtanzania yeyote kuwepo wala  kupata madhara na sikubahatika kuona bendera ya tanzania mahali pale...nilikuwa kwenye eneo la tukio muda mfupi kabla ya kumalizika kwa mbio ila ilinibidi kuwahi kutoka kuwahi mahojiano na radio na chuo cha MIT.

Ndugu yetu Chambi Chachage yeye anasoma havard anaweza kutupa uhakika zaidi..ila pia nilisikitika kawni nilimfahamisha nipo MIT kwa takribani siku 10 lakini hakujibu hata email yangu..hayo ndiyo maisha ya kimagharibi...unafanyishwa kazi hadi hata muda wa kuonana na wa nyumbani unakuwa hauna..

On Fri, Apr 19, 2013 at 6:00 PM, JPM <jmataragio@yahoo.com> wrote:
Hakukuwepo na bendera ya Tanzania, angalia vizuri, kuna bendera inafanana na ya Tanzania na siyo ya Tanzania.

From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Fri, April 19, 2013 3:36:38 AM
Subject: [wanabidii] Mlipuko wa Mabom Boston, Bendera ya Tanzania inapepea kwenye eneo la tukio

Mlipuko wa Mabom Boston, Bendera ya Tanzania inapepea kwenye eneo la tukio. Kuna taarifa za ushiriki wa Watanzania katika mbio zile za Marathon? Je, kama wapo watanzania kuna riport yeyote inayoonyesha kwamba wapo salama? Na kama hakuna washiriki wa Kitanzania, ni kwa nini bendera yetu iwepo pale?
Tazama video hii utaona Bendera yetu ikioepea.
http://goldentz.blogspot.com/2013/04/picha-za-walipuaji-mabobu-boston.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment