Friday 19 April 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Fwd: Fw: Strengthening the operations of Warehouse Receipt System in Tanzania

Duh Asante sana, wiki ya kwanza ya Mei nitakuwa shinyanga nakutana na wakulima zaidi ya 50 nitawapitisha katika dodoso na umenisaidia sasa kupata miongozo ili nipanue uelewa wangu kuhusu huyu mdudu...Ila huu mfumo wa kupata maoni mbona umedhani kuwa wakulima wote wana-laptops ? Hivi hawa jamaa wanataka maoni ya wakulima wa aina gani? 


On 19 April 2013 18:11, GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com> wrote:


---------- Forwarded message ----------
From: George Mboje <mbojegeorge@yahoo.com>
Date: Fri, Apr 19, 2013 at 8:06 AM
Subject: Fw: Strengthening the operations of Warehouse Receipt System in Tanzania
To: GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com>, "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>


 Fursa hii kwa wadau kutoa maoni yao

George Jackson Mboje,

Cell: +255 754 816 812
Skype: georgemboje

 
 
 
 

----- Forwarded Message -----
From: "tanzania_warehouse_licensing_board@wrs.go.tz" <tanzania_warehouse_licensing_board@wrs.go.tz>
To:
Sent: Thursday, April 18, 2013 11:57 PM
Subject: Re: Strengthening the operations of Warehouse Receipt System in Tanzania


Dear Sir/Madam
Tanzania Warehouse Licensing Board (TWLB) through its project aims at
strengthening the operations of Warehouse Receipt System in Tanzania
through the Warehouse Receipt Act No.10 of year 2005 and its Regulations
of year 2006. Being one of the key stakeholders, please give us your
views and recommendations that you will need to be included in the
improvement of the Warehouse Receipt System through its Regulation and
Operation Manual. In doing so please fill the questionnaire obtained by
clicking on the following link below:
Please note the deadline is 24th April, 2013

http://www.wrs.go.tz/online_comments/index.php


Ndugu Mdau wa Mfumo,
Bodi ya Leseni za Maghala Tanzania kupitia mradi wake inakusudia
kuimarisha Mfumo wa Stakabadhi za Maghala kupitia Sheria ya Stakabadhi
za Maghala Na. 10 ya Mwaka 2005 na Kanuni zake za mwaka 2006. Tunakuomba
wewe kama mdau wa mfumo kuleta maoni na mapendekezo yako
yatakayohusishwa katika kuboresha Kanuni za Stakabadhi za Maghala na
Mwongozo wa Utekelezaji "Operation Manual". Kwa kufanya hivyo tafadhali
jaza dodoso linalopatikana kwa kubofya hapo chini:
Tafadhali mwisho wa kutuma maoni ni tarehe 24/4/2013

http://www.wrs.go.tz/online_comments/swahili.php



Yours faithfully,
Nicolaus Kaserwa.
Project Manager
TWLB - SWRS PROJECT
P.O.Box 38093,
Tel: +255 22 212 8691
Fax: +255 22 212 8692
Mobile: +255 655 112 229




--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 



--
___________________________________________
Executive Director
Actions For Democracy and Local Governance (ADLG)
P.O.Box 1631
Mwanza
Tanzania
Cell: +255 754 388 882

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment