Wednesday 27 March 2013

[wanabidii] UJUMBE HUU NDIYO SABABU YA MY 2nd BAN


Message From CHAMBI,THAT LED TO MY BAN
Chambi Chachage
Mar 25 (2 days ago)
to mabadilikotanz.
Swahili
English
   
Translate message
Turn off for: Swahili
Utata mtupu! Eti mtu usiwe kijana. Tena uwe chuoni nchi za watu. Halafu jina lako mtandaoni lisionekana sehemu yoyote zaidi ya Mabadiliko/Wanabidii. Kha!


Kabla Chambi hajasema lolote,niliingia humu na nikakaribishwa hadi kutaka Kupewa mke...ha ha ha ha ha!Baaday nikamuona Chambi anachangia kwenye mijadala,nikasema moyoni leo ndiyo mwisho wa kushangilia.Na kweli bwana,kama mchezo mchezo tu...nikaona hiyo message juu hapo...WE..thubutu...Kila nikituma mawazo...Automatic system blocking....hadi na zungumza hivi siko ndani.
1.Nimewakosa wanajumuia
2.Nimemkosa Leila ha ha ha ha ha!
3.Wanajumuiya wamekosa mawazo kutoka kwangu
4.Nimepata jibu la yafuatayo
-Baada ya kufungua Post za zamani nimegundua kuwa kwa sasa Michango na Post za Chambi Kuhusu VATICAN na KANISA KATOLIKI watu hawachangii...kuanzia pale nilipowaonyesha na kuelezaea hatari ya Post zake.Recently amePost kuhusu Uhusiano wa Vatican na Tanzania hakuna aliyechangia na nyingine ambazo nimezisahau.
Hivyo,basi Chambi ana mkono wake hapa.Na pia hiyo sentensi aliyotuma hapo inaonyesha ameisha nitafuta kwenye mitandao ya Chuo akanikosa hivyo amewaambia walimtuma kuwa siko huku maana kwenye website za huku simo.

MASWALI:Je,anajua Chuo au sehemu nilipo?Au,anakumbuka jinsi alivyowapa habari za vijana wawili wa kitanzania waliopo Harvard nao akawakosa?Si kila kitu kitawekwa kwenye mitandano
Pia,je anafahamu mie nina umri gani?Na kwa nini niko huku?Na,lini?Chunguzeni hii elimika yake ya kutafuta kila kitu kwenye mtandao.Mengine ni kutumia tu UTU NA WEMA kumtambua NIA na MALENGO.

CHAMBI NI JANGA....Angalieni sana.Akipost masuala mengine please kabla ya kuchangia angalia mara mbili tatu ndipo uchangie.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment