Sunday 3 March 2013

[wanabidii] Re; Taarifa ya UDASA kwa vyombo vya habari kuhusu Udini nchini

Mpendwa Paul,

Ningependa nikujibu kwa Kiswahili, huenda labda Kiingereza changu kibovu hata kama ndo nakifundisha hapa chuoni. Hiyo slagon hapo ni ya kifalsafa zaidi kuliko lugha kama unavyofikiri. Nitaendelea kusema kuwa haina makosa na hata siku moja sijutii kuwa mtanzania wala sijisikii unyonge kuwa mtanzania. Nianchosema ni kwamba sisi binadamu tunazaliwa kwa njia za kibayolojia ambazo mwenyezi Mungu aliziweka zikiwa za namna moja kwa wanadamu wote. Hakuna kutungwa mbimba kwa misingi ya dini, kabila au elimu nk. Kwahiyo tunazaliwa kama binadamu huru kabisa ila tukishakuja duniani ndipo mambom mengine ya dini, lugha na utamaduni huja kwa njia ya wazazi wetu. Mimi ningezaliwa Kenya na wazazi hawa wangu na kukulia kule ningekuwa na lugha na utamaduni wa kule; hali kadhalika ningezaliwa Ghana na wazazi hawa ningekuwa na lugha na utamaduni wa ghana. Sasa hizi tofauti zinazotakana na mazingira kifalsafa huitwa 'accidents' na si tafsiri uliyokuwa nayo wewe ya ajali au kasoro. Sikumaanisha kasoro hapa ila nilimaanisha haya ni masuala ambayo sisi kama binadamu hatupaswi kuyaona ni sehemu ya ubinadamu wetu kwa njia ya kuumbwa navyo, yaani kifalsafa ndo tunaita 'essences'. Kwahiyo istilahi za accidents na essence si kama ulivyoelewa. Unaposema mimi na wewe sote ni binadamu sawa na yule aliye ulaya au asia au marekani si dini zetu, lugha au rangi au tamaduni bali ni ile hali ya sisi sote kuwepo duniani kwa njia moja tu ya kibayolojia ambayo Mungu aliiweka tangu kuumbwa kwa dunia na njia hiyo ndiyo asili ya ubinadamu wetu, yaani 'the essence of our humanity', mengine yanayonitofuatisha mimi na wewe ndo ni 'accidents'. Kwahiyo usimbague mwanadamu mwenzako kwasababu hana lugha sawa na wewe, au dini sawa na wewe au utamaduni sawa na wewe. Asante sana.
 
Mr. Faraja Kristomus
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135

"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".

From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 3 March 2013, 10:09
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya UDASA kwa vyombo vya habari kuhusu Udini nchini

Brother Paul,be of settled mind.I did as you did,just check your post and not Farajas.I did not even intend to offend you let alone to criticize negatively what you said.but as a philosopher,was not content with your observations,thats all.proceed as if my opinion were not there.hope this gives you more peace.As of our president in potency HKigwangallah,I reserve my comment

On Sun, Mar 3, 2013 at 9:31 AM, <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
Paul,

Don't take Ludovick seriously, he is a man of jokes most of thee time!

HK.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Paul Liyai <pauliyai@yahoo.com>
Date: Sat, 2 Mar 2013 22:26:59 -0800 (PST)
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya UDASA kwa vyombo vya habari kuhusu Udini nchini

What do you mean- I for one did the same? What did you do the same?

From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, March 3, 2013 1:07 AM
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya UDASA kwa vyombo vya habari kuhusu Udini nchini

I for one did the same.thanks

On Sat, Mar 2, 2013 at 8:30 PM, Paul Liyai <pauliyai@yahoo.com> wrote:
Brother Joseph Ludovick,
With due respect sir, I did not refute what Faraja was saying. My problem was with the use of words and I tried to explain how I understood the phrase he put as his slogan and not the entire UDASA declaration. For your information, I have specifically said my writing was not in responce to the Taarifa but to the statement here below;

"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking,
I do not know exactly what your problem is because when I write I never write to critique, If I want to critique I would state so. If you have problems with my interpretation of the said stetement feel free to write and give your view because it is equally important. Or you can easily post a comment on my blog    http://pauliyai.blogspot.com/
God bless you.
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment