Friday 1 March 2013

[wanabidii] Re: GAZETI LA MWANANCHI LAONGOZA TANZANIA

Ahsante kwa maoni yako ndugu balile nataka kuandaa ya magezeti ya wiki
pekee tuone itakuwaje na pia kama unataka kuweka poll zinazohusu
masuala yako ya uandishi nijulishe blogu inatembelewa na watu zaidi ya
alfu 15 kwa tanzania pekee kila siku .

On Mar 1, 4:23 pm, Deodatus Balile <deobal...@yahoo.com> wrote:
> Yona Maro,
>
> Pamoja na salaam nyingi za dhati za gazeti la JAMHURI linalotoka kila Jumanne alfajiri sana kuliko yote na vitu vizito ndani yake, nilipokwenda kwenye orodha ya magazeti sikulikuta. Nilidhani tunawagaragaza hata Mwananchi (unacheka). Ebu tutie kwenye kinyang'anyiro ili hata tukipata kura 2 tupime upenyevu wetu.
>
> Najua Mungu anakupenda na kwa mapenzi yake utatekeleza ombi hili. Ahahahahaha....
>
> Balile
>
> Dar es Salaam, Tanzania
> deobal...@yahoo.com
> 0713404827/0784404827
>
> UNITED WE STAND, DIVIDED WE FALL
>
> --- On Fri, 3/1/13, Joseph Ludovick <josephludov...@gmail.com> wrote:
>
> From: Joseph Ludovick <josephludov...@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] GAZETI LA MWANANCHI LAONGOZA TANZANIA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, March 1, 2013, 12:23 AM
>
> Mbona uhuru halipo au lenyewe ni la udaku?
>
> 2013/3/1 Yona Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> Ndugu Zangu
>
> Niliweka Poll kwenye blogu ya kazibongowww.kazibongo.blogspot.comkuhusu usomaji wa magazeti na kuweka magazeti karibu yote ya kiswahili yanayosomwa Tanzania na Mpaka sasa Gazeti la mwananchi limeonekana kupigiwa kura nyingi zaidi gonga http://poll.pollcode.com/r1q25i_result?v.
>
> Mnakaribishwa kwa ajili ya kupiga kura zaidi na hata kushiriki poll nyingine zinazoendelea kwenye blogu yawww.kazibongo.blogspot.com.
>
> --www.wejobs.blogspot.comJobs in Africawww.jobsunited.blogspot.comInternational Job Opportunitieswww.naombakazi.blogspot.com
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment