Friday 1 March 2013

[wanabidii] Rais amekiuka amri yake- Meya ilala

wakati wadau wa soka wakilaani kitendo cha Manspaa ya ilala kutwaa uwanja wa kidongo chekundu na kuugeuza soko la magari na parking  Meya wa Manispaa hiyo amedai kuwa 'tunac maelekezo maalumu kutoka kwa rais.

akizu ngumza na shirika la habari Tanpress, Meya Silaa amejaribu kutetea hoja ya kybadilisha matumizi ya uwanja wa kidongo chekundu kinyume na agizo la Mwenyekiti  wake wa ccm, Rais jakaya kikwete ambaye alitamka kuwa viwanja vya wazi viwachwe wenye nia ya kucheza wacheze.

taarifa rasmi ya namna uwanja huo ulivyo geuzwa na uchunguzi wa tanpress jinsi walimu wa shule ya gerezani ,S/M NA DAR ES SALAAM SEC PAMOJA NA GEREZANI SECO WANAVYOLALAMIKIA KUSHINDWA KUSHIRIKI UMISETA NA UMITASHUMITA YATAWAJIA HIVI PUNDE www.mobinday.blogspot.com 

0 comments:

Post a Comment