Saturday 2 March 2013

Re: [wanabidii] Tume ya kuchunguza matokea ya kidato cha nne

Just waste of time and money, in short it is a means of stealing
walalahoi's money . Mbona haijaundwa tume ya
kuchunguza vifo vya wagonjwa wanaoshindwa kulipia gharama za kupimwa
na kununua dawa? Mbona haijaundwa
tume ya kuchunguza ukosefu wa maji safi na salama kwa watanzania
waliopo mijini na vijijini? Hivi mtu akishindwa
kutimiza majukumu yake tunahitaji kumuundia tume? Tume ya kweli
kuchunguza hili ni watanzania wenyewe kuwachunguza
viongozi waliowapa dhamana kwa ahadi ya kuboresha huduma hizi si
vinginevyo. Haiwezekani mtuhumiwa akajiudia
tume ya kujichunguza yeye mwenyewe. Ni nani ameunda tume na kwa ajili
ya nani? Hivi serikali haina mechanism ya
kutathimini utendaji wake hadi itutangazie kuundwa kwa tume? Ama kweli
asiye na macho haambiwi tazama

On Sat, Mar 2, 2013 at 9:34 AM, ezekiel kunyaranyara
<ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
> Mimi sioni kwamba ni lazima wawemo katika tume wanafunzi walioferi,
> isipokuwa kama hawatahojiwa hapo ndipo naweza kufikiri kwamba tume haitakuwa
> imepata majibu sahihi kutoka kwa watu sahihi.
>
> K.E.M.S.
> From: abdulkarim faraji <abdufaraji@hotmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Friday, 1 March 2013, 7:22
>
> Subject: [wanabidii] Tume ya kuchunguza matokea ya kidato cha nne
>
> Leo nimesoma kwenye Michuzi Waziri Mkuu anakutana ta tume ya kuchunguza
> matokeo mabaya ya kidato cha nne.
> http://issamichuzi.blogspot.com/2013/03/waziri-mkuu-kukutana-na-tume-kuchunguza.html
> Ukiangalia members wa tume utaona haishirikishi waalimu wala wanafunzi
> waliofeli. Kama serikali inataka majibu ya kweli, tume ni lazima ijumuishe
> wanafunzi na waalimu pia. Otherwise PM atapata majibu ambayo yanalenga zaidi
> kutetea position za members. Everyone will try to cover their own ass.
> Ukitaka kujua kwanini mwanafunzi amefeli, pamoja na wengine inabidi pia
> umuulize anaefundisha na anaefundiswa directly.
>
> wengine mnasemaje?
>
> Karim
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment