Friday 1 March 2013

Re: [wanabidii] Re: : Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???

Ngupula,
Naomba ujibu nilichokuuliza ndugu yangu hayo mengine tena unapata wapi unaanza tena na suala la takwimu umelipata wapi wakati tulipo litaka kwenye Sensa mliingia mitini.





Walewale.



From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, March 1, 2013 3:47 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: : Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???


chamani,sio tu kama Nyerere alikataa,hata leo hii angefufuka  asingeruhusu nchi hii iendelee kujadili jambo lisilo na tija na lenye kuleta msigano kama hili.huwez ukawa unazungumzia umoja wa kitaifa halafu unaipeleka nchi ikajiunge na jumuiya ambayo asilimia zaidi ya 50 ya wananchi wake hawaafiki malengo na maazimio ya jumuiya hiyo.Ngupula

------------------------------
On Fri, Mar 1, 2013 13:59 EET amour chamani wrote:

>Ngupula.
>Nikumbushe ni wapi na lini Nyerere alikataa OIC tafadhali.
>
>
>
>
>
>Walewale.
>
>
>
>
>________________________________
> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Wednesday, February 27, 2013 4:32 PM
>Subject: Re: [wanabidii] Re: : Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>
>
>bwana yona,suala la Oic hata nyerere alilikataa,msimamo gani tena zaidi ya kulifuta jambo hili lisiwepo ktk rula ya tanzania?na pia,uraia wa nchi 2 una shida gani?suala ni kwamba mtu anaruhusiwa kuwa raia wa nchi mbili lakin kwa kufanya hivyo unakuwa huna sifa hata moja ya kuwa kiongozi wa umma au shirika la umma.What is the problem.Unngoz ni kipaji,kama unacho wala huitaji kutumia misuli kuongoza watu wapole kama watanzania.Ngupula
>
>
>
>------------------------------
>On Wed, Feb 27, 2013 15:04 EET Yona F Maro wrote:
>
>>Tunahiraji viongozi wenye msimamo yao kuhusu masuala magumu kwa taifa
>>kama hilo la OIC na lile la Uraia wa nchi mbili
>>
>>On Feb 27, 6:15 pm, denis Matanda <denis.mata...@gmail.com> wrote:
>> Yeyote anayesema kuwa ku-balance nafasi za namna hiyo  na dini ya mtu au
>> jinsia ni kitu kibaya ni mnafiki na asiyejua anachozungumza!
>>
>> Wewe unadhani kila mwananchi ana uelewa kama wangu na wako? Kwa nini Board
>> ya Parole ilivunjwa kipindi kile, kwa nini tuna-balance nafasi za Muungano
>> na hata nafasi kwa kuangalia usawa wa kijinsia? Yote haya mnaona ni ujinga?
>>
>> Utu uzima ni pamoja na kuona vilivyoandikwa na visivyo andikwa,
>> vinavyoonekana na visivyoonekana na trust me, kuna watu katika nchi hii
>> ambao kazi yao ni kuhakikisha hii delicate balance haiwi violated.
>>
>> Kwa hisia zangu kanuni hizi ambazo hazijaandikwa ndizo pengine ziliamua
>> Kikwete aingie 2005 badala ya 1995. Wenye uwezo wa kuunganisha nukta
>> watakuwa wanaelewa nguvu ya kanuni hizi za kificho................
>>
>> 2013/2/27 Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> > Yona,
>>
>> > Wewe sema tu, kwa hiyo kutokana na hizo fursa ndio tuvunje katiba?? Sema?
>> > Ni sawa kuvunja katiba kwa ajili ya hizo fursa?? Sema tuvunje katiba??
>>
>> > Selemani
>>
>> >  > Date: Wed, 27 Feb 2013 02:33:43 -0800
>> > > Subject: [wanabidii] Re: : Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> > Imekaaje???
>> > > From: oldmo...@gmail.com
>> > > To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> > > Kwa mfanyabiashara ukimwambia kuhusu OIC yeye atakukubalia moja kwa
>> > > moja kwa maana atapanua masoko ya bidhaa zake na ushirikiano zaidi na
>> > > watu wengine zaidi , kwa wanafunzi vile vile ni fursa za kusoma
>> > > kufanyakazi na utamaduni kwa wasanii na makundi mengine ya jamii ni
>> > > hivyo hivyo fursa kupanuka zaidi .\
>>
>> > > Kwanini sisi wengine tunaogopa OIC ? hatutaki fursa ?
>>
>> > > On Feb 27, 1:07 am, steven aloys <stevenaloy...@yahoo.com> wrote:
>> > > > Tatizo kubwa la watanzania ni unafiki na woga wa kufikiria na kutokuwa
>> > wakweli daima, kama kweli kuna mtu anafaa kuongoza taifa hili awe rais
>> > ajaye ni bora watu wakamtambua na kumjadili je anafaa kwa mahitaji ja taifa
>> > letu?
>>
>> > > > Tupate kwanza changamoto zote tulizo nazo ktk taifa letu then
>> > tuangalie mtu gani anafaa kuwa rais wa tanzania,ninavyojua kuna watu wengi
>> > wanataka kuwa rais hilo ni laisi pia ila watu wanao faa kuwa rais wa tz ni
>> > wachache muno.
>>
>> > > > --- On Tue, 2/26/13, Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com> wrote:
>>
>> > > > From: Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
>> > > > Subject: RE: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> > Imekaaje???
>> > > > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> > > > Date: Tuesday, February 26, 2013, 11:52 PM
>>
>> > > > Sawa Shedrack, ni kweli sio sera ya Chama, lakini chama kinaponyamaza
>> > na kutowakemea watu kama hawa matokeo yake ni nini?? Chama ni lazima
>> > kikemee tabia hizi na nyingine zote ambazo ni hatari kwa Taifa letu. Huyu
>> > ni mtu hatari. Anatakiwa kupingwa na kukemewe kila kona. Anachotaka
>> > kukifanya ni tuanze kuchaguana kwa misingi ya dini. Kila dini inachagua
>> > mgombea anayetoka katika dini hiyo. Huoni kama huyu mtu ni mjinga sana, na
>> > anayaweka mawazo haya katika mtandao bila woga. Ana ujasiri gani. Kwa kwei
>> > mawazo haya yameniharibia siku leo.
>>
>> > > > Date: Wed, 27 Feb 2013 07:43:48 +0000
>> > > > From: shedrack_maximil...@yahoo.co.uk
>> > > > Subject: RE: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> > Imekaaje???
>> > > > To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> > > > Sio sera ya chama kufanya hivyo ila ni mawazo ya watu wachache
>> > kufikilia kwamba lazima awe mwislamu au mkiristo badala ya sifa zake.
>> > Umesomeka Rehani ,Tupinge udini kwa nguvu zote kwani itatuharibu wote bila
>> > kujali chama
>>
>> > > > --- On Wed, 27/2/13, Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com> wrote:
>>
>> > > > From: Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
>> > > > Subject: RE: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> > Imekaaje???
>> > > > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> > > > Date: Wednesday, 27 February, 2013, 7:33
>>
>> > > > Shedrack,
>>
>> > > > Ndio, ninamueleza yeye haswa. Na ninarudia na kusisitiza tena. CCM ina
>> > ugonjwa ambao wanataka kutuambukiza wote. Wao wanaendesha chaguzi zao kwa
>> > mizengwe. Utamaduni huu unakuwa reflcted katika chaguzi hata za vyama vya
>> > michezo. Wanaambukiza gonjwa hilo katika jamii yote. Kwa nini hawaachi
>> > demokrasia ikachukua mkondo wake? kwa nini lazima waweke mizengwe? wao
>> > wamezoea mizengwe, sisi hatutaki, tuikatae. Maana wao wanaweza kusema
>> > hivyo, safari hii eti ni Mkristo kwa sababu aliyemaliza alikuwa ni Muislam.
>> > Wakifanya hivyo wanachochea udini, tuwakatae. Ndio wanaweza kufanya kama
>> > walivyofanya kwa nafasi ya uspika, eti wakasema safari hii ni ya
>> > Mwanamke!!! Hivyo wanaume wote wakanyimwa haki yao ya kikatiba. Na katika
>> > nafasi ya Urais wanaweza kusema safari hii ni wakristo hivyo wakawanyima
>> > nafasi watu wengine ambao wanaamini katika dini tofauti kama hindu na hata
>> > wale ambao hawana dini kabisa kama kina Mzee Kingunge!! Ni watu wa ajabu
>> > sana, ni watu wa hatari.
>> > > >  Tulikwishatoka huko, tusirudi huko. Sasa tufikirie maendeleo tu na
>> > tunahitaji mtu atakayetuletea maendeleo, maji safi, makazi safi, elimu
>> > bora, miundo mbinu etc. na si dini yake. Please give us a breack.
>>
>> > > > Selemani
>>
>> > > > Date: Wed, 27 Feb 2013 07:22:09 +0000
>> > > > From: shedrack_maximil...@yahoo.co.uk
>> > > > Subject: Re: FW: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> > Imekaaje???
>> > > > To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> > > > Rehani ,inaamaana unamwambia Mh .Mbunge wa Bunge la jamuhuri HK!?
>>
>> > > > --- On Wed, 27/2/13, Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com> wrote:
>>
>> > > > From: Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
>> > > > Subject: FW: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> > Imekaaje???
>> > > > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> > > > Date: Wednesday, 27 February, 2013, 7:17
>>
>> > > > Naanza kwa kunukuu: 'Kwa kuwa anayemaliza ni muislam. Katiba
>> > isiyoandikwa (uncodified> constitution) inasema hivyo, tubalance
>> > ku-accommodate imani zetu, walau hizi
>> > > > > dini kuu 2!'
>>
>> > > > Katika karne hii ukiona mtu ana mawazo kama haya, basi ujue kuwa
>> > bado tuna safari ndefu sana. Dini ya mtu hakiwezi kuwa kigezo au sifa ya
>> > kupewa dhamana ya Urais. Haya ni mawazo ambayo yanasikitisha sana na kwa
>> > kweli ni bahati mbaya sana. Zipo sifa za mtu anayefaa kuwa Rais, akiwa nazo
>> > hizo basi anafaa kuwa Rais bila kujali dini yake. Mawazo ya kupeana zamu ni
>> > primitive non sense. Eti zamu hii mkristo na zamu ile ya Muislam. Huu ni
>> > ujinga mkubwa. Kwangu mimi ni mtu mwenye sifa basi, hata akifululiza kwa
>> > miongo mingi kuwa anatoka katika dini moja kwangu ni sawa almuradi ana
>> > sifa. Tunachagua Rais wa nchi, hatuchagui mtu wa kutuswalisha au kusalisha.
>> > Suala la dini la nini?? Tuache huu ujinga.
>>
>> > > > Selemani
>>
>> > > > Date: Wed, 27 Feb 2013 09:50:47 +0300
>> > > > Subj

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.




0 comments:

Post a Comment