Sunday 3 March 2013

Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???

Yeyote anayedhani tanzania itamchagua rais kwa vigezo vya dini ya mtu,amefilika kabisa na kama darasani aanze tu la kwanza.hizi si hoja za kujadiliwa ndani ya jukwaa hili.Mi nafikiri mtu wa dini fulani akitawala,na wenye dini ile wakapenda atawale tena wa dini yao,cha msingi ni wenye dini ile kumsaidia mtawala yule ili apaform vizuri.Kwani kigezo cha ubora ni performance na si dini. Cha kushangaza sana ni pale unapoona watu wenye dini ya kama mtawala yule ndio wanaojipanga kwa kuvunja amani na chokochoko kibao kiasi kwamba watu wanachoka kutawaliwa na watu wa dini.Halafu,inakuwa ubaguzi wa kidini.strange.ngupula



------------------------------
On Sun, Mar 3, 2013 14:26 EET Emmanuel Muganda wrote:

>Dennis,
>Nilimwelewa sana Nyerere. Hakutaka kigezo cha rais kiwe mabadilishano kwa
>kuzingatia dini ya mtu. Hakuwa na shida kabisa kwa muislamu kumrithi
>muislamu mwenzake ili mradi amekidhi kinachotakiwa katika urais na mkristo
>kumrithi mkristo na kadhalika.
>Hili amelisema mara nyingi tu. Tafuta ile hotuba yake ya 1995 uone ni nani
>hakumwelewa Nyerere. Kuna ubaya mkubwa sana wa kupokezana madaraka kwa
>misingi ya dini kwa sababu tunaweza kupata kiongozi goigoi simply because
>hii ni zamu ya mtu wa dini fulani.
>em
>
>2013/3/3 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>
>> Nadhani hukumuelewa Nyerere wewe. Nyerere alipinga udini lakini hakuwa
>> mjinga wa kushindwa kujua kuwa nchi haiwezi kutawaliwa na watu wa dini moja
>> eti kwa kisingizio kuwa wao ndio the most qualified......
>>
>> Tusivichukulie vitu kwenye face value. Kuna ubaya gani wa kupokezana
>> madaraka?
>>
>> Ngoja nirudi zangu Itete mimi nikanywe zangu Dongela.....naona
>> mnanichanganya tu!
>>
>>
>> 2013/3/3 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>>
>> Mbunge K,
>> Hili la zamu za dini nadhani mmelianzisha ninyi wenyewe huko CCM baada ya
>> Nyerere kufariki. Nimemsikia mwenyewe kwenye
>> video akisema kuwa Tanzania hatuchagui mtu kwa dini yake sasa imeanza
>> lini? Natumaini mtabaki nalo huko huko CCM lisiigwe
>> na vyama vingine na haswa lisiingizwe kwenye katiba.
>> em
>>
>> 2013/3/2 <hkigwangalla@gmail.com>
>>
>> Ngupula,
>>>
>>> Hili la zamu kwa dini zetu limekuwa kama katiba isiyoaandikwa, lipo!
>>> Utake usitake, iwe sawa ama si sawa, lipo tu!
>>>
>>> Hilo la pili la asilimia 90, wewe semea moyo wako tu! Tukiwa Dodoma
>>> kwenye mkutano mkuu, wajumbe walionesha kwa kiasi kikubwa kuwa na mapenzi
>>> na Membe kwa sababu kila mtu alitamani kupiga naye picha kiasi cha
>>> kutupotezea hata muda wa kutafuta kura za NEC alizokuwa anaomba!
>>>
>>> Re,
>>> HK.
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>>
>>> -----Original Message-----
>>> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Sat, 2 Mar 2013 03:15:17
>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>> Imekaaje???
>>>
>>>
>>> Bwana HK,hata kama ni kweli jambo hilo la zamu za uongozi kati ya
>>> wakristo na waislam ni kama linajengeka vichwani mwa watanzania,lakini
>>> hatuwezi kumkataa au kumkubali mtu kwa sababu ya dini yake.na tanzania
>>> haijawahi tokea hivyo na hilo lazima likemewe kwa matendo.Kama SAS ni mzuri
>>> ni mzuri tu.Halafu ngoja nikudokeze,huyo Membe unayedhani atachaguliwa
>>> kuipeperusha bendera ya CCM kwa kuwa ni mkristo,asilimia karibia 90
>>> tunamuona ni mnafiki na kiini macho.Hatumtaki.Hafiki popote huyo.ngupula
>>>
>>>
>>>
>>> ------------------------------
>>> On Fri, Mar 1, 2013 22:04 EET denis Matanda wrote:
>>>
>>> >Sio kweli kaka Matinyi kuwa hata huko mliko hili janga la udini lipo? Au
>>> >nachanganya udini na ubaguzi wa kidini?
>>> >
>>> >Waislamu na Mormons wana chances sawa za kushinda na makundi mengine ya
>>> >kidini?
>>> >On Mar 1, 2013 6:01 PM, "matinyi@hotmail.com" <matinyi@hotmail.com>
>>> wrote:
>>> >
>>> > Tusijenge utamaduni wa udini. Iko siku tutalia. Rais achaguliwe kwa
>>> uwezo.
>>> > Tuache kabisa uafrika duni huu. Tuache kabisa.
>>> > Matinyi.
>>> >
>>> >
>>> >
>>> > T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>>> >
>>> > ----- Reply message -----
>>> > From: "amour chamani" <abachamani@yahoo.com>
>>> > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> > Subject: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>>> > Date: Fri, Mar 1, 2013 8:02 am
>>> >
>>> >
>>> > Matanda,
>>> > Kwanza naomba nikupongeze sasa kwani umekuwa mkweli wa nafsi yako.
>>> > Huu ndiyo msimamo wangu muda mrefu sana.
>>> >
>>> > "Yeyote anayesema kuwa
>>> > ku-balance nafasi za namna hiyo na dini ya mtu au jinsia ni kitu
>>> kibaya
>>> > ni mnafiki na asiyejua anachozungumza!
>>> >
>>> > Wewe unadhani kila mwananchi
>>> > ana uelewa kama wangu na wako? Kwa nini Board ya Parole ilivunjwa
>>> > kipindi kile, kwa nini tuna-balance nafasi za Muungano na hata nafasi
>>> > kwa kuangalia usawa wa kijinsia? Yote haya mnaona ni ujinga?
>>> >
>>> > Utu uzima ni pamoja na kuona
>>> > vilivyoandikwa na visivyo andikwa, vinavyoonekana na visivyoonekana na
>>> > trust me, kuna watu katika nchi hii ambao kazi yao ni kuhakikisha hii
>>> > delicate balance haiwi violated.
>>> >
>>> > Kwa hisia zangu kanuni hizi
>>> > ambazo hazijaandikwa ndizo pengine ziliamua Kikwete aingie 2005 badala
>>> > ya 1995. Wenye uwezo wa kuunganisha nukta watakuwa wanaelewa nguvu ya
>>> > kanuni hizi za kificho................"
>>> >
>>> >
>>> >
>>> > Holy See na Saud Arabia ni vitu viwili tofauti kabisa.
>>> > Pitia kidogo maandishi utaona lakini hata kama ndiyo unatwambia nini
>>> basi?
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> > Walewale.
>>> >
>>> >
>>> > ________________________________
>>> > From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>>> > Sent: Friday, March 1, 2013 3:42 PM
>>> > Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>> Imekaaje???
>>> >
>>> >
>>> > Holy see ina tofauti gani na Saudia wewe Amour? Vatican ni taifa la
>>> > kikatoliki kama ilivyo Saudia kuwa taifa la kiislamu, ugumu wa kuelewa
>>> > jambao hili rahisi uko wapi ndugu yangu walewale?
>>> >
>>> >
>>> > 2013/3/1 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>>> >
>>> > Kuna tofauti kati ya Holy See na OIC. Ni afadhali kufananisha OIC na
>>> UN
>>> > kuliko kuifananisha na Holy See.
>>> > >em
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >2013/3/1 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>> > >
>>> > >Rehani,
>>> > >Niliwahi kuomba msaada hapa jamvini kuhusu uhalali wa Tanzania kuwa
>>> na
>>> > uhusiano na HOLY SEE bahati mbaya hakuna aliyejibu.Naona unaipenda na
>>> > kuiheshimu sana katiba ya nchi hetu sema kuhusu hiyo.
>>> > >Nakusikiliza kwa hamu ndugu.
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >Walewale.
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >________________________________
>>> > >
>>> > >From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>>> > >To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> > >Sent: Wednesday, February 27, 2013 10:09 AM
>>> > >Subject: RE: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>> > Imekaaje???
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >Yona,
>>> > >
>>> > >Sawa unamuunga mkono kwa hilo la kujiunga na OIC. Lakini unafahamu
>>> kuwa
>>> > kufanya hivyo ni kuvunja katika yetu ya Tanzania ambayo viongozi
>>> waliapa
>>> > kuilinda na kuitetea? Na hayo maslahi unayoyasema ni yapi? Je nchi
>>> > zilizokwishajiunga na OIC zimemaliza matatizo yake? HIvi unataka
>>> kusema
>>> > kuwa tukijiunga na OIC ndio tutaweza kuondoa umaskini wetu? Hayo ni
>>> mawazo
>>> > ya kimaskini tu, kuweka matumaini makubwa sana katika jambo ambalo
>>> kimsingi
>>> > haliwezi kukusaidia lolote na utabaki pale pale.
>>> > >
>>> > >Maaskofu wanachosema ni kujenga utamaduni wa kuheshimu sheria na hasa
>>> > sheria mama, katiba ya nchi, ni lazima ilindwe na iheshimiwe.
>>> Hatupendi
>>> > kujenga utamaduni wa kuvunja katiba kwa visingizio vyovyote vile. Kwa
>>> > mujibu wa katiba yetu ilivyo sasa, kujiunga na OIC ni kuvunja katiba,
>>> full
>>> > stop. Labda tubadilishe katiba.
>>> > >
>>> > >Selemani
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >________________________________
>>> > > Date: Wed, 27 Feb 2013 09:50:47 +0300
>>> > >Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>> > Imekaaje???
>>> > >From: oldmoshi@gmail.com
>>> > >To: wanabidii@googlegroups.com
>>> > >
>>> > >Hilo la kujiunga na OIC namuunga mkono , wao maaskofu wasifikiri
>>> nchi ni
>>> > yao na kwamba nchi hii ina dini , nchi haina dini inauwezo wa
>>> kujiunga na
>>> > jumuiya yoyote endapo ina maslahi kwake na kwa watu wake sio kwa
>>> misukumo
>>> > ya wakina misahafu
>>> > >
>>> > >
>>> > >On Wed, Feb 27, 2013 at 9:45 AM, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com
>>> >
>>> > wrote:
>>> > >
>>> > >HK,hana msimamo
>>> > >
>>> > >On 2/26/13, hkigwangalla@gmai

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment