Tuesday 5 March 2013

Re: [wanabidii] Maalim Seif : Wazanzibar hawatokubali kukosekana Z’bar yenye mamlaka kamili

je wale wanzibar wenye asili ya bara kama mazee mwinyi nao
mtawafanyaje? maana wenye asili ya Kiarabu mtasema huku si kwao lakini
hawa wenye asili ya bara babu zao wamezikwa bara. Upo uwezekano mkubwa
wa hao wenye asili ya bara kutimuliwa na kukimbilia kwetu. Ni vyema
makubaliano yafanyike mapema kabisaaaaa

2013/3/5 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
> WAPEMBA wanaondoka lini bara? Mwezi wa ramadhani tutanunua tambi toka kwa mangi
>
> On 3/5/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>> Tatizo lilokuwepo ni kuwa Maalim leo atasema hivyo lakini ukifika uchaguzi
>> ataambiwa saini hapa ili watu wasije kuuliwa , na yeye anasaini watu
>> wanaotaka mabadiliko watamtukana halafu tunasubiri uchaguzi mwingine bas.
>> Hii ndio hali ya Zanzibar yaani ata katika ramani Zanzibar haipo kabisa
>> bora Palestine manake inatajwa mara kwa mara na kua wenzetu wanaipigania
>> nchi yao leo mtu kama hujamwambia kua ni Tanzania basi kwa Zanzibar
>> utajihangaisha bure manake hamna mtu anaejua Zanzibar mie naona safari refu
>> kama pana mafanikio basi si kwa miaka hii naona tutizamie vijukuu na
>> vilembe, wala mtu asikasirike bora uchawi unatibika kuliko unafiq na ndio
>> tatizo letu
>>
>> 2013/3/5 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
>>
>>> Nadhani yupo sahihi, Kwanza nashukuru wapemba mmejitahidi kutujengea
>>> Kariakoo yetu ingawaje design za majengo mengi yanayomilikiwa na wapemba
>>> zimekaa kiz******r mno. Pili anatakiwa ajue kwamba kwa vyoyote vile
>>> dalili
>>> zinavyoonyesha kwamba, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mwisho, and
>>> that end is imminent.
>>> Sasa hao jamaa zake atawapeleka wapi?
>>> Nadhani wakati ana-plan kuuvunja Muungano ili kila mmoja awe na saut,i
>>> inabidi pia awe na resettlement plan ya hao ndugu zake.
>>>
>>> LL
>>>
>>>
>>> 2013/3/5 Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>
>>>
>>>> Chama cha wananchi CUF kupitia katibu mkuu wa chama hicho ambae pia ni
>>>> Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,
>>>> kimemuhakikishia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
>>>> Tanzania , Jaji Joseph Warioba, kwamba Wazanzibari kwa umoja wao
>>>> hawatokubali chochote kile ambacho kitasababisha kukosekana kwa
>>>> Zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa itakayofuatiwa na
>>>> mfumo mpya wa ushirikiano na Tanganyika kupitia Muungano.
>>>> Maalim Seif aliyasema hayo huko Makunduchi mkoa wa kusini Unguja
>>>> alipokuwa akizungumza na wananchi mbali mbali kwenye mkutano wa
>>>> hadhara wa chama hicho,amesema kutokana na matukio ya asilimia 66 ya
>>>> maoni ya wazanzibar kutaka mamlaka kamili ya nchi yao basi hakun haja
>>>> ya kutokuirjesha Zanzibar hadhi yake.
>>>>
>>>> Kufuatia mkutano huo Maalim Seif amesema kuwa kwa sasa Zanzibar
>>>> haiwezi tena kukubali kukosa mamlaka yake ya kuwa na udhibiti wa mambo
>>>> ya nje na mahusiano ya kimataifa kwani imechoka na udhalilishaji
>>>> inaofanyiwa na Tanganyika kupitia Serikali ya Muungano.
>>>>
>>>> Aidha Maalim ametolea mifano mbali mbali ambayo Serikali ya Muungano
>>>> imeilazimisha Zanzibar kujitoa katika Umoja wa Nchi za Kiislamu (OIC)
>>>> mwaka 1993 pamoja na hatua ya hujuma iliyofanywa na Waziri wa Mambo ya
>>>> Nje, Benard Membe, ya wiki iliopita ya kufuta maeneo ya ushirikiano
>>>> yaliyohusu Zanzibar yaliyokuwa yawe sehemu ya makubaliano katika
>>>> Mkataba wa Ushirikiano kati ya Tanzania na Oman.
>>>>
>>>> Sambamba na hayo Maalim Seif alitaja athari ya Zanzibar kukosa nafasi
>>>> ya kufaidika na misaada ya kimataifa katika maeneo yote yasiyo ya
>>>> Muungano kwani Tanganyika hutumia jina la Tanzania kujichukulia nafasi
>>>> hiyo kwa manufaa na maslahi yake peke yake jambo ambalo limewatoa
>>>> imani wazanzibar waliowengi kuendelea na Muungano huu uliopo sasa.
>>>>
>>>> Maalim amefahamisha wazi kuwa kwa sasa Zanzibar inataka kuwa na
>>>> Wizara na Waziri wake wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na
>>>> haitokubali chochote chini ya hapo. Amesema kuwa "udhibiti wa mambo ya
>>>> nje ndiyo kigezo cha nchi kukubalika na kutambulika kimataifa na
>>>> Zanzibar inataka kurejesha mamlaka hayo na kurejesha kiti chake kwenye
>>>> Umoja wa Mataifa".
>>>>
>>>>
>>>> http://zanzibardaima.com/2013/03/04/wazanzibar-hawatokubali-kukosekana-zbar-yenye-mamlaka-kamili-maalim-seif/
>>>>
>>>> --
>>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment