Monday 4 March 2013

Re: [wanabidii] Kigwangalla arusha ngumi kwenye kikao cha kamati ya fedha wilayani nzega

Jamani kuwa mwanasiasa kusimfanye mtu awe jalalala la taka la kutupiwa kila chafu na kutengezewa skendo za kila aina. Tena ni vema mwenyewe amekanusha, hii si habari ni udaku tu ni vema tukaachana nayo tuzungumzie matatizo yetu ya msingi ikiwemo mporomoko wa elimu
 
With regards
Mwakigali John

From: Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 4 March 2013, 8:31
Subject: Re: [wanabidii] Kigwangalla arusha ngumi kwenye kikao cha kamati ya fedha wilayani nzega

Mimi ninaishi Nzega sijayasikia haya naahidi kuyafuatilia

2013/3/3 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Katika hali isiyo yakawaida mbunge amediriki kumpiga ngumi mzee wa
zaidi yamiaka 50 kikaoni nzega mzee matobelo ambaye ni afisa mifugo
wilayani nzega alipigwa ngumi na kigwa baada ya mzee kutaka pesa
zilizolipwa na mgodi billion 2 zitumike kwenye sekta ya afya na elimu
huku kigwa akitaka zitumike kujenga barabara ya lami
Mzee matobelo alimtaka kigwa kuacha siasa kwenye mambo ya kitaalam
ndipo kigwa akamchapa makonde.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment