Saturday 2 March 2013

Re: [wanabidii] Habari.

huwa nashangazwa na jinsi wakristu wa madhehebu ya kipentekoste wanavyojua details za uchawi.hata hivyo hii ni mada tofauti.Mungu ni mmoja.anayetaka wawe wawili anaumba mungu wake na anakiuka amri ya 1 ya mungu.kama hauelewi ni kwa nini kuna uovu duniani,kajielimishe siyo unakuja na mafundisho potofu kama haya.

2013/3/1 Doreen William <draheem7508@gmail.com>
MUNGU ni mmoja ila mazingira ndiyo humfanya aonekane ni wa aina mbili. Kwa wale anaowaachia kupata mateso (hapa imeonekana kama visasi na mikozi kwa maadui) ni wale ambao wako subjected to Shetani, yaani wale ambao wao wenyewe kwa matakwa na mapenzi yao wamejiunganisha na kuzimu ha hivyo kumpa haki ya kisheria shetani kuwashughulikia) MUNGU kamwe hasababishi shida wala balaa kwa wanadamu bali ni MUNGU wa haki hivyo kama umejiunganisha kwa Shetani MUNGU humpa shetani haki yake ya kuwatesa watu wake kwani vitabu vinasema Shetani ni mshtaki wetu anayetushtaki mbele za MUNGU kila kukicha. Mfano kama wewe ulipata utajiri wako kwa njia ya uganga, ukachanjwa chale na kufuata masharti ya kuzimu, ukikiuka masharti hayo shetani anayo haki ya kisheria ya kukuadhibu kwa sababu wewe ni wake (ulikubali kuyafuata masharti yake). MUNGU ni wa haki hawezilazimisha kukuokoa ikiwa wewe hujawa tayari kumkana shetani na kazi zake zote. bali MUNGU huonekana ni mwenye upendo na huruma kwa wale ambao wameyagundua makosa yao na kutubu na kuhitaji msaada wa MUNGU. Kwani kama ilivyoandikwa kuwa hakuja kwa ajili ya wenye afya bali kwa ajili ya wagonjwa...... umejigundua wewe ni mgonjwa umekwenda mwenyewe kwa Daktari naye hana budi kukuhudumua hadi upone.

On Fri, Mar 1, 2013 at 11:41 PM, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Ndugu Erick mie kwa ujumla wangu sijambo natumaini wengi wetu
tunaishukuru mamla iliyo kuu kuliko zote kuwa tunapumua. Nimevutiwa na
ugunduzi wako juu ya miungu hawa labda ingekuwa vyema ukatuelezea
mungu wako ni yupi na kwanini na nini kilikufanya ufanye uchanguzi

On 3/1/13, Erick Mathew <mathewerick@yahoo.com> wrote:
> Baada ya kusoma na kutafakari! nagundua kua, kuna Mungu wawili! Mwenye
> huruma na Upendo ampendae adui yake na asiye wa kisasi.
> Na wapili ni yule Mwenye huruma na Upendo kwa rafiki yake tu, na ambae
> humchukia adui yake na kwake visasi na mauaji kwa adui yake hua ni ruksa.
>
> Je tutafika?
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
This message has been scanned for viruses and
dangerous content by MailScanner, and is
believed to be clean.

0 comments:

Post a Comment