Monday 4 March 2013

Re: [Mabadiliko] RE: [wanabidii] Uchambuzi: Kuna Dalili Wakenya Wanakwenda Kumchagua ' Jogoo Mwembamba'- Uhuru Kenyatta...!

Kwani tanzania vipi. Wapinzani walipata ngapi bagamoyo kwa kikwete,
arusha kwa slaa, hata lipumba alikongoja tabora. Hata huko marekani
nasikia wanapoishi ngozi nyeusi wengi obama alishinda kwa mbali

On 3/5/13, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
>
> Karata ya makabila ndiyo itakayoamua mshindi. Vijana iwapo wataamua kumpigia
> mtu "wao" basi atakuwa Uhuru Kenyatta - si wazee kwa kumkumbuka baba yake,
> labda wazee wa kikikuyu. Nina wachambuzi wazuri sana hapa wa siasa za Kenya
> kutoka makabila makuu na wawili niliwaamulia ugomvi juzi - mwanamke mwenye
> kisomo cha PhD alitaka kuzichapa na dume lenye kisomo cha MA kana kwamba ni
> wajanja tu wa barabarani. Ni mwendo wa makabila tu, hakuna kingine Kenya na
> wala watu hawavijui vema vyama vyao, wanafuata majina ya watu wa makabila
> yao na pale ambapo hawana mtu wanampigia waliyeambiwa kwamba ndiye. Hakuna
> sera wala siasa.
> CC: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
> From: ansbertn@yahoo.com
> Subject: Re: [wanabidii] Uchambuzi: Kuna Dalili Wakenya Wanakwenda Kumchagua
> ' Jogoo Mwembamba'- Uhuru Kenyatta...!
> Date: Tue, 5 Mar 2013 05:34:53 +0300
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Maggid,
> Mambo mawili. Kwanza, bado sana. Hatua ya kuhesabu kura iko mwanzoni.
> Takwimu zinaonyesha Uhuru anashuka kidogo Kila baada ya robo saa, na Raila
> anapanda. Uwezekano wa kurudia uchaguzi hauwezi kuondolewa kwa hatua ya
> sasa. Na hili likitokea, uchambuzi unaweza kubadilika. Pili, kizazi
> kinachopiga kura Kenya leo, tena hao mashabiki we Uhuru, si cha "bora ya
> jana" maana asilimia kubwa kinamjua Moi, si Kenyatta. Of course, akili yangu
> inamwendea jogoo mnene, kwa kuzingatia mchango na muono wake katika historia
> ya mageuzi Kenya. Tuendelee kufuatilia matokeo.
>
> Sent from my iPad
> On 5 Mac 2013, at 5:22, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
>
> Ndugu zangu,
>
> Afrika ukikuta jogoo wawili wanagombana, basi, hapo hapakosi mashabiki.
> Na kila shabiki aliyesimama kutazama mpambano wa majogoo hao, ujue, kuwa
> ana jogoo wake anayemshabikia.
>
>
> Na jogoo anayemshabikia akishindwa pambano, shabiki ataondoka
> akisononeka. Kuna ambao watakosa hata hamu ya chakula siku hiyo. Kisa?
> Jogoo wake kagalagazwa!
>
> Na kama jogoo mmoja ni mnene na mwingine ni mwembamba, ujue, kuwa jogoo
> mwembamba ana mashabiki wengi.
>
>
> Ukifuatilia mwenendo wa Uchaguzi wa Kenya kuna dalili kuwa Uhuru
> Kenyatta ambaye pia anatuhumiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya
> Jinai anaelekea kwenye kupata ushindi.
> Moja ya tafsiri ya jambo hili
> ni ilivyo kwenye fikra za wapiga kura ambao ni wengi ni watu wa
> kawaida- kuwa Uhuru anaonewa, hata na mataifa ya nje. Kwamba mambo ya
> Kenya yao yanaingiliwa pia na wasio Wakenya, tena Wazungu.
>
> Wakenya wana historia ya mapambano magumu ya kudai uhuru kutoka kwa '
> Wazungu'- ni tangu enzi za Mau Mau.
>
>
> Pamoja na utajiri wake, bado Wakenya wengi wa kawaida wanamwona Uhuru
> kama mtu wanayefanana naye. Ni mwanadamu kama wengine. Huko nyuma Uhuru
> amekuwa na historia ya matatizo binafsi pia ya kimaisha, ikiwamo
> matatizo ya pombe, hivyo ya kifamilia pia. Wakenya wengi wanaishi
> wakijisikia kuwa wananyanyaswa na kuonewa. Wanamwona Uhuru Kenyatta
> kuwa ni mtu anayeonewa pia.
>
> Hivyo, yawezekana kuna kura za '
> kuonewa huruma' ambazo Uhuru Kenyatta anaweza kuzipata, hata kutoka kwa
> watu wa kabila la Wajaluo. Wanaojiona ' wanafanana naye'.
>
> Na
> lingine ambalo laweza kutokea ni ukweli, kuwa katika matatizo mengi
> wanayoyakabili Wakenya kwa sasa, kuna ambao wanaikumbuka ' Bora ya jana'
> ya Mzee Jommo Kenyatta. Wanaikumbuka historia. hivyo, kuna Wakenya
> waliopiga kura za ' nostalgie'- Kura za ' Zilipendwa'.
>
> Kuna
> Wakenya wengi walimpenda Mzee Jommo Kenyatta. Bado wanakumbukumbu za '
> Fuata Nyayo'. Na Uhuru naye anaitwa ' Kenyatta'- Jina lake la pili. Ni
> mwana wa Mzee wa ' Fuata Nyayo.
>
> Naam, Nyayo zilishapotea. Kuna wenye hamu ya kuzitafuta. Wanaamini Uhuru
> atawasaidia kuziona. Na tusubiri tuone.
>
> Maggid Mjengwa,
> Msamvu, Morogoro
> 0788 111 765
>
> http://mjengwablog.co.tz
>
>
>
>
> --
>
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment