Thursday, 31 January 2013

Re: [wanabidii] Serikali iweke bayana uamuzi wa gesi izalishe umeme Dar es Salaam na si Mtwara

mtwara pia utazalishwa umeme utakaoenda songea kuungana na umeme wa grid On 1/31/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote: > Serikali iweke bayana taratibu zilizofanikisha uamuzi gesi ya Mtwara > izalishe umeme Dar es Salaam badala Mtwara > Dkt A. Massawe/massaweantipas@hotmail.com > > Pamoja na habari njema za maelewano kupatikana baina ya Serikali na > wenyeji wa Mtwara kuhusiana na swala la gesi...
Read More :- "Re: [wanabidii] Serikali iweke bayana uamuzi wa gesi izalishe umeme Dar es Salaam na si Mtwara"

Fw: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam

Wanabidii na watanzania wote,   Naomba muache uoga kumyoshea kidole mtu. Haya mambo ya udini naona tunapiga danadana au wenzetu waingereza wanasema "biting around the bush". Ukweli ni kwamba wimbo wa udini ni matunda ya kapeni za Chama Tawala CCM 2005-2010 kutaka kuupata urais hata kwa njia ya kutumia udini. Kidole cha kila mtanzania mpenda amani kiendee kampeni hizo. Haina maana ya kungukazunguka wakati CCM ndiyo waliotumia...
Read More :- "Fw: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam"

RE: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] UPDATES WALIOJIANDIKISHA KUJIUNGA FOS.

Kaka Mtoi Nafikiri tumejiandikisha vya kutosha wengine watatukuta mbele muda tulionao sio mwingi saana tuanze kupeana mikakati kwa  kutumia email na namba zetu za simu. Ni muda wa kujipanga sasa tusipoteze muda.     safety has no luck play your role Emmanuel G Mbise | Mine Captain Conventional| African Barrick Gold (Pty) | Phone: +255 (22) 2600 508 Ext: 6061 |  Mobile:...
Read More :- "RE: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] UPDATES WALIOJIANDIKISHA KUJIUNGA FOS."

Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

ha ha haaaaa, kutusi ni tofauti na kutafutiwa baban na yote hayo ni tofauti na kujifurahisha akili yangu, anything less demanded Mr Yachama?? -- *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci * -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com...
Read More :- "Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU"

Re: [wanabidii] LUGHA YA TAIFA NI IPI KISWAHILI,KIINGEREZA,KIFARANSA,KIRENO AU KICHINA?

Kwa Uganda si kwamba Luganda ndio Lugha yao ila ni lugha ya wenye mji wa Kampala likiongozwa na Kabaka, that mean it must be in use. Mpaka sasa sidhani kama wana lugha ya taifa though Idd Amin aliwahi kutangaza kiswahili kuwa lugha yao ya taifa kama sikosei. -- *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci * -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International...
Read More :- "Re: [wanabidii] LUGHA YA TAIFA NI IPI KISWAHILI,KIINGEREZA,KIFARANSA,KIRENO AU KICHINA?"

Re: [wanabidii] Museveni na Kagame Kuiponza Afrika ya Mashariki

EAC, EAC, EAC!!!! Mzee Magessa, tupo pamoja, no matter what, anayesema Mzee Magessa ana ubaguzi na Africa ni moja basi awe wa kwanza kwenda kuwasaidia Mali na hata vita ya rebels huko Congo, Awe wa kwanza kumwambia M7 ang'atuke madarakani na kuwaachia wengine, na atuongoze kupigania demokrasia ya haki Uganda na Rwanda. Chunguzeni utendaji kazi wa M7 na PK mtapata picha halisi, sina maana ya kumuunga mkono mtoa hoja ila nasema...
Read More :- "Re: [wanabidii] Museveni na Kagame Kuiponza Afrika ya Mashariki"

Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

Usinitusi kwa kunitafutia baba kujifurahisha akili yako. Tafadhali. Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania. -----Original Message----- From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Fri, 1 Feb 2013 09:38:53 To: <wanabidii@googlegroups.com> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU i...
Read More :- "Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU"

Re: [wanabidii] Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!

Kweli kabisa De kleinson. LKK  From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Friday, February 1, 2013 9:26 AM Subject: Re: [wanabidii] Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!! LKK,Sio viongozi wa nchi masikini, ni viongozi wa chama kinachoongoza nchimasikini. kumradhi.-- *"Anyone who conducts an argument...
Read More :- "Re: [wanabidii] Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!"

Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

i guess Yachama is Yona. Nafikiri tu :) -- *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci * -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this...
Read More :- "Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU"

Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] UPDATES WALIOJIANDIKISHA KUJIUNGA FOS.

kaka Mtoi,naomba na mimi niwepo,ingawa si mchangiaji sana wa maneno ila nafanya kwa matendo...nasikitika jinsi ghani COUNTER INTELLEGENCE PROGRAM(COINTERLEPRO) ilivyofanikiwa kujipenyeza humu na kuwa miongoni mwa vinara wa kuandika na kupotosha...tunao humu humu kwenye huu mtandao,naamanisha wengi wetu si wenzetu,hii inanipa hofu kuandika sana..ila uozo ni mwingi sana..!MUNGU IBARIKI  BONGO! 2013/2/1 Anthony Masare <anthony_masare@yahoo.com>...
Read More :- "Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] UPDATES WALIOJIANDIKISHA KUJIUNGA FOS."