Thursday 4 October 2012

[wanabidii] UGONJWA WA MIDOMO NA MIGUU (UMM)- FOOT AND MOUTH DISEASE (FMD)

UMM ni ugonjwa wenye maambukizi makubwa unaowapata ng'ombe, nguruwe, kondoo, mbuzi na nyati na ni ugonjwa mgumu sana kukabiliana nao.  Kwa  ujumla ni ugonjwa unawapata wanyama wote wenye kwato mbili wa kufugwa na wanyama pori. Dalili kubwa za ugonjwa huu ni homa, malengelenge (vesicles) mdomoni na puani, chuchu, kwato/nyayo, na vifo kwa wanyama wadogo.

Madhara –Ugonjwa huu unasababisha upotevu mkubwa wa kiuchumi kwa sababu ya vifo vya wanyama wadogo, kupungua kwa uzalishaji (maziwa, nguvu kazi, na kuzaliana) na kuzuiwa kwa biashara ya nyama na mazao  ya mifugo ya ndani na kimataifa.

 

 Kwa maelezo zaidi juu ya ugonjwa huuu soma hapa http://achengula.blogspot.com/


--




To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment