Thursday 18 October 2012

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati

Yona
 
Nadhani umechoka kufikiri, na Geografia yako ni finyu. Gesi iko maeneo mengi duniani, kwa nini hayo mataifa ya mashariki ya kati yakawa na interest na Tanzania tu? Au mageuzi ya Urusi pia yalitokana na mataifa ya waarabu kwani na urusi kuna gesi nyingi sana. But hongera kwa 'ramli' zako za courses za machafuko. Usije tuambia na DRC nako ni kwa sababu ya 'madini' ya Rwanda!
 
mkm

--- On Thu, 10/18/12, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 18, 2012, 9:48 PM

Si ndio tunasaini memoranda zaidi na hawa jamaa inakuwaje watuonee gere tena? Au zile hazihusu hi sekta ya mafuta na gesi nini?

2012/10/18 <rasel_madaha@yahoo.com>
Ni kweli kabisa. Tokea lini mwarabu akapenda mtu mweusi. Hawafai wale walitufanya sisi watumwa. Ghafla leo wanatupenda!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Haidari BENN <benntz@yahoo.co.uk>
Date: Thu, 18 Oct 2012 16:00:16 +0100 (BST)
Subject: Re: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati

Yona,
I think you are right.
 
Benn Haidari
Klintvägen 16 C 36
22100 Mariehamn
Åland
Suomi-Finland
Author of Modern Zanzibar Cuisine
Tel/Home: +358.18.13665
Mobile: +358.457.3424826

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Thursday, 18 October 2012, 16:20
Subject: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati

Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa Waarabu

Ndugu zangu

Hizi virugu nyingi zinazoendelea haswa upande wa pwani wa afrika mashariki zina mkono wa Mataifa makubwa ya kiarabu ambayo yanafikiri huu ugunduzi wa mafuta na gesi kwenye ukanda huu unaweza kuathiri biashara yao ya mafuta .

Hii imetokea Niger Delta kwa kuanzisha uasi ambao unaendelea mpaka leo na huko kaskazini mwa naigeria kwa kisingizio cha Dini .

Katika mipango hii kuna viongozi wa vyama vya siasa wanaotumika kwa kujua kwamba wanatetea dini zao kumbe wanaowafadhili wameangalia eneo kubwa zaidi .

Ni vizuri wananchi waambiwe ukweli haswa hao wanaokubali kutumika kwenye hila na hujuma dhidi ya taifa lao .

Pia ni vizuri vyombo vyetu vya usalama haswa idara ya usalama wa taifa ibadilishe mtindo wake wa utendaji na uwajibikaji na ushirikiano wake na vyombo vingine vya dola na taasisi binafsi uongezwe maradufu .

Inashangaza kuona askari walichelewa kwa dakika zaidi ya 30 huko Zanzibar baada ya wananchi kuanza kujikusanya ina maana kulikuwa na hitilafu ya taarifa hapa .

Huku mbagala pia kwa kitendo cha mhalifu kupelekwa kituo cha polisi ilitakiwa kuclick vichwani kuhusu uwezekano wa vitu kama hivyo kutokea lakini yote inaonyesha taarifa zilichelewa au ushirikiano ulikuwa hafifu .

__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (3)
Recent Activity:
.

__,_._,___
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment