Thursday 18 October 2012

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati

 
Ndugu Wanabidii

Mara nyingi sipendi kuchangia mada kama hizi zinazohusu dini za watu bila kuwa na ushahidi wa kutosha kuhusu kile ninachotaka kuchangia lakini kwa upotoshwaji huu tena unaofanywa na mtu niliyekuwa na muamini kama Yona Maro naanza kupata wasiwasi na madhumuni ya uwepo wa forum hii ya wanabidii. Mwanzoni nilijua ipo kwa ajili ya wanajamii wote wapendao mabadiliko japo baadae nikaona inaelekea zaidi katika mrengo wa kiCDM zaidi japo hilo halikunisumbua sana kwa sababu ziku zote naamini katika mabadiliko hasa yenye positive results bila ya kuathiri values zetu.
 
Lakini kwa hili aliloandika Ndugu Yona Maro katu siliachi lipite hivihivi. Kwanza tatizo la kwanza ni hii historia tuliyosoma. Historia iliyopikwa kwa kuwaita wengine washeni na wengine wastaarabu. Ni nani asiyejua kuwa hawa watumwa walikuwa wakipelekwa katika mashamba ya mabepri huko Ulaya??? Nani hapa wakulaumiwa muuzaji au mnunuzi???? Na wale walioingia kwa kujiita Wamissionari na kujifanya eti wana malengo ya kuleta "ustaarabu" lkn mwishowe walitutawala na kuchukua maliasili zetu na kuuwa mababu zetu waliowapinga, mbona historia haiwasemi?????
 
Sasa kwa hili la "Vurugu za Ukanda wa Pwani" eti kuhusisha mataifa ya Mashariki ya Kati?????? Haliniingii akilini kabisa. Ni kweli mimi si mwana historia, nimesomea Uhandisi (Engineering) lakini historia niliyosoma ya sekondari school na kwenye vitabu na mitandao mbalimbali inatosha kabisa kulisemea hili. Ndio maana naliita ni UPOTOSHWAJI A MAKUSUDI.
 
Ni nani asiyejua kuwa vurugu zote zinazohusu rasilimali duniani chanzo chake ni mataifa ya Magharibi hasa Marekani???? Ukiondoa Israel ni taifa gani la Mashariki ya kati lenye jeuri ya kuja Afrika na kugombania mafuta au gesi au madini????
 
Hizi tunazoziita vurugu za Pwani ni matokeo ya mfumo uliojengwa siku nyingi sana katika nchi yetu hii. Na inapotokea kundi fulani la watu linakosa msaada linalouhitaji kwa muda mrefu na kuhisi halisikilizwi huamua kujichukulia sheria zake lenyewe. Ni ujinga kufikiri eti hao wanaofanya vurugu wanatumwa eti na mataifa ya Mashariki ya Kati???????
 
Ni aibu kwa kijana msomi wa karne hii kuwa na fikra finyu kama hizi. Inasikitisha sana. Ndio maana huwa naamini upendo wa kweli miongoni mwa Watanzania hakuna. Ni chuki na hasama za kidini ambazo hazina nafasi katika karne hii. Nina wasiwasi na mafunzo tunayopata kutoka kwa viongozi wetu wa dini.
 
MUNGU IBARIKI TANZANIA. AHSANTENI SANA.
 
Kwa mawasiliano. 0713322553 
 

--- On Thu, 10/18/12, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 18, 2012, 10:48 AM

Si ndio tunasaini memoranda zaidi na hawa jamaa inakuwaje watuonee gere tena? Au zile hazihusu hi sekta ya mafuta na gesi nini?

2012/10/18 <rasel_madaha@yahoo.com>
Ni kweli kabisa. Tokea lini mwarabu akapenda mtu mweusi. Hawafai wale walitufanya sisi watumwa. Ghafla leo wanatupenda!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Haidari BENN <benntz@yahoo.co.uk>
Date: Thu, 18 Oct 2012 16:00:16 +0100 (BST)
Subject: Re: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati

 
Yona,
I think you are right.
 
Benn Haidari
Klintvägen 16 C 36
22100 Mariehamn
Åland
Suomi-Finland
Author of Modern Zanzibar Cuisine
Tel/Home: +358.18.13665
Mobile: +358.457.3424826

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Thursday, 18 October 2012, 16:20
Subject: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati

 
Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa Waarabu

Ndugu zangu

Hizi virugu nyingi zinazoendelea haswa upande wa pwani wa afrika mashariki zina mkono wa Mataifa makubwa ya kiarabu ambayo yanafikiri huu ugunduzi wa mafuta na gesi kwenye ukanda huu unaweza kuathiri biashara yao ya mafuta .

Hii imetokea Niger Delta kwa kuanzisha uasi ambao unaendelea mpaka leo na huko kaskazini mwa naigeria kwa kisingizio cha Dini .

Katika mipango hii kuna viongozi wa vyama vya siasa wanaotumika kwa kujua kwamba wanatetea dini zao kumbe wanaowafadhili wameangalia eneo kubwa zaidi .

Ni vizuri wananchi waambiwe ukweli haswa hao wanaokubali kutumika kwenye hila na hujuma dhidi ya taifa lao .

Pia ni vizuri vyombo vyetu vya usalama haswa idara ya usalama wa taifa ibadilishe mtindo wake wa utendaji na uwajibikaji na ushirikiano wake na vyombo vingine vya dola na taasisi binafsi uongezwe maradufu .

Inashangaza kuona askari walichelewa kwa dakika zaidi ya 30 huko Zanzibar baada ya wananchi kuanza kujikusanya ina maana kulikuwa na hitilafu ya taarifa hapa .

Huku mbagala pia kwa kitendo cha mhalifu kupelekwa kituo cha polisi ilitakiwa kuclick vichwani kuhusu uwezekano wa vitu kama hivyo kutokea lakini yote inaonyesha taarifa zilichelewa au ushirikiano ulikuwa hafifu .


__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (3)
Recent Activity:
.

__,_._,___
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment