Wednesday 24 October 2012

Re: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU

Nina wasiwasi sana na si tu kiwango cha elimu cha bwana Rashid bali hata socialization yake tangu utoto na maisha yake kwa ujumla hasa pale anapoandika upupu na mambo ambayo yanaendelea kuchochea ukorofi na kukuza fikra hasi baina yetu watanzania. Kwa mtu mwenye hekima na busara ndogo tu na wala haihitaji saaana elimu huwezi kuandika,,,hapa nanukuu; "...hawa wanaochoma makanisa ni wale ambao hawana elimu na hawana elimu kwa sababu mlikuwa mnawafelisha kwa makusudi
kwa sababu ni waislamu.....Mungu bwana, aiseee fundi
hata ivo memorandum of understanding inabainisha au inatoa muongozo
kuwa mtajengewa mengine kwa kodi zetu.

Kama umekuwa msomaji wa mijadala ya humu ndani...kuna watu wengi wamejaribu kuweka bayana mambo haya lakini bado huelewi. Take time to read and ask, usikurupuke tu na kuandika vitu vya kichochezi....faida yako ni nini katika ulimwengu wa taaluma na jamii kwa ujumla kama unaandika eti ...'waislamu mliowafelisha...this is purely a very lame excuse for your own problem,what do you want to achieve ktk hoja yako?..... Take time to assess how madrasa na sunday schools zinavyofundisha watoto (ambako wengine tumepitia huko)...utajifunza connection kubwa ya gape hii ya understanding kwenye elimu dunia na wala si swala la mtu kufelishwa....kufeli ni kufeli tu hakuna mkristo, mwislam wala mpagani. Take time to think before you write
"Do nothing from selfishness or empty conceit, but with humility of mind, regard one another as more important than yourselves;do not merely look out for your personal interests,but also for the interest of others.""So then, while we have opportunity,let us do good to all people,and especially to those who are of the household of the faith."
Philippians 2:3;Galatians 6:10

--- On Wed, 10/24/12, Denis Njoka <denis.njoka@yahoo.com> wrote:

From: Denis Njoka <denis.njoka@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, October 24, 2012, 12:52 PM

Bwana Rashidi, unahitaji roho wa Mungu akushukue other wise umejaa roho ya ki- ibilisi hauna hata chembe ya roho wa Mungu. Dhambi ipo miguuni pako na mauti inakuotea make mawazo yako si ya binadamu wa kawaida. Hebu mrudie muumba wako tafadhali.
Tanzania haina desturi ya ubaguzi hata kidogo ila wale wana wa upotevu kama wewe ndo huwaza hivo, maana roho zao zimejaa nyongo na tindikali ya ubaguzi. Ondoa mtazamo wa kifedhuri na kiibirisi. Rejea katika zizi la kondoo wa Mungu nakusihi.

From: rashid martin <rashidtz@hotmail.com>
To: wanabidii google <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, October 24, 2012 10:23 PM
Subject: RE: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU

hapana bwana baikaka....
masharti hayo ni kujuta kwa kosa/makosa ulofanya, kutubia tena kwa kuyatamka na kuahidi kutorudia tena
hawa wanaochoma makanisa ni wale ambao hawana elimu na hawana elimu kwa sababu mlikuwa mnawafelisha kwa makusudi
kwa sababu ni waislamu.....Mungu bwana, aiseee fundi
hata ivo memorandum of understanding inabainisha au inatoa muongozo
kuwa mtajengewa mengine kwa kodi zetu

Date: Tue, 23 Oct 2012 23:32:44 -0700
From: baikak@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU
To: wanabidii@googlegroups.com

Masharti ambayo waislam tunayapata kutoka kwa mashehe na maimam wetu ni pamoja na kuchoma makanisa, kuwaua makafiri, kuchinja viumbe wote ili tubaki sisi wenyewe waislam wenye imani kali.
Nawasilisha - kama kuna atakayenielewa vibaya anipigie kwa namba hii 0722 018 000

Mt. B;
Bukoba Municipal,

Tanzania - East Africa.

--- On Tue, 10/23/12, xavery njovu <njovucom@gmail.com> wrote:

From: xavery njovu <njovucom@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 23, 2012, 9:39 PM

Rashidi

Naomba  utufafanulie  zaidi  huhusu  hija  na  mambo  ambayo  huwa  mnafanya kule  makka  and  madina

Regards

XN

2012/10/24 rashid martin <rashidtz@hotmail.com>
               ASSALAMU ALAIKUM YA HAYYU ALLADHINA AMANUU

kwa wale waislamu napenda kuwakumbusha na pia kuwasisitiza kuwa kesho ni moja ya masiku matukufu, ni siku ya ARAFA,
ARAFA-ni mwezi tisa ya kila mfungo tatu, asili ya arafa kwa uchache ni eneo ambalo kwa mara ya kwanza  adamu na hawa walionana for the first time, baada ya kutupwa duniani,ni pale walipo ondolewa kwenye bustani walizokuwa wakikaa,...pana historia nyingi na maelezo mengi, lakini kwa uchache ni hivo, kwa mantiki hiyo kesho mahujaji wataenda kushinda kwenye viwanja hivo vya arafa, therefore kwa wale ambalo hatukupata nafasi ya kwenda hijja tuna paswa ingawa ni sunna, kufunga hiyo kesho even though tulipaswa tufunge kwa masiku yote tisa mara baada ya kuingia mfungo tatu....kuna fadhila nyingi sana kwa atakae funga hiyo kesho, moja ya fadhila hizo ni kusamehewa dhambi mwaka mmoja kabla na mwaka mmoja baadae  kama ALLAH akitaka au akipenda na kama ukikamilisha masharti ya toba, masharti ambayo nahakika mnayasikia kwa viongozi mbalimbali wa dini ikiwa ni masheikh, maimamu nk
kwa wale mnaopenda kuwabeza waislamu natoa ombi la kutowabeza katika thread hii niliyo iposti kwani ni mambo yao ya kuabudu.....
nawatakia nia ya kufunga kama afya ipo
wabilah taufiki
IDD MUBARAKK

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" IT IS MORE IMPORTANT  TO  USE YOUR  MIND TO THINK  THAN TO USE IT  AS  A WAREHOUSE  OF  FACT"

0 comments:

Post a Comment