Kuna wakati nakata tamaa. nadhani huko mbele tuendako ni giza tupu. Ninapoona kuna vijana wanaoweza kuona maana katika aliyoyasema Museven narudiwa na tumaini.
--------------------------------------------
On Sat, 3/4/17, Emmanuel Elisa <emmanuelelisa46@yahoo.com> wrote:
Subject: Re: ZIARA YA MUSEVENI TANZANIA: IPO HAJA YA KUMUITA NA KUMSIKILIZA KWA UTULIVU!
To: "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com>, "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "prudence karugendo" <prudencekarugendo@yahoo.com>
Cc: "stanley.nshange@nsn.com" <stanley.nshange@nsn.com>, "innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>, "akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>, "tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>, "hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>, "emmanuelelias2005@yahoo.com" <emmanuelelias2005@yahoo.com>, "repeatitagency@yahoo.com" <repeatitagency@yahoo.com>, "stanley.nshange@nokia.com" <stanley.nshange@nokia.com>, "uhalisi@yahoo.co.uk" <uhalisi@yahoo.co.uk>, "tundu.lissu@gmail.com" <tundu.lissu@gmail.com>, "pkarugendo@yahoo.com" <pkarugendo@yahoo.com>, "mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>, "bilhuda2006@yahoo.co.uk" <bilhuda2006@yahoo.co.uk>, "davidkafulila@yahoo.com" <davidkafulila@yahoo.com>, "muddy.kiobya@gmail.com" <muddy.kiobya@gmail.com>, "wilfredlwakatare@gmail.com" <wilfredlwakatare@gmail.com>
Date: Saturday, March 4, 2017, 9:08 AM
Museven ni asset iliyobaki Africa kwa waafrica (and
african descendants) duniani kote. "Nabii hana heshima
kwao" nadhani ndio maana hata marafiki wengi wa Nyerere
wako nje ya mipaka ya Tanzania. Once Nyerere said,"African nationalism is
meaningless, is anachronistic, and is dangerous, if it is
not at the same time Pan-Africanism". What is
Pan-Africanism?. Mbali na kupata uhuru kwa nchi za Africa
waasisi wetu walidhamiria kuwaunganisha waafrica na asili
zote za Africa duniani, undugu umeanzia huku. Ndio maana
Mugabe alishangaa kuwaona wasouth Africa walivowafukuza
waafrica wenzao wakisema sio wenzao huku wakiwaacha wazungu,
ndio maana Museven anashangaa kuona watu mnaokaa chumbani mkitaka kutoka nje kupitia
sebleni utadaiwa passport, yeye anatushangaa na sisi
tunamshangaa, nani yupo sahihi kumshangaa mwenzake?.
Tukiyafikiri na kuyajua tutajishangaa
tulivyoshangaa.
Kama ningekuwa Uganda bado ningeendelea kumpigia
kura Museven mpaka pale ambapo angezaliwa kiongozi anayejua
tumetoka wapi, tupo wapi na tunapaswa kwenda wapi, kama
ninavyofanya kwa Tanzania.
Emmanuel.
On Thursday, March 2,
2017 1:10 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
wrote:
Mwishoni mwa February
2017 Tanzania ilimkaribisha mgeni. Rais wa Jamhuri ya
Uganda. Yoweri Kaguta Mseveni
Kati ya maneno
aliyoyasema ni haya yafuatayo: (Tafsiri na nukuu sio
rasmi).
"Mimi ni mfuasi wa Nyerere.
Nilikuja kusoma University of Dar Es salaam si kwa sababu
Uganda hakukuwa na University. Hapana. Nilitaka kuwa karibu
na Nyerere".
" Nchi nyingi Afrika
zilitawaliwa. Kasoro Ethiopia. Lakini Afrika tulinusurika.
Waafrika ni wagumu kufa. Ukienda Amerika utakuta watu
wanajiita wamarekani. Sio wamarekani. Wale walikwenda
wakawaua wamarekani wakaichukua nchi wakaikalia. Sisi
tulinusurika. Kwa sababu waafrika niwagumu kufa. Hii
inahitaji maelezo lakini muda hautoshi".
" Mimi ushirikiano na mataifa ya Afrika ni
muhimu kuliko kushirikiana na Ulaya. Tatizo la Afrika
unakuta watu mnakaa chumbani ukitaka kutoka kwenda nje
kupitia sebuleni hapo sebuleni kupita mpaka upate Passport.
Huna mamlaka. Huko nyuma tulikuwa tunakuja kuchukua mizigo
yetu bandari ya Dar Es salaam unakuta mtu kalala usingizi.
Mpaka ubembelezee ndipo 'akusaidie'. Utadhani
anakusaidia kukupitishia mizigo kumbe unamlipa. Tukanyamaza
na kuomba Mungu atende muujiza. Sasa Mungu ametenda. Tuna
rais Magufuli anafanya kazi. __________".
" Nimekuja kufanya mambo mawili: 1)
kuwashukuru watanzania kwa kuisaidia Uganda. 2) kuongea na
vijana kuwaambia mbona mnakaa mnaangalia pira. Jingine mko
Amerika. Ukweli haki zenu na interest zenu ziko hapa Africa.
Msipende mambo ya America".
Ninaamini
Museveni alikuwa na maana kubwa ndani ya maneno hayo.
Nilitarajia columnists wetu kuchambua hayo katika vyombo
mbali mbali vya habari na mitandao ya kijamii. Ukusikiliza
sana TVs kadhaa za nchi zinazoinukia hukosi mijadala kuhusu
mambo muhimu kama hayo. Sikiliza CGTN (China Global
Television Network). Mijadala kama hiyo hujenga jamii zenye
mwelekeo. Huimarisha na kujenga umoja.
Elisa Muhingo
elisamuhingo@yahoo.com
0767 187 507
--
Send
Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa
Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears
the
sole
responsibility
for any legal
consequences
of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership
signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you
are subscribed
to
the
Google
Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group
and
stop
receiving
emails
from
it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting
to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or
her postings, and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because
you are subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an
email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more
options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts
must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google
Groups "Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment