Friday 24 March 2017

Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:

Elisa,
Vita hii ni mbaya kwa sababu tu kaianzisha Makonda, ingeanziahwa na kamanda yeyote kwa mtindo huu huu ingekuwa nzuri na ujasiri. Mtindo huu uliwahi kutimiza na makamanda pale mwembe yanga kwa kutaja majina ya mafisadi papa kwa kilichoitwa list of shame. Hakuna aliyepiga kelele kuwa imedhalilisha watu wala haikuwa kinyume cha haki za binadamu. 
Waliotajwa na Makonda ni wasomi na wanajua taratibu zakufuata kama jina lako limeharibiwa bila sababu. Kwanini hawachukui hatua kama kweli hawahusiki na biashara hiyo ama kwa kuuza au kutumia? Hatujaona mtu akifungua kesi ya madai kuharibiwa jina lake. Ukimya wao ni dhahiri kuwa wanahusika kwa namna moja ama nyingine. 
Makonda amefanya kazi yake na imezaa matunda, badala ya kumpeleka mahakamani mnatumia vijana kumlazimisha awaonyeshe vyeti huku vyenu hamuvionyeshi kama mfano.
Anaweza kweli kuwa alitumia cheti cha mtu kujiendeleza lakini kwa kelele hizi nilitegemea mngemleta Paul Christianhadharani atuthibitishie kuwa Makonda siyo Paul Christian. Badala yake mnataka mtuhumiwa athibitishe kuwa yeye ndiye. Utaratibu huo hautumiki hapa kwetu labda msumbiji, sisi mzigo wakuthibitisha jambo upo mabegani mwa anayetuhumu siyo mtuhumiwa.
Hata kama mimi si msomi wa sheria naomba wasomi wa Sheria watufafanulie burden of prove ikoje. Wanasema "he who avars must prove" kwa hiyo siyo kazi ya Makonda kuthibitisha ni yenu mnaosema siyo vyake. Tuthibitishieni kwa vielelezo siyo kwa povu la kwenye mihadhara. 
Elisa, Makonda ameonyesha njia tumuunge mkono


On Sat, 25 Mar 2017 at 7:36, Fred Hans Kipamila
<fhkipamila@yahoo.com> wrote:

Ushahidi wa kitakwimu hatuna lakini katika hali ya kawaida ya kinadamu tunaviona vijiwe vya mateja tunaoishi nao mitaani vimekauka. Kwa wale mnaojua yanakopatikana mnaweza kutusaidia takwimu 

On Sat, 25 Mar 2017 at 7:32, 'lucas haule' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kaka Elisa Muhingo nina vijimaswali kwa ajili ya kujiweka sawa.
Baada ya kutajwa washukiwa umeandika vijna wanaodondoka udenda wamepungua?
Swali: 1 Kigezo kipi kimeonyesha wamepungua 2. Wamepungua wameacha au, 3 Kutokamatwa mla rushwa inamaana rushwa hakuna( usipo waona wewe inamaana hawapo) 4 Kila vita ina mbinu zake, wazani mbinu ya makonda ni mbinu sahihi,  5. Kuaibisha na kutuhumu usio na ushahidi nao, huoni inawasaidia washukiwa halisi kupata pa kujificha?

Nami ni maoni yaliyokuja kimaswali.



From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, March 24, 2017 10:14 PM
Subject: Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:

Haya ni mqoni yangu na tafsiri yangu ya mambo. Ninachosema ni: makonda alitangaza majina ya washukiwa. Akawataka wajieleze kituo cha Polisi.
Baadaye Rais akatangaza tume ya kudhibiti madawa ya kulevya.
Vijana walikuwa wanadondoka udenda wamepungua mitaani.
hayo na mengine nikayatafsiri hivyo:
Ukitaka upigane na wauza unga lazima uwe na mkakati. Naona mkakati ulianza kwa kuwataja washukiwa. Hata kama hakukuwa na ushaidi wa kimahakama, kupungua kwa watumia unga mitaani kulitokana na mpangilio huo.
Saa niite unavyoona. Nayo ni maoni yako
--------------------------------------------
On Fri, 3/24/17, 'Jovi kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:
Date: Friday, March 24, 2017, 6:59 PM

Muhingo, nakunukuu "Magufuli alichofanya
ilikuwa kumtanguliza Makonda. Makonda toka amewataja wauza
madawa biashara hii imeathirika sana 
Tanzania"
Mpaka
nasikia kucheka. Magufuli nimjuaye mimi amtangulize Makonda?
Kwa kuogopa nini? Naona sasa unataka kuwa msemaji wa Rais
Hongera sana.
 Jovin
Bifabusha 
DIRECTOR
  KWFF LTD
 
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
+255-765-010235
Karagwe,
Tanzania

 
  On Friday, March 24, 2017 4:58 PM,
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
 

  Elisa,Mimi
nilikisoma hadharani. Nilikuwa naenda nacho shuleni 1966.
Sikukamatwa, nadhani hata polisi wangenikamata sidhani
ningepelekwa detention. Detention ilikuwa kwa wale
waliokuweawanafanya njama za kupindua serikali
peke yake. I was there and I know what I am talking
about.em
2017-03-24 6:52 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Soma tena
nilichokiandika. Kilikuwa kimepigwa marufuku. Nadhani hukuwa
unakisoma hadharani labda kama ulikuwa maeneo yasiyoonekana.
kama ulikuwa hujui basi ilikuwa na bahati it was one of the
forbidden documents. Nami nilikisoma katika mazingira maalum
na sio hadharani.

------------------------------ --------------

On Thu, 3/23/17, Emmanuel
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA:
HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA
CHIFUPA:


 Date: Thursday, March 23, 2017, 7:11 PM



 Amazing.

 Kitabu cha John Okello nimekisoma nikiwa Agha Khan

 Dar-es-Salaam mwaka 1966. Sikuwekwa

 kizuizini.em

 2017-03-23 9:34 GMT-04:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Kama kuna

 jambo baya alilowahi kulifanya Mwalimu Nyerere katika
uhai

 wake, ni kushirikiana na Dr. Milton Obote wa Uganda na
Jomo

 Kenyata wa Kenya kumnyanyasa Field Mashal John Okello
baada

 ya kufanikisha mapinduzi ya Zanzibar. Inasemekana mara
baada

 ya kuupindua usultani wa Zanzibar, John Okello
alionekana

 tishio kwa mataifa ya Afrika Mashariki na hivyo
kutupwa

 tupwa huku na huko na akakosa mwelekeo na kupotelea

 kusikojulikana. Katika kitabu chake John Okello
anasema

 kusudi lake kubwa haikuwa kuzipindua serikali halali
bali

 alitaka kuelekea kusini kuzipindua serikali za huko
na

 alitaka kuanzia Angola. Myaka yetu hiyo ungekutwa na
kitabu

 hicho ungewekwa kizuizini.



 Wakati fulani waIsrael wakipigana na waFilisti

 waliwatanguliza wenzao ambao walikimbia mbele ya
wafilisti.

 Huo ulikuwa mtego wa kuwaondoa askari wa wafilisti
mjini ili

 waisrael wauchome moto na kuwapiga kutokea pande zote.
Vita

 ina mbinu nyingi. Hii hutegemea na adui unayepigana
naye.



 Nani haoni mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya?
Pita

 mitaani kama utakuta watu wakisinzia hovyo hovyo
kama

 ilivyokuwa kabla ya vita kuanza! Hakuna kitu kibaya
kama

 watu kutoona kinachoendelea na badala yake kuona

 kisichokuwepo.



 Magufuli alichofanya ilikuwa kumtanguliza Makonda.
Makonda

 toka amewataja wauza madawa biashara hii imeathirika
sana

 Tanzania. Haiingii akilini kuwa Makonda alitamka
majina bila

 kuwa na habari kamili. Kama inavyojulikana duniani
wafanya

 biashara wa madawa wana nguvu nyingi. Wana hela
nyingi.

 Wanaweza kumnunua mtu yeyote kama tunavyoona.
Wanayumbisha

 serikali nyingi. Wanaofikiri vita hii ingeanza bila
kuwataja

 wauza unga hawajaelewa vizuri vita yenyewe au ni
wanufaika.

 Kitendo cha Makonda kuwataja tu; mizigo iliyokuwa
njiani

 ilikomea huko huko. Iliyokuwa imeingia nchini ndiyo
inapata

 shida kuwafikia wateja. Kazi ya kwanza na muhimu
ilikuwa

 imekamilika. Ndipo na tume ya madawa ikatajwa.
Ingetajwa

 kabla ya kuwataja wahusika tume hiyo ingeishia hapo
hapo

 kwenye sherehe ya kuiapisha. Tungeshtukia magorofa
yanaota

 na ukifuatilia kila mjumbe wa tume angemiliki moja.



 Faida nyingine ya kuwataja, ilisaidia mamlaka kujua
nani

 zaidi wanahusika na nani ni wanufaika. Tukawasikia
walioanza

 kusema "heshima za watu zimeharibika". Wenye
akili

 tukaongeza kwenye orodha. Watu wakahoji " inakuwaje
watu

 watajwe kabla ya uchunguzi". Utendaji wa polisi
kwa

 kiwango tulicho nacho na tulivyozoea ni Mamlaka
ikipata

 fununu inamchukua mtuhumiwa na kwenda kumhoji. Sasa
kama

 ndicho kilichofanyika kwa nini watu waone shida
kuwataja

 watuhumiwa? Nani amewapeleka gerezani, ambako
huenda

 waliohukumiwa? Watu wameitwa Polisi ili uchunguzi
ufanyike.

 Utawaitaje Polisi bila kuwataja? Mboja list of
shame

 ilitajwa na ndipo mengine yakafuata? Baada ya kutajwa
mtu

 anachukua juhudi zake kujisafisha. Iweje watake
kusafishwa?

 Mbona wezi wa kuku hujisafisha kila siku?







 Ninafahamu na ninaamini waliotajwa ni wahusika tu.

 Kinachoweza kukosekana ni ushahidi wa kimahakama. Kwa
hiyo

 ilikuwa ni hatari kutumia njia ya kimya kimya.
Wangekuwa

 wanaendelea na mitaani waathirika wangekuwa kama kawa.
Sasa

 hatuwaoni. Kwa nini Makonda alitumika, alitumiwa au
alitumia

 njia sahihi.



 Baada ya hapo tunaona maajabu. Mtu anaibuka na hoja ya
vyeti

 vya Makonda. Anawakusanya watu kwa wingi kumuunga
mkono.

 Kuwa tuache agenda ya madawa yanayoharibu vijana
wetu

 tushughulikie vyeti vya Makonda. Sisemi makonda
hakufoji.

 (Japo sisemi alifoji, maana sijui). Ninasema kuacha
wahalifu

 wa madawa ya kulevya kwa sababu ya vyeti ni ujinga.
Kama si

 ujinga (kwa wasionufania) na ni  mbinu ya
wahusika (kwa

 wahusika wa madawa hayo.



 Mtu kutarajia kuwa rais atamchukulia hatua zozote
za

 kumfanya Makonda asishughulikie madawa hayo ni
kumdharau

 rais. Kumfanya hana akili. Hajui malengo yake. Kama
rais ana

 dhamira njema na ndiye anayeongoza taifa kupambana na
madawa

 ya kulevya hawezi kuanza kumshughulika na vyeti vya
Makonda.

 Akifanya hivyo nitamdharau. Nitajua hana agenda.
Anaweza

 kuyumbishwa na jambo lolote na kutelekeza agenda yake.
Hata

 wasaidizi wake wasingeendelea kumsaidia. Kama rais
mstaafu

 Jakaya Kikwete alikuwa na dhamira ya kupambana na
madawa.

 Akampata Amina Chifupa, na kwa ujasiri akawa tayari
kuwataja

 wahusika kama alivyosema; Kikwete angekuwa na mamlaka
ya

 kuamurisha kifo angekiamuru kisimguse Amina Chifupa.
Watu

 aina ya Makonda au Chifupa sio wengi. Wao ni mashujaa
wa

 taifa hili na hawapatikani. Mmoja nimemuuliza "wewe
ukiwa

 msifuni ukagundua kuwa dereva wako hana liseni.
Utamteremsha

 msituni na kurudi mjini kutafuta dereva mwenye
liseni?

 Akasema atakuja mjini na dereva huyo hadi mjini na
akifika

 anambadilishia kazi. Nikasema tumuache Magufuli
atoke

 msituni. Yuko msituni kwa sababu ni watu wachache
walio na

 nia ya kupambana na madawa kama alivyo Makonda.
Huwezi

 kumtelekeza ukafikiri vita itaendelea.



 Kama taifa litakosa ushahidi wa kuwapeleka
mahakamani

 wahusika lakini angalau biashara yao imeingiliwa na

 haitiririki kama ilivyokuwa. Huenda isirudie pale
ilipokuwa.

 Angalau wauza unga wanajua kuna serikali. Juhudi zao
za

 kuiyumbisha zinawayumbisha kuliko serikali
inavyoyumba. Pia

 watanzania wameona kuwa hakuna mtu anayeweza
kujihakikisha

 kutoshughulikiwa kwa sababu ya nafasi aliyo nayo
kisiasa au

 kiuchumi. Hakuna tena mtu kufikiri kwa sababu ana
fedha basi

 atawaamrisha waliotumwa kumkamata.



 Mahala pa kuonyesha uzalendo ni hapa. Ni sasa. Hatuna
budi

 kuiunga mkono serikali yetu kila inaponusa usaliti
na

 kuufagia. Kanunu za mchezo wa ngumi zipo.
Ukizitumia

 kuuendesha mchezo wa ngumi na mateke hutafika. Huu si
mchezo

 wa ngumi. Ni mchezo wa mateke na ngumi. Mbinu zote

 zinatakiwa ili kushinda.



 Lakini ninajisikia kuumia. Kuna watu ninajua
wanaelewa.

 Wamesikia kelele za mlango na kuamua kujitenga. Vita
ikiisha

 nitawaita na kuwashauri. Wasijisikie vibaya. Hata
wakati wa

 vita ya Uganda zilipotumika silaha nzito, (nasikia)
kuna

 askari wetu walikimbia kwa kudhani ni za adui. Hapana
ndiyo

 vita.



 Elisa Muhingo



 0767 187 507










     



              --



          



             



          



        



              Send



          



             



          



        



             
 



          



             



          



          



            Kujiondoa
Tuma Email kwenda



          



             



          



          



           
wanabidii+...@ googlegroups.com 



          



        



             Utapata
Email ya



          



        



             
kudhibitisha ukishatuma



          



             



          



        



             
 



          



             



          



          



           
Disclaimer:



          



             



        



          



             
Everyone



         posting to this Forum
bears



           the sole



          



            
responsibility



          



              for
any legal



         consequences of his or



           her postings,



          



            and



          



        



             hence



          



             
statements and facts must be



         presented



           responsibly.



          



        



            Your



          



             
continued membership signifies that



           you agree to



          



            this



          



             
disclaimer and pledge to abide by



         our



           Rules and



          



            
Guidelines.



          



             



          



          



            ---



          



             



          



              You
received this



         message because you



           are subscribed



          



            to



          



        



             the



          



              Google
Groups "Wanabidii"



           group.



          



             



          



          



            To
unsubscribe from this group and



          



         stop receiving



          



          



          emails



          



             
from



         it, send an email to
wanabidii+...@



          



         googlegroups.com.



          



          



           



          



              For
more



         options, visit



          



             https://groups.google.com/d/



           optout.



          



             



          



          



        



          



          



          



        



           --



          



           Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



          



            



          



        



           Kujiondoa Tuma
Email kwenda



          



          
wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 



          Utapata Email ya



          



         kudhibitisha ukishatuma



          



            



          



          



         Disclaimer:



          



           Everyone



         posting to this Forum
bears the sole



        



         responsibility



           for any legal
consequences



         of his or her postings,
and



          hence



           statements and
facts must be presented



         responsibly. Your



           continued
membership



         signifies that you agree
to this



          



         disclaimer and pledge to
abide by our Rules



   and



           Guidelines.



          



           ---



          



          



         You received this message
because you are



     subscribed



       to



          the



           Google Groups



         "Wanabidii"
group.



          



           To unsubscribe from
this group and stop



         receiving emails



           from it, send an
email



         to
wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.



          



           For more
options,



         visit



        




 optout.



          



        



           



        



      



       --



       Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



      



       Kujiondoa Tuma Email kwenda



       wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 



       Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



      



       Disclaimer:



       Everyone posting to this Forum
bears the sole



      responsibility



       for any legal consequences of his
or her



   postings,



     and



      hence



       statements and facts must be
presented



   responsibly.



     Your



       continued membership signifies
that you agree to



     this



       disclaimer and pledge to abide by
our Rules and



      Guidelines.



       ---



       You received this message because
you are



   subscribed



     to



      the



       Google Groups
"Wanabidii" group.



       To unsubscribe from this group
and stop

 receiving



     emails



       from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.



       For more options, visit




 optout.







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.





--




Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.






--


 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


     



--


 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment