Soma tena nilichokiandika. Kilikuwa kimepigwa marufuku. Nadhani hukuwa unakisoma hadharani labda kama ulikuwa maeneo yasiyoonekana. kama ulikuwa hujui basi ilikuwa na bahati it was one of the forbidden documents. Nami nilikisoma katika mazingira maalum na sio hadharani.
--------------------------------------------
On Thu, 3/23/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, March 23, 2017, 7:11 PM
Amazing.
Kitabu cha John Okello nimekisoma nikiwa Agha Khan
Dar-es-Salaam mwaka 1966. Sikuwekwa
kizuizini.em
2017-03-23 9:34 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama kuna
jambo baya alilowahi kulifanya Mwalimu Nyerere katika uhai
wake, ni kushirikiana na Dr. Milton Obote wa Uganda na Jomo
Kenyata wa Kenya kumnyanyasa Field Mashal John Okello baada
ya kufanikisha mapinduzi ya Zanzibar. Inasemekana mara baada
ya kuupindua usultani wa Zanzibar, John Okello alionekana
tishio kwa mataifa ya Afrika Mashariki na hivyo kutupwa
tupwa huku na huko na akakosa mwelekeo na kupotelea
kusikojulikana. Katika kitabu chake John Okello anasema
kusudi lake kubwa haikuwa kuzipindua serikali halali bali
alitaka kuelekea kusini kuzipindua serikali za huko na
alitaka kuanzia Angola. Myaka yetu hiyo ungekutwa na kitabu
hicho ungewekwa kizuizini.
Wakati fulani waIsrael wakipigana na waFilisti
waliwatanguliza wenzao ambao walikimbia mbele ya wafilisti.
Huo ulikuwa mtego wa kuwaondoa askari wa wafilisti mjini ili
waisrael wauchome moto na kuwapiga kutokea pande zote. Vita
ina mbinu nyingi. Hii hutegemea na adui unayepigana naye.
Nani haoni mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya? Pita
mitaani kama utakuta watu wakisinzia hovyo hovyo kama
ilivyokuwa kabla ya vita kuanza! Hakuna kitu kibaya kama
watu kutoona kinachoendelea na badala yake kuona
kisichokuwepo.
Magufuli alichofanya ilikuwa kumtanguliza Makonda. Makonda
toka amewataja wauza madawa biashara hii imeathirika sana
Tanzania. Haiingii akilini kuwa Makonda alitamka majina bila
kuwa na habari kamili. Kama inavyojulikana duniani wafanya
biashara wa madawa wana nguvu nyingi. Wana hela nyingi.
Wanaweza kumnunua mtu yeyote kama tunavyoona. Wanayumbisha
serikali nyingi. Wanaofikiri vita hii ingeanza bila kuwataja
wauza unga hawajaelewa vizuri vita yenyewe au ni wanufaika.
Kitendo cha Makonda kuwataja tu; mizigo iliyokuwa njiani
ilikomea huko huko. Iliyokuwa imeingia nchini ndiyo inapata
shida kuwafikia wateja. Kazi ya kwanza na muhimu ilikuwa
imekamilika. Ndipo na tume ya madawa ikatajwa. Ingetajwa
kabla ya kuwataja wahusika tume hiyo ingeishia hapo hapo
kwenye sherehe ya kuiapisha. Tungeshtukia magorofa yanaota
na ukifuatilia kila mjumbe wa tume angemiliki moja.
Faida nyingine ya kuwataja, ilisaidia mamlaka kujua nani
zaidi wanahusika na nani ni wanufaika. Tukawasikia walioanza
kusema "heshima za watu zimeharibika". Wenye akili
tukaongeza kwenye orodha. Watu wakahoji " inakuwaje watu
watajwe kabla ya uchunguzi". Utendaji wa polisi kwa
kiwango tulicho nacho na tulivyozoea ni Mamlaka ikipata
fununu inamchukua mtuhumiwa na kwenda kumhoji. Sasa kama
ndicho kilichofanyika kwa nini watu waone shida kuwataja
watuhumiwa? Nani amewapeleka gerezani, ambako huenda
waliohukumiwa? Watu wameitwa Polisi ili uchunguzi ufanyike.
Utawaitaje Polisi bila kuwataja? Mboja list of shame
ilitajwa na ndipo mengine yakafuata? Baada ya kutajwa mtu
anachukua juhudi zake kujisafisha. Iweje watake kusafishwa?
Mbona wezi wa kuku hujisafisha kila siku?
Ninafahamu na ninaamini waliotajwa ni wahusika tu.
Kinachoweza kukosekana ni ushahidi wa kimahakama. Kwa hiyo
ilikuwa ni hatari kutumia njia ya kimya kimya. Wangekuwa
wanaendelea na mitaani waathirika wangekuwa kama kawa. Sasa
hatuwaoni. Kwa nini Makonda alitumika, alitumiwa au alitumia
njia sahihi.
Baada ya hapo tunaona maajabu. Mtu anaibuka na hoja ya vyeti
vya Makonda. Anawakusanya watu kwa wingi kumuunga mkono.
Kuwa tuache agenda ya madawa yanayoharibu vijana wetu
tushughulikie vyeti vya Makonda. Sisemi makonda hakufoji.
(Japo sisemi alifoji, maana sijui). Ninasema kuacha wahalifu
wa madawa ya kulevya kwa sababu ya vyeti ni ujinga. Kama si
ujinga (kwa wasionufania) na ni mbinu ya wahusika (kwa
wahusika wa madawa hayo.
Mtu kutarajia kuwa rais atamchukulia hatua zozote za
kumfanya Makonda asishughulikie madawa hayo ni kumdharau
rais. Kumfanya hana akili. Hajui malengo yake. Kama rais ana
dhamira njema na ndiye anayeongoza taifa kupambana na madawa
ya kulevya hawezi kuanza kumshughulika na vyeti vya Makonda.
Akifanya hivyo nitamdharau. Nitajua hana agenda. Anaweza
kuyumbishwa na jambo lolote na kutelekeza agenda yake. Hata
wasaidizi wake wasingeendelea kumsaidia. Kama rais mstaafu
Jakaya Kikwete alikuwa na dhamira ya kupambana na madawa.
Akampata Amina Chifupa, na kwa ujasiri akawa tayari kuwataja
wahusika kama alivyosema; Kikwete angekuwa na mamlaka ya
kuamurisha kifo angekiamuru kisimguse Amina Chifupa. Watu
aina ya Makonda au Chifupa sio wengi. Wao ni mashujaa wa
taifa hili na hawapatikani. Mmoja nimemuuliza "wewe ukiwa
msifuni ukagundua kuwa dereva wako hana liseni. Utamteremsha
msituni na kurudi mjini kutafuta dereva mwenye liseni?
Akasema atakuja mjini na dereva huyo hadi mjini na akifika
anambadilishia kazi. Nikasema tumuache Magufuli atoke
msituni. Yuko msituni kwa sababu ni watu wachache walio na
nia ya kupambana na madawa kama alivyo Makonda. Huwezi
kumtelekeza ukafikiri vita itaendelea.
Kama taifa litakosa ushahidi wa kuwapeleka mahakamani
wahusika lakini angalau biashara yao imeingiliwa na
haitiririki kama ilivyokuwa. Huenda isirudie pale ilipokuwa.
Angalau wauza unga wanajua kuna serikali. Juhudi zao za
kuiyumbisha zinawayumbisha kuliko serikali inavyoyumba. Pia
watanzania wameona kuwa hakuna mtu anayeweza kujihakikisha
kutoshughulikiwa kwa sababu ya nafasi aliyo nayo kisiasa au
kiuchumi. Hakuna tena mtu kufikiri kwa sababu ana fedha basi
atawaamrisha waliotumwa kumkamata.
Mahala pa kuonyesha uzalendo ni hapa. Ni sasa. Hatuna budi
kuiunga mkono serikali yetu kila inaponusa usaliti na
kuufagia. Kanunu za mchezo wa ngumi zipo. Ukizitumia
kuuendesha mchezo wa ngumi na mateke hutafika. Huu si mchezo
wa ngumi. Ni mchezo wa mateke na ngumi. Mbinu zote
zinatakiwa ili kushinda.
Lakini ninajisikia kuumia. Kuna watu ninajua wanaelewa.
Wamesikia kelele za mlango na kuamua kujitenga. Vita ikiisha
nitawaita na kuwashauri. Wasijisikie vibaya. Hata wakati wa
vita ya Uganda zilipotumika silaha nzito, (nasikia) kuna
askari wetu walikimbia kwa kudhani ni za adui. Hapana ndiyo
vita.
Elisa Muhingo
0767 187 507
elisamuhingo@yahoo.com
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment