Thursday 30 March 2017

[wanabidii] CITY FM RADIO 91.1Dar-es-Salaam Yapokea Muziki wa Ngoma Africa band aka FFU




CITY FM RADIO 91.1 Dar-es-Salaam Yapokea Muziki wa Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni

Baada ya wadau wa muziki wa dansi kutaka kusikia mdundo wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni inayongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras Makunja uchezwe redioni,nyimbo hizo zimekabidhiwa katika CITY FM RADIO 91.1
ya jijini Dar-es-Salaam mapema leo,kwa sasa wadau wa muziki wa dansi
watapata burudani ya kusikia nyimbo za bendi hiyo iliyojijengea umaarufu
wa kimataifa na kuteka nyoyo za washabiki katika majukwaa ya kimataifa.
Ngoma Africa band imedumu katika medani ya muziki kwa takribani miaka 23 tangu ianzishwe mwaka 1993 na kiongozi wake Kamanda Ras Makunja.
pia unaweza kuwasikiliza at www.ngoma-africa.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment