Friday 24 March 2017

Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:

Ukweli nimefarijika. Si kwa kuungwa mkono ila kwa hoja. Jana kulikuwa na matukio mawili.
1) Waziri aliyeachishwa kazi Nape akitaka kufanya Mkutano na waandishi wa habari. Tumeshuhudia waandishi walivyokuwa wakihangaika kupiga picha na kupata habari ambazo wala hazisaidii kupambana na maadui wetu wakuu yaani rushwa, ufisadi na uzembe kazini.
2) kulikuwa na ziara ya rais bandalini ambapo kumekutwa madini yetu yakitoroshwa na wakwepa kodi wakisafirisha magari kwa kodi ya mitumba. Waandishi wetu hawakuwepo kwa wingi huo kama waliomfuata nape. Wasomi wetu hawa wanajua taifa linakwenda wapi? Linahitaji nini?
Baada ya hapo watanzania wanadai madawa hospitalini. Bila kumsaidia rais kuzuia madini yetu kutoroshwa tunataka madawa yatoke wapi? Ukweli wasomi wetu sio waelimika kama tunavyotarajia.
Ipo haja ya kurekebisha namna ya kulea watanzania kujua matakwa yao ni nini.
--------------------------------------------
On Fri, 3/24/17, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 24, 2017, 9:46 AM

Elisa Muhingo,Nchi
yetu imefika pabaya sana. Mambo ya msingi hayana maana tena
bali ushabiki umewakwa mbele. Tunashabikia bila kuhoji,
wasomi na wanazuoni wamepofushwa macho. Wenye ujasili kama
wako ni wachache mno. Kuna mambo ya kujadiliwa lakini
hayapewi umuhimu. Nilitegemea wasomi wangejikita kwenye
masuala kama ya usafirishaji wa mchanga kwenda nje ya nchi.
Faida na hasara zake, uendelee kubebwa au hapana. Mchanga
huu una nini? Hakuna anayehangaika na hilo. Suala la vyeti
vya Makonda limekuwa ndiyo hoja. Anatakiwa kuonyesha vyeti
vyake mtandaoni lakini wanaodai hivyo hakuna hata mmoja
aliyeweka vyake kama mfano tuvione.Hawatuthibitishii
kwa kumleta Paul Christian halisi ili atuthibitishie ukweli
wa jambo lenyewe. Sina sababu ya kumtetea Makonda kama
alifoji vyeti, lakini pia sina sababu ya kuamini bila
uthibitisho kuwa Paul Makonda ndiye Daudi Albert Baahite.
Nitaamini hili atakapojitokeza Paul Christian
halisi.Elisa,
tumelaani sana suala la kuwataja watu hadharani kwa kuwa tu
limefanywa na Makonda mwana CCM lingefanywa na Mbowe na
genge lake lingekuwa halali na lisingekuwa udhalilishaji.
Ndiyo, iliwahi kutokea mwembe yanga miaka ya nyuma watu
walitajwa kama mafisadi papa na haikuwa
udhalilishaji. Kama
alichofanya Makonda ni udhalilishaji wahusika wanajua
taratibu wangezifuata. Thngeona kesi za kudhalilishwa
zinafunguliwa dhidi yake. Badala yake wanahangaika na kesi
za kikatiba kwanini, kwa vile wanajua ukweli na wanajua
wataumbuka. Tumwache Makonda afanye kazi tumpe nafasi rais
wetu kusafisha papasi waliongia ndani ya nyumba yetu kwa
njia ya soko huria. Haha rais mstaafu ambaye ndiye aliasisi
sera hii mzee Ruksa alikiri kuwa wazo la kufungua milango
lilikuwa zuri ila matokeo ya kufungua milango ndiyo
yaliyotufikiaha hapa tulipo. Amesema ukifungua mlango kwa
ajili ya kupata hawa safi wataingia pia mbu, mende, papasi
nk. Anachofanya
JPM  ni kuondoa papasi tubaki na hewa safi. Makonda ameamua
kwa dhati kumsaidia mzee kuondoa uchafu lakini wanufaika wa
uchafu wanaleta vikwazo. Sisi
tunaochukia uchafu thsikate tamaa tuendelee kusema mavi ni
uchafu hata kama wengine watauita mbolea. Tusijali matusi
yatakuwa mbolea au mafuta ya ustawi wa taifa letu.Usikate
tamaa songa mbele bila kujali wengine wanasema
nini
Sent
from Yahoo Mail on Android On Thu, 23 Mar 2017 at 21:34, 'Mohamed
Mnzava' via
Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
wrote: Asante sana, . . .
.  "Mahala pa kuonyesha uzalendo ni hapa. Ni sasa.
Hatuna budi kuiunga mkono serikali yetu kila inaponusa
usaliti". . . . . 

Sent from my iPad

> On 23 Mar 2017, at 4:34 PM, 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Kama kuna
jambo baya alilowahi kulifanya Mwalimu Nyerere katika uhai
wake, ni kushirikiana na Dr. Milton Obote wa Uganda na Jomo
Kenyata wa Kenya kumnyanyasa Field Mashal John Okello baada
ya kufanikisha mapinduzi ya Zanzibar. Inasemekana mara baada
ya kuupindua usultani wa Zanzibar, John Okello alionekana
tishio kwa mataifa ya Afrika Mashariki na hivyo kutupwa
tupwa huku na huko na akakosa mwelekeo na kupotelea
kusikojulikana. Katika kitabu chake John Okello anasema
kusudi lake kubwa haikuwa kuzipindua serikali halali bali
alitaka kuelekea kusini kuzipindua serikali za huko na
alitaka kuanzia Angola. Myaka yetu hiyo ungekutwa na kitabu
hicho ungewekwa kizuizini.
> Wakati
fulani waIsrael wakipigana na waFilisti waliwatanguliza
wenzao ambao walikimbia mbele ya wafilisti. Huo ulikuwa
mtego wa kuwaondoa askari wa wafilisti mjini ili waisrael
wauchome moto na kuwapiga kutokea pande zote. Vita ina mbinu
nyingi. Hii hutegemea na adui unayepigana naye.
> Nani haoni mafanikio ya vita ya madawa ya
kulevya? Pita mitaani kama utakuta watu wakisinzia hovyo
hovyo kama ilivyokuwa kabla ya vita kuanza! Hakuna kitu
kibaya kama watu kutoona kinachoendelea na badala yake kuona
kisichokuwepo.
> Magufuli alichofanya
ilikuwa kumtanguliza Makonda. Makonda toka amewataja wauza
madawa biashara hii imeathirika sana Tanzania. Haiingii
akilini kuwa Makonda alitamka majina bila kuwa na habari
kamili. Kama inavyojulikana duniani wafanya biashara wa
madawa wana nguvu nyingi. Wana hela nyingi. Wanaweza
kumnunua mtu yeyote kama tunavyoona. Wanayumbisha serikali
nyingi. Wanaofikiri vita hii ingeanza bila kuwataja wauza
unga hawajaelewa vizuri vita yenyewe au ni wanufaika.
Kitendo cha Makonda kuwataja tu; mizigo iliyokuwa njiani
ilikomea huko huko. Iliyokuwa imeingia nchini ndiyo inapata
shida kuwafikia wateja. Kazi ya kwanza na muhimu ilikuwa
imekamilika. Ndipo na tume ya madawa ikatajwa. Ingetajwa
kabla ya kuwataja wahusika tume hiyo ingeishia hapo hapo
kwenye sherehe ya kuiapisha. Tungeshtukia magorofa yanaota
na ukifuatilia kila mjumbe wa tume angemiliki moja.
> Faida nyingine ya kuwataja, ilisaidia
mamlaka kujua nani zaidi wanahusika na nani ni wanufaika.
Tukawasikia walioanza kusema "heshima za watu
zimeharibika". Wenye akili tukaongeza kwenye orodha. Watu
wakahoji " inakuwaje watu watajwe kabla ya uchunguzi".
Utendaji wa polisi kwa kiwango tulicho nacho na tulivyozoea
ni Mamlaka ikipata fununu inamchukua mtuhumiwa na kwenda
kumhoji. Sasa kama ndicho kilichofanyika kwa nini watu waone
shida kuwataja watuhumiwa? Nani amewapeleka gerezani, ambako
huenda waliohukumiwa? Watu wameitwa Polisi ili uchunguzi
ufanyike. Utawaitaje Polisi bila kuwataja? Mboja list of
shame ilitajwa na ndipo mengine yakafuata? Baada ya kutajwa
mtu anachukua juhudi zake kujisafisha. Iweje watake
kusafishwa? Mbona wezi wa kuku hujisafisha kila siku?
>
> Ninafahamu na
ninaamini waliotajwa ni wahusika tu. Kinachoweza kukosekana
ni ushahidi wa kimahakama. Kwa hiyo ilikuwa ni hatari
kutumia njia ya kimya kimya. Wangekuwa wanaendelea na
mitaani waathirika wangekuwa kama kawa. Sasa hatuwaoni. Kwa
nini Makonda alitumika, alitumiwa au alitumia njia
sahihi.
> Baada ya hapo tunaona maajabu.
Mtu anaibuka na hoja ya vyeti vya Makonda. Anawakusanya watu
kwa wingi kumuunga mkono. Kuwa tuache agenda ya madawa
yanayoharibu vijana wetu tushughulikie vyeti vya Makonda.
Sisemi makonda hakufoji. (Japo sisemi alifoji, maana sijui).
Ninasema kuacha wahalifu wa madawa ya kulevya kwa sababu ya
vyeti ni ujinga. Kama si ujinga (kwa wasionufania) na ni 
mbinu ya wahusika (kwa wahusika wa madawa hayo.
> Mtu kutarajia kuwa rais atamchukulia hatua
zozote za kumfanya Makonda asishughulikie madawa hayo ni
kumdharau rais. Kumfanya hana akili. Hajui malengo yake.
Kama rais ana dhamira njema na ndiye anayeongoza taifa
kupambana na madawa ya kulevya hawezi kuanza kumshughulika
na vyeti vya Makonda. Akifanya hivyo nitamdharau. Nitajua
hana agenda. Anaweza kuyumbishwa na jambo lolote na
kutelekeza agenda yake. Hata wasaidizi wake wasingeendelea
kumsaidia. Kama rais mstaafu Jakaya Kikwete alikuwa na
dhamira ya kupambana na madawa. Akampata Amina Chifupa, na
kwa ujasiri akawa tayari kuwataja wahusika kama alivyosema;
Kikwete angekuwa na mamlaka ya kuamurisha kifo angekiamuru
kisimguse Amina Chifupa. Watu aina ya Makonda au Chifupa sio
wengi. Wao ni mashujaa wa taifa hili na hawapatikani. Mmoja
nimemuuliza "wewe ukiwa msifuni ukagundua kuwa dereva wako
hana liseni. Utamteremsha msituni na kurudi mjini kutafuta
dereva mwenye liseni? Akasema atakuja mjini na dereva huyo
hadi mjini na akifika anambadilishia kazi. Nikasema tumuache
Magufuli atoke msituni. Yuko msituni kwa sababu ni watu
wachache walio na nia ya kupambana na madawa kama alivyo
Makonda. Huwezi kumtelekeza ukafikiri vita itaendelea.
> Kama taifa litakosa ushahidi wa kuwapeleka
mahakamani wahusika lakini angalau biashara yao imeingiliwa
na haitiririki kama ilivyokuwa. Huenda isirudie pale
ilipokuwa. Angalau wauza unga wanajua kuna serikali. Juhudi
zao za kuiyumbisha zinawayumbisha kuliko serikali
inavyoyumba. Pia watanzania wameona kuwa hakuna mtu
anayeweza kujihakikisha kutoshughulikiwa kwa sababu ya
nafasi aliyo nayo kisiasa au kiuchumi. Hakuna tena mtu
kufikiri kwa sababu ana fedha basi atawaamrisha waliotumwa
kumkamata.
> Mahala pa kuonyesha uzalendo
ni hapa. Ni sasa. Hatuna budi kuiunga mkono serikali yetu
kila inaponusa usaliti na kuufagia. Kanunu za mchezo wa
ngumi zipo. Ukizitumia kuuendesha mchezo wa ngumi na mateke
hutafika. Huu si mchezo wa ngumi. Ni mchezo wa mateke na
ngumi. Mbinu zote zinatakiwa ili kushinda.
> Lakini ninajisikia kuumia. Kuna watu
ninajua wanaelewa. Wamesikia kelele za mlango na kuamua
kujitenga. Vita ikiisha nitawaita na kuwashauri. Wasijisikie
vibaya. Hata wakati wa vita ya Uganda zilipotumika silaha
nzito, (nasikia) kuna askari wetu walikimbia kwa kudhani ni
za adui. Hapana ndiyo vita.
> Elisa
Muhingo
> 0767 187 507
> elisamuhingo@yahoo.com
>
>   
>            --
>         
>   
       
>       
>       
>     
      Send Emails to wana...@googlegroups.com
>         
>   
       
>       
>       
>     
       
>         
>           

       
>       
>          Kujiondoa Tuma Email kwenda

>         

         
>         
>       
>     
    wanabidii+...@ googlegroups.com
>       
>     
 
>            Utapata Email
ya
>       

     
>           
kudhibitisha ukishatuma
>         

>           
>       
>     
 
>             
>         
>   
       
>         
>       
>     
    Disclaimer:
>         
>           

     
>         
>            Everyone
>        posting to this Forum bears
>          the sole
>         
>   
        responsibility
>       
 
>            for any legal
>        consequences of his or
>          her postings,
>         
>   
      and
>       
>       
>     
      hence
>         
>            statements and facts
must be
>        presented
>          responsibly.
>       
>     
 
>          Your
>         
>   
        continued membership signifies that
>          you agree to
>         
>   
      this
>         
>            disclaimer and pledge to
abide by
>        our
>          Rules and
>         
>   
        Guidelines.
>         

>           
>         
>   
   
>          ---
>         
>   
       
>         
>            You received this
>        message because you
>          are subscribed
>         
>   
      to
>       
>       
>     
      the
>         
>            Google Groups
"Wanabidii"
>         
group.
>         
>           

       
>       
>          To unsubscribe from this
group and
>       
>        stop receiving
>         
>   
   
>        emails
>         
>   
        from
>        it, send
an email to wanabidii+...@
>       

>        googlegroups.com.
>         
>   
   
>         
>         
>   
        For more
>       
options, visit
>         
>            https://groups.google.com/d/
>          optout.
>         
>   
       
>         
>       
>     
 
>         
>         
>   
   
>       
>          --

       
>          Send Emails
to wanabidii@googlegroups.com
>         
>   
     
>       
>       
>     
    Kujiondoa Tuma Email kwenda
>   
     
>          wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

>        Utapata Email ya
>       
>     
  kudhibitisha ukishatuma
>       
 
>         
>         
>   
   
>        Disclaimer:
>         
>   
      Everyone
>        posting to
this Forum bears the sole
>       

>        responsibility
>          for any legal
consequences
>        of his or her
postings, and
>        hence
>          statements and facts must be
presented
>        responsibly.
Your
>          continued
membership
>        signifies that
you agree to this
>       
>        disclaimer and pledge to abide
by our Rules
>  and
>          Guidelines.
>         
>   
      ---
>         
>       
>     
  You received this message because you are
>    subscribed
>   
  to
>        the
>          Google Groups
>        "Wanabidii" group.
>         
>   
      To unsubscribe from this group and stop
>        receiving emails
>          from it, send an email
>        to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>     
   
>          For more
options,
>        visit
>       
>     
  https://groups.google.com/d/optout.
>         
>   
   
>         
>       
>     

>      --
>   
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>     
>     
Kujiondoa Tuma Email kwenda
>     
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

>      Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>     
>      Disclaimer:

    Everyone posting to this Forum bears the sole
>    responsibility
>      for any legal consequences of his
or her
>  postings,
>    and
>   
hence
>      statements and facts must
be presented
>  responsibly.
>    Your
>     
continued membership signifies that you agree to
>    this
>     
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>    Guidelines.

    ---
>      You received this
message because you are
>  subscribed
>    to
>    the
>      Google Groups
"Wanabidii" group.
>      To
unsubscribe from this group and stop receiving
>    emails
>     
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>      For more options, visit
>     
https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment