Fred.
Nimempinga makonda katika mambo mengi ikiwa na pale alipojiita Mungu wa dar. Nilimwambia ulimi umeteleza. katika hili la madawa Namuunga mkono na namtia moyo. Yeye nijasiri aliyefanya lililowashinda wengi. Ni haki yake kutembea na walinzi kama alivyofanya alipotembelea Clauds. lakini nashangaa hakuna anayejadili mwonekano wa vijana watangazaji wa Clauds. Ni rahisi kuhisi kituo hiki ni cha kihuni. Niliona vibaya?
--------------------------------------------
On Sat, 3/25/17, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, March 25, 2017, 8:02 AM
Elisa,Vita
hii ni mbaya kwa sababu tu kaianzisha Makonda, ingeanziahwa
na kamanda yeyote kwa mtindo huu huu ingekuwa nzuri na
ujasiri. Mtindo huu uliwahi kutimiza na makamanda pale
mwembe yanga kwa kutaja majina ya mafisadi papa kwa
kilichoitwa list of shame. Hakuna aliyepiga kelele kuwa
imedhalilisha watu wala haikuwa kinyume cha haki za
binadamu. Waliotajwa
na Makonda ni wasomi na wanajua taratibu zakufuata kama jina
lako limeharibiwa bila sababu. Kwanini hawachukui hatua kama
kweli hawahusiki na biashara hiyo ama kwa kuuza au kutumia?
Hatujaona mtu akifungua kesi ya madai kuharibiwa jina lake.
Ukimya wao ni dhahiri kuwa wanahusika kwa namna moja ama
nyingine. Makonda
amefanya kazi yake na imezaa matunda, badala ya kumpeleka
mahakamani mnatumia vijana kumlazimisha awaonyeshe vyeti
huku vyenu hamuvionyeshi kama mfano.Anaweza
kweli kuwa alitumia cheti cha mtu kujiendeleza lakini kwa
kelele hizi nilitegemea mngemleta Paul Christianhadharani
atuthibitishie kuwa Makonda siyo Paul Christian. Badala yake
mnataka mtuhumiwa athibitishe kuwa yeye ndiye. Utaratibu huo
hautumiki hapa kwetu labda msumbiji, sisi mzigo
wakuthibitisha jambo upo mabegani mwa anayetuhumu siyo
mtuhumiwa.Hata
kama mimi si msomi wa sheria naomba wasomi wa Sheria
watufafanulie burden of prove ikoje. Wanasema "he who
avars must prove" kwa hiyo siyo kazi ya Makonda
kuthibitisha ni yenu mnaosema siyo vyake. Tuthibitishieni
kwa vielelezo siyo kwa povu la kwenye
mihadhara. Elisa,
Makonda ameonyesha njia tumuunge mkono
Sent
from Yahoo Mail on Android
On Sat, 25
Mar 2017 at 7:36, Fred Hans
Kipamila<fhkipamila@yahoo.com> wrote:
Ushahidi wa kitakwimu hatuna lakini katika hali ya kawaida
ya kinadamu tunaviona vijiwe vya mateja tunaoishi nao
mitaani vimekauka. Kwa wale mnaojua yanakopatikana mnaweza
kutusaidia takwimu
Sent
from Yahoo Mail on Android
On Sat, 25
Mar 2017 at 7:32, 'lucas haule' via
Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
wrote: Kaka Elisa Muhingo nina
vijimaswali kwa ajili ya kujiweka sawa.Baada ya
kutajwa washukiwa umeandika vijna wanaodondoka udenda
wamepungua?Swali:
1 Kigezo kipi kimeonyesha wamepungua 2. Wamepungua wameacha
au, 3 Kutokamatwa mla rushwa inamaana rushwa hakuna( usipo
waona wewe inamaana hawapo) 4 Kila vita ina mbinu zake,
wazani mbinu ya makonda ni mbinu sahihi, 5. Kuaibisha
na kutuhumu usio na ushahidi nao, huoni inawasaidia
washukiwa halisi kupata pa kujificha?
Nami
ni maoni yaliyokuja kimaswali.
From: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, March 24,
2017 10:14 PM
Subject: Re:
[wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA
MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:
Haya
ni mqoni yangu na tafsiri yangu ya mambo. Ninachosema ni:
makonda alitangaza majina ya washukiwa. Akawataka wajieleze
kituo cha Polisi.
Baadaye
Rais akatangaza tume ya kudhibiti madawa ya kulevya.
Vijana
walikuwa wanadondoka udenda wamepungua mitaani.
hayo
na mengine nikayatafsiri hivyo:
Ukitaka
upigane na wauza unga lazima uwe na mkakati. Naona mkakati
ulianza kwa kuwataja washukiwa. Hata kama hakukuwa na
ushaidi wa kimahakama, kupungua kwa watumia unga mitaani
kulitokana na mpangilio huo.
Saa niite unavyoona. Nayo ni maoni yako
--------------------------------------------
On Fri, 3/24/17, 'Jovi
kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii]
JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA
ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 24,
2017, 6:59 PM
Muhingo, nakunukuu
"Magufuli alichofanya
ilikuwa kumtanguliza Makonda. Makonda toka
amewataja wauza
madawa
biashara hii imeathirika sana
Tanzania"
Mpaka
nasikia kucheka. Magufuli
nimjuaye mimi amtangulize Makonda?
Kwa kuogopa nini? Naona
sasa unataka kuwa msemaji wa Rais
Hongera sana.
Jovin
Bifabusha
DIRECTOR
KWFF
LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
+255-765-010235
Karagwe,
Tanzania
On Friday, March
24, 2017 4:58 PM,
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Elisa,Mimi
nilikisoma hadharani.
Nilikuwa naenda nacho shuleni 1966.
Sikukamatwa, nadhani hata
polisi wangenikamata sidhani
ningepelekwa detention. Detention ilikuwa kwa
wale
waliokuweawanafanya njama za kupindua serikali
peke yake. I was there
and I know what I am talking
about.em
2017-03-24 6:52 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Soma tena
nilichokiandika. Kilikuwa
kimepigwa marufuku. Nadhani hukuwa
unakisoma hadharani labda
kama ulikuwa maeneo yasiyoonekana.
kama ulikuwa hujui basi
ilikuwa na bahati it was one of the
forbidden documents. Nami
nilikisoma katika mazingira maalum
na sio hadharani.
------------------------------ --------------
On Thu, 3/23/17,
Emmanuel
Muganda
<emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA:
HATA JK ANGEKUWA NA
MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA
CHIFUPA:
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday,
March 23, 2017, 7:11 PM
Amazing.
Kitabu cha John
Okello nimekisoma nikiwa Agha Khan
Dar-es-Salaam mwaka
1966. Sikuwekwa
kizuizini.em
2017-03-23 9:34
GMT-04:00
'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama kuna
jambo baya
alilowahi kulifanya Mwalimu Nyerere katika
uhai
wake, ni
kushirikiana na Dr. Milton Obote wa Uganda na
Jomo
Kenyata wa Kenya
kumnyanyasa Field Mashal John Okello
baada
ya kufanikisha
mapinduzi ya Zanzibar. Inasemekana mara
baada
ya kuupindua
usultani wa Zanzibar, John Okello
alionekana
tishio kwa
mataifa ya Afrika Mashariki na hivyo
kutupwa
tupwa huku na huko
na akakosa mwelekeo na kupotelea
kusikojulikana. Katika kitabu chake John Okello
anasema
kusudi lake kubwa
haikuwa kuzipindua serikali halali
bali
alitaka kuelekea
kusini kuzipindua serikali za huko
na
alitaka kuanzia
Angola. Myaka yetu hiyo ungekutwa na
kitabu
hicho ungewekwa
kizuizini.
Wakati fulani
waIsrael wakipigana na waFilisti
waliwatanguliza wenzao ambao walikimbia mbele ya
wafilisti.
Huo ulikuwa mtego
wa kuwaondoa askari wa wafilisti
mjini ili
waisrael
wauchome moto na kuwapiga kutokea pande zote.
Vita
ina mbinu nyingi.
Hii hutegemea na adui unayepigana
naye.
Nani haoni
mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya?
Pita
mitaani kama
utakuta watu wakisinzia hovyo hovyo
kama
ilivyokuwa kabla ya
vita kuanza! Hakuna kitu kibaya
kama
watu kutoona
kinachoendelea na badala yake kuona
kisichokuwepo.
Magufuli
alichofanya ilikuwa kumtanguliza Makonda.
Makonda
toka amewataja
wauza madawa biashara hii imeathirika
sana
Tanzania. Haiingii
akilini kuwa Makonda alitamka
majina bila
kuwa na habari
kamili. Kama inavyojulikana duniani
wafanya
biashara wa madawa
wana nguvu nyingi. Wana hela
nyingi.
Wanaweza kumnunua
mtu yeyote kama tunavyoona.
Wanayumbisha
serikali nyingi. Wanaofikiri vita hii ingeanza bila
kuwataja
wauza unga
hawajaelewa vizuri vita yenyewe au ni
wanufaika.
Kitendo cha Makonda
kuwataja tu; mizigo iliyokuwa
njiani
ilikomea huko huko.
Iliyokuwa imeingia nchini ndiyo
inapata
shida kuwafikia
wateja. Kazi ya kwanza na muhimu
ilikuwa
imekamilika. Ndipo
na tume ya madawa ikatajwa.
Ingetajwa
kabla ya
kuwataja wahusika tume hiyo ingeishia hapo
hapo
kwenye sherehe ya
kuiapisha. Tungeshtukia magorofa
yanaota
na ukifuatilia kila
mjumbe wa tume angemiliki moja.
Faida nyingine ya
kuwataja, ilisaidia mamlaka kujua
nani
zaidi wanahusika na
nani ni wanufaika. Tukawasikia
walioanza
kusema
"heshima za watu zimeharibika". Wenye
akili
tukaongeza kwenye
orodha. Watu wakahoji " inakuwaje
watu
watajwe kabla ya
uchunguzi". Utendaji wa polisi
kwa
kiwango tulicho
nacho na tulivyozoea ni Mamlaka
ikipata
fununu inamchukua
mtuhumiwa na kwenda kumhoji. Sasa
kama
ndicho
kilichofanyika kwa nini watu waone shida
kuwataja
watuhumiwa? Nani
amewapeleka gerezani, ambako
huenda
waliohukumiwa? Watu
wameitwa Polisi ili uchunguzi
ufanyike.
Utawaitaje
Polisi bila kuwataja? Mboja list of
shame
ilitajwa na ndipo
mengine yakafuata? Baada ya kutajwa
mtu
anachukua juhudi
zake kujisafisha. Iweje watake
kusafishwa?
Mbona wezi wa
kuku hujisafisha kila siku?
Ninafahamu na
ninaamini waliotajwa ni wahusika tu.
Kinachoweza
kukosekana ni ushahidi wa kimahakama. Kwa
hiyo
ilikuwa ni hatari
kutumia njia ya kimya kimya.
Wangekuwa
wanaendelea na
mitaani waathirika wangekuwa kama kawa.
Sasa
hatuwaoni. Kwa nini
Makonda alitumika, alitumiwa au
alitumia
njia sahihi.
Baada ya hapo
tunaona maajabu. Mtu anaibuka na hoja ya
vyeti
vya Makonda.
Anawakusanya watu kwa wingi kumuunga
mkono.
Kuwa tuache agenda
ya madawa yanayoharibu vijana
wetu
tushughulikie vyeti
vya Makonda. Sisemi makonda
hakufoji.
(Japo sisemi
alifoji, maana sijui). Ninasema kuacha
wahalifu
wa madawa ya
kulevya kwa sababu ya vyeti ni ujinga.
Kama si
ujinga (kwa
wasionufania) na ni mbinu ya
wahusika (kwa
wahusika wa madawa
hayo.
Mtu kutarajia kuwa
rais atamchukulia hatua zozote
za
kumfanya Makonda
asishughulikie madawa hayo ni
kumdharau
rais. Kumfanya
hana akili. Hajui malengo yake. Kama
rais ana
dhamira njema na
ndiye anayeongoza taifa kupambana na
madawa
ya kulevya hawezi
kuanza kumshughulika na vyeti vya
Makonda.
Akifanya hivyo
nitamdharau. Nitajua hana agenda.
Anaweza
kuyumbishwa na
jambo lolote na kutelekeza agenda yake.
Hata
wasaidizi wake
wasingeendelea kumsaidia. Kama rais
mstaafu
Jakaya Kikwete
alikuwa na dhamira ya kupambana na
madawa.
Akampata Amina
Chifupa, na kwa ujasiri akawa tayari
kuwataja
wahusika kama
alivyosema; Kikwete angekuwa na mamlaka
ya
kuamurisha kifo
angekiamuru kisimguse Amina Chifupa.
Watu
aina ya Makonda au
Chifupa sio wengi. Wao ni mashujaa
wa
taifa hili na
hawapatikani. Mmoja nimemuuliza "wewe
ukiwa
msifuni ukagundua
kuwa dereva wako hana liseni.
Utamteremsha
msituni na kurudi mjini kutafuta dereva mwenye
liseni?
Akasema atakuja
mjini na dereva huyo hadi mjini na
akifika
anambadilishia
kazi. Nikasema tumuache Magufuli
atoke
msituni. Yuko
msituni kwa sababu ni watu wachache
walio na
nia ya kupambana na
madawa kama alivyo Makonda.
Huwezi
kumtelekeza
ukafikiri vita itaendelea.
Kama taifa litakosa
ushahidi wa kuwapeleka
mahakamani
wahusika lakini
angalau biashara yao imeingiliwa na
haitiririki kama
ilivyokuwa. Huenda isirudie pale
ilipokuwa.
Angalau wauza
unga wanajua kuna serikali. Juhudi zao
za
kuiyumbisha
zinawayumbisha kuliko serikali
inavyoyumba. Pia
watanzania wameona kuwa hakuna mtu anayeweza
kujihakikisha
kutoshughulikiwa
kwa sababu ya nafasi aliyo nayo
kisiasa au
kiuchumi.
Hakuna tena mtu kufikiri kwa sababu ana
fedha basi
atawaamrisha
waliotumwa kumkamata.
Mahala pa kuonyesha
uzalendo ni hapa. Ni sasa. Hatuna
budi
kuiunga mkono
serikali yetu kila inaponusa usaliti
na
kuufagia. Kanunu za
mchezo wa ngumi zipo.
Ukizitumia
kuuendesha mchezo
wa ngumi na mateke hutafika. Huu si
mchezo
wa ngumi. Ni mchezo
wa mateke na ngumi. Mbinu zote
zinatakiwa ili kushinda.
Lakini ninajisikia
kuumia. Kuna watu ninajua
wanaelewa.
Wamesikia
kelele za mlango na kuamua kujitenga. Vita
ikiisha
nitawaita na
kuwashauri. Wasijisikie vibaya. Hata
wakati wa
vita ya Uganda
zilipotumika silaha nzito, (nasikia)
kuna
askari wetu
walikimbia kwa kudhani ni za adui. Hapana
ndiyo
vita.
Elisa Muhingo
0767 187 507
elisamuhingo@yahoo.com
--
Send
Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa
Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum
bears
the sole
responsibility
for
any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You
received this
message because you
are subscribed
to
the
Google
Groups
"Wanabidii"
group.
To
unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to
wanabidii+...@
googlegroups.com.
For
more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum
bears the sole
responsibility
for any legal
consequences
of his or her postings,
and
hence
statements and
facts must be
presented
responsibly. Your
continued
membership
signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message
because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe from
this group and stop
receiving emails
from it, send an
email
to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more
options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum
bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his
or her
postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies
that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because
you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group
and stop
receiving
emails
from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and
facts must be presented responsibly.
Your
continued
membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed
to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from
this group and stop receiving
emails
from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options,
visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and
facts must be presented responsibly.
Your
continued
membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed
to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from
this group and stop receiving
emails
from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options,
visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility
for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must
be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility
for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must
be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility
for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must
be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment