Hubirini siasa, chocheeni ukiukwaji wa maadili, shadadieni kuvunjwa kwa kanuni kwa kisingizio cha kuchapa kazi tutayaona huko mbeleni.
Kila binadamu ana utashi wake wakati mwingine si rahisi kuingilia jambo bila kuulizwa au kutakiwa kufanya hivyo. Nilichosikia jana ni kwamba Rais amefanya ziara ya kushitukiza bandarini na kugundua makontena ya mchanga na mengine yakiwa na magari badala ya mitumba. Hivi unadhani ziara ya Rais ni safari ya hivi hivi ya waandishi kujichomeka tu? Nilitegemea uwepo mwaliko wa vyombo vya habari kisha wasuse kuandika kilichojiri ndipo tuwalaumu.
Elisa Muhingo Waandishi uliowaona kwa Nape walipewa taarifa na kuambiwa muda wa kukutana. Mbona wandishi walipoalikwa kuongea na Rais Ikulu ilijaa kwa wingi?.
Muhingo, tusitoe hoja za lawama kwa waandishi. Ziara ya Rais tena ya kushitukiza siyo ziara ya kawaida ni ziara ya kiinteligensia.
On Friday, March 24, 2017 2:16 PM, 'Mohamed Mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Naamini kabisa kuwa kizazi cha sasa kuna matatizo makubwa sana kuhusu Maana ya Kufanya Kazi, . . . . . . Aidha ktk vyombo vya Habari Kuna imani kubwa ktk waandishi wa kuwa kupata na kuandika habari za misisimko hata kama hazina Mashiko ktk maisha Halisi ndio Kazi, . . . . Ni kizazi cha "Udaku", kizazi cha kushabikia mambo yasiyo na TIJA . . . . . Kweli kuna "haja ya kurekebisha namna ya kulea watanzania" waweze kutambua matakwa yao ya msingi ambayo ndiyo yataleta Tija
Sent from my iPad
> On 24 Mar 2017, at 1:46 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> po haja ya kurekebisha namna ya kulea watanzania kujua matakwa yao ni nini.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment