Kaka Elisa Muhingo nina vijimaswali kwa ajili ya kujiweka sawa.
Baada ya kutajwa washukiwa umeandika vijna wanaodondoka udenda wamepungua?
Swali: 1 Kigezo kipi kimeonyesha wamepungua 2. Wamepungua wameacha au, 3 Kutokamatwa mla rushwa inamaana rushwa hakuna( usipo waona wewe inamaana hawapo) 4 Kila vita ina mbinu zake, wazani mbinu ya makonda ni mbinu sahihi, 5. Kuaibisha na kutuhumu usio na ushahidi nao, huoni inawasaidia washukiwa halisi kupata pa kujificha?
Nami ni maoni yaliyokuja kimaswali.
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, March 24, 2017 10:14 PM
Subject: Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:
Haya ni mqoni yangu na tafsiri yangu ya mambo. Ninachosema ni: makonda alitangaza majina ya washukiwa. Akawataka wajieleze kituo cha Polisi.
Baadaye Rais akatangaza tume ya kudhibiti madawa ya kulevya.
Vijana walikuwa wanadondoka udenda wamepungua mitaani.
hayo na mengine nikayatafsiri hivyo:
Ukitaka upigane na wauza unga lazima uwe na mkakati. Naona mkakati ulianza kwa kuwataja washukiwa. Hata kama hakukuwa na ushaidi wa kimahakama, kupungua kwa watumia unga mitaani kulitokana na mpangilio huo.
Saa niite unavyoona. Nayo ni maoni yako
--------------------------------------------
On Fri, 3/24/17, 'Jovi kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA: HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA CHIFUPA:
Date: Friday, March 24, 2017, 6:59 PM
Muhingo, nakunukuu "Magufuli alichofanya
ilikuwa kumtanguliza Makonda. Makonda toka amewataja wauza
madawa biashara hii imeathirika sana
Tanzania"
Mpaka
nasikia kucheka. Magufuli nimjuaye mimi amtangulize Makonda?
Kwa kuogopa nini? Naona sasa unataka kuwa msemaji wa Rais
Hongera sana.
Jovin
Bifabusha
DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
+255-765-010235
Karagwe,
Tanzania
On Friday, March 24, 2017 4:58 PM,
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Elisa,Mimi
nilikisoma hadharani. Nilikuwa naenda nacho shuleni 1966.
Sikukamatwa, nadhani hata polisi wangenikamata sidhani
ningepelekwa detention. Detention ilikuwa kwa wale
waliokuweawanafanya njama za kupindua serikali
peke yake. I was there and I know what I am talking
about.em
2017-03-24 6:52 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Soma tena
nilichokiandika. Kilikuwa kimepigwa marufuku. Nadhani hukuwa
unakisoma hadharani labda kama ulikuwa maeneo yasiyoonekana.
kama ulikuwa hujui basi ilikuwa na bahati it was one of the
forbidden documents. Nami nilikisoma katika mazingira maalum
na sio hadharani.
------------------------------ --------------
On Thu, 3/23/17, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JPM KUMKINGIA KIFUA MAKONDA:
HATA JK ANGEKUWA NA MAMLAKA ANGEZUIA KIFO CHA AMINA
CHIFUPA:
Date: Thursday, March 23, 2017, 7:11 PM
Amazing.
Kitabu cha John Okello nimekisoma nikiwa Agha Khan
Dar-es-Salaam mwaka 1966. Sikuwekwa
kizuizini.em
2017-03-23 9:34 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama kuna
jambo baya alilowahi kulifanya Mwalimu Nyerere katika
uhai
wake, ni kushirikiana na Dr. Milton Obote wa Uganda na
Jomo
Kenyata wa Kenya kumnyanyasa Field Mashal John Okello
baada
ya kufanikisha mapinduzi ya Zanzibar. Inasemekana mara
baada
ya kuupindua usultani wa Zanzibar, John Okello
alionekana
tishio kwa mataifa ya Afrika Mashariki na hivyo
kutupwa
tupwa huku na huko na akakosa mwelekeo na kupotelea
kusikojulikana. Katika kitabu chake John Okello
anasema
kusudi lake kubwa haikuwa kuzipindua serikali halali
bali
alitaka kuelekea kusini kuzipindua serikali za huko
na
alitaka kuanzia Angola. Myaka yetu hiyo ungekutwa na
kitabu
hicho ungewekwa kizuizini.
Wakati fulani waIsrael wakipigana na waFilisti
waliwatanguliza wenzao ambao walikimbia mbele ya
wafilisti.
Huo ulikuwa mtego wa kuwaondoa askari wa wafilisti
mjini ili
waisrael wauchome moto na kuwapiga kutokea pande zote.
Vita
ina mbinu nyingi. Hii hutegemea na adui unayepigana
naye.
Nani haoni mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya?
Pita
mitaani kama utakuta watu wakisinzia hovyo hovyo
kama
ilivyokuwa kabla ya vita kuanza! Hakuna kitu kibaya
kama
watu kutoona kinachoendelea na badala yake kuona
kisichokuwepo.
Magufuli alichofanya ilikuwa kumtanguliza Makonda.
Makonda
toka amewataja wauza madawa biashara hii imeathirika
sana
Tanzania. Haiingii akilini kuwa Makonda alitamka
majina bila
kuwa na habari kamili. Kama inavyojulikana duniani
wafanya
biashara wa madawa wana nguvu nyingi. Wana hela
nyingi.
Wanaweza kumnunua mtu yeyote kama tunavyoona.
Wanayumbisha
serikali nyingi. Wanaofikiri vita hii ingeanza bila
kuwataja
wauza unga hawajaelewa vizuri vita yenyewe au ni
wanufaika.
Kitendo cha Makonda kuwataja tu; mizigo iliyokuwa
njiani
ilikomea huko huko. Iliyokuwa imeingia nchini ndiyo
inapata
shida kuwafikia wateja. Kazi ya kwanza na muhimu
ilikuwa
imekamilika. Ndipo na tume ya madawa ikatajwa.
Ingetajwa
kabla ya kuwataja wahusika tume hiyo ingeishia hapo
hapo
kwenye sherehe ya kuiapisha. Tungeshtukia magorofa
yanaota
na ukifuatilia kila mjumbe wa tume angemiliki moja.
Faida nyingine ya kuwataja, ilisaidia mamlaka kujua
nani
zaidi wanahusika na nani ni wanufaika. Tukawasikia
walioanza
kusema "heshima za watu zimeharibika". Wenye
akili
tukaongeza kwenye orodha. Watu wakahoji " inakuwaje
watu
watajwe kabla ya uchunguzi". Utendaji wa polisi
kwa
kiwango tulicho nacho na tulivyozoea ni Mamlaka
ikipata
fununu inamchukua mtuhumiwa na kwenda kumhoji. Sasa
kama
ndicho kilichofanyika kwa nini watu waone shida
kuwataja
watuhumiwa? Nani amewapeleka gerezani, ambako
huenda
waliohukumiwa? Watu wameitwa Polisi ili uchunguzi
ufanyike.
Utawaitaje Polisi bila kuwataja? Mboja list of
shame
ilitajwa na ndipo mengine yakafuata? Baada ya kutajwa
mtu
anachukua juhudi zake kujisafisha. Iweje watake
kusafishwa?
Mbona wezi wa kuku hujisafisha kila siku?
Ninafahamu na ninaamini waliotajwa ni wahusika tu.
Kinachoweza kukosekana ni ushahidi wa kimahakama. Kwa
hiyo
ilikuwa ni hatari kutumia njia ya kimya kimya.
Wangekuwa
wanaendelea na mitaani waathirika wangekuwa kama kawa.
Sasa
hatuwaoni. Kwa nini Makonda alitumika, alitumiwa au
alitumia
njia sahihi.
Baada ya hapo tunaona maajabu. Mtu anaibuka na hoja ya
vyeti
vya Makonda. Anawakusanya watu kwa wingi kumuunga
mkono.
Kuwa tuache agenda ya madawa yanayoharibu vijana
wetu
tushughulikie vyeti vya Makonda. Sisemi makonda
hakufoji.
(Japo sisemi alifoji, maana sijui). Ninasema kuacha
wahalifu
wa madawa ya kulevya kwa sababu ya vyeti ni ujinga.
Kama si
ujinga (kwa wasionufania) na ni mbinu ya
wahusika (kwa
wahusika wa madawa hayo.
Mtu kutarajia kuwa rais atamchukulia hatua zozote
za
kumfanya Makonda asishughulikie madawa hayo ni
kumdharau
rais. Kumfanya hana akili. Hajui malengo yake. Kama
rais ana
dhamira njema na ndiye anayeongoza taifa kupambana na
madawa
ya kulevya hawezi kuanza kumshughulika na vyeti vya
Makonda.
Akifanya hivyo nitamdharau. Nitajua hana agenda.
Anaweza
kuyumbishwa na jambo lolote na kutelekeza agenda yake.
Hata
wasaidizi wake wasingeendelea kumsaidia. Kama rais
mstaafu
Jakaya Kikwete alikuwa na dhamira ya kupambana na
madawa.
Akampata Amina Chifupa, na kwa ujasiri akawa tayari
kuwataja
wahusika kama alivyosema; Kikwete angekuwa na mamlaka
ya
kuamurisha kifo angekiamuru kisimguse Amina Chifupa.
Watu
aina ya Makonda au Chifupa sio wengi. Wao ni mashujaa
wa
taifa hili na hawapatikani. Mmoja nimemuuliza "wewe
ukiwa
msifuni ukagundua kuwa dereva wako hana liseni.
Utamteremsha
msituni na kurudi mjini kutafuta dereva mwenye
liseni?
Akasema atakuja mjini na dereva huyo hadi mjini na
akifika
anambadilishia kazi. Nikasema tumuache Magufuli
atoke
msituni. Yuko msituni kwa sababu ni watu wachache
walio na
nia ya kupambana na madawa kama alivyo Makonda.
Huwezi
kumtelekeza ukafikiri vita itaendelea.
Kama taifa litakosa ushahidi wa kuwapeleka
mahakamani
wahusika lakini angalau biashara yao imeingiliwa na
haitiririki kama ilivyokuwa. Huenda isirudie pale
ilipokuwa.
Angalau wauza unga wanajua kuna serikali. Juhudi zao
za
kuiyumbisha zinawayumbisha kuliko serikali
inavyoyumba. Pia
watanzania wameona kuwa hakuna mtu anayeweza
kujihakikisha
kutoshughulikiwa kwa sababu ya nafasi aliyo nayo
kisiasa au
kiuchumi. Hakuna tena mtu kufikiri kwa sababu ana
fedha basi
atawaamrisha waliotumwa kumkamata.
Mahala pa kuonyesha uzalendo ni hapa. Ni sasa. Hatuna
budi
kuiunga mkono serikali yetu kila inaponusa usaliti
na
kuufagia. Kanunu za mchezo wa ngumi zipo.
Ukizitumia
kuuendesha mchezo wa ngumi na mateke hutafika. Huu si
mchezo
wa ngumi. Ni mchezo wa mateke na ngumi. Mbinu zote
zinatakiwa ili kushinda.
Lakini ninajisikia kuumia. Kuna watu ninajua
wanaelewa.
Wamesikia kelele za mlango na kuamua kujitenga. Vita
ikiisha
nitawaita na kuwashauri. Wasijisikie vibaya. Hata
wakati wa
vita ya Uganda zilipotumika silaha nzito, (nasikia)
kuna
askari wetu walikimbia kwa kudhani ni za adui. Hapana
ndiyo
vita.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send
Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa
Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum
bears
the sole
responsibility
for
any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You
received this
message because you
are subscribed
to
the
Google
Groups "Wanabidii"
group.
To
unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to
wanabidii+...@
googlegroups.com.
For
more
options, visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum
bears the sole
responsibility
for any legal
consequences
of his or her postings,
and
hence
statements and
facts must be presented
responsibly. Your
continued
membership
signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message
because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe from
this group and stop
receiving emails
from it, send an
email
to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more
options,
visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum
bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his
or her
postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies
that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because
you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group
and stop
receiving
emails
from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment