Elisa ndugu yangu; huwa unalipwa shilingi ngapi kwa hii kazi?
LKK
On Saturday, March 4, 2017 9:34 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Naomba tuliangalie hili.
Mjadala mkali unaendelea kuhusiana na maneno aliyoyasema Gwajima. Kuwa Ana cheti cha kuhitimu kidato cha nne Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Paulo Makonda kikionyesha kuwa alipata Division 0. Maana yake ni kuwa Makonda alisomeshwa, na mwisho wa elimu yake hakukidhi viwango na akapata Division 0.
Kuna vitu viwili mbele yetu.
1) NECTA ambayo ilimpima Makonda na kuona hafai.
2) Makonda ambaye hadharani tunamjua akiwa kiongozi wa UVCCM na Mkuu wa wilaya na Mkoa.
Je Makonda anafanana na tathmini ya NECTA? Yaani anavyoonekana hana akili kiasi cha kupata Division 0? Bahati mbaya hatuna wale waliopata Division i-iv mwaka aliomaliza huyu Makonda, ili tuwalinganishe na jinsi tunavyomuona Makonda. Kama kuna mtu anao na ni public figures awaletu tulinganishe. Public figure anaweza kuwa mwizi, jambazi, kiongozi au mkuu wa taasisi yoyote au hata mfanya biashara.
Kuna rafiki yangu mmoja, alipotaka kunihakikisha kuwa hana UKIMWI alisema "Ukitaka kujua kama vipimo vya UKIMWI ni vizima nipime mimi. Vikisema nina UKIMWI ujue vipimo vyenu ni vibovu".
Sasa najiuliza. Kwa jinsi tunavyomuona Makonda vipimo vya NECTA vilikuwa sahihi; yaani Makonda ndiye mbovu; au NECTA ndiyo mbovu haina/haikuwa na uwezo wa kutumia elimu inayoitoa na mitihani yake kugundua watu wenye akili?
Ninaomba tusimpime Makonda kwa mazuri yake. Hata mabaya yake. Mfano aliwahi kutuhumiwa kumpiga ngwara Warioba. Katika kitendo hicho na jinsi aliyokitekeleza kimepangwa na kutekelezwa na mtu wa Division 0? Hata kama aliwahi kuiba, junsi alivyotekeleza wizi wake ni mtu wa Division 0 kichwani?
Mambo mengine tunayoyajua kwa Makonda ni jinsi alivyowashawishi wenye daladala Dar Es salaam wakakubali kuwabeba walimu siku na saa za kazi bila kulipa. Aliwahi kuwashawishi wanasheria kuwatetea wanyonge. Aliwahi kubuni mambo kadhaa akiwa Mkuu wa Wilaya na Mkoa hapo Dar. Watu wa namna ya Makonda Tanzania kwa viwango vya elimu yetu ni watu wa Division 0? Yaani elimu yetu inawatema watu kama Makonda wasiwe wataalamu wetu, wasiwe viongozi wetu? Hao iliowapeleka mbele wana uwezo kiasi gani wa kibunifu? Twaweza kujidhalilisha mbele za watu. Wengine wanaweza kusema ndiyo maana wataalamu wetu wa madini hawaoni kuwa twaweza kuwekeza katika madini. Kwa sababu wenye akili za kibunifu tuliwatelekeza kupitia mfumo wetu wa kutahini. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Ukiwa zuzu mtu atakuja akukute una almasi akuletee chupa akwambie hii ndiyo almasi na wewe uikimbilie chupa umrushie almasi. Nadhani tunakumbuka wakati Fulani mtanzania mmoja aliwahi kutemwa hapa kwa manufaa ya umma. Akaenda Uganda akaisaidia kukusanya kodi kwa kiwango kikubwa kuliko mataifa yaote Afrika Mashariki. Sisi tuliona hafai. Wengine wakamtumia kwa manufaa. Rais wetu aliwahi kwenda nchi jirani akakuta shamba la mfugaji mmoja lina ng'ombe wakubwa hakuna mfano. Akasema atapeleka wataalamu wa Tanzania wajifunze ufugaji huo. Rais wetu akaambiwa usisumbuke. Meneja wa shamba hilo ni mtanzania aliyesomea SUA. Nataka tujipime kuwa tunaweza kuwa wapumbavu wa kutupa watu wa maana kupitia mifumo yetu. Nataka tujadiri mantiki.
Elisa Muhingo
0767187507
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment