Friday, 23 August 2013

[wanabidii] Re: Kuhusu kutoroka kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba wa JWTZ

Jeshi ni zaidi ya huyu mtu mmoja kwahiyo hana athari zozote na tabia hizi za wanajeshi , wanausalama kutoroka nchi zao kwenda nyingine ni kitu cha kawaida tu mbona generali nyamwasa aliyekuwa balozi wa Rwanda nchini india amekimbilia afrika kusini ingawa wamejaribu mara kadhaa kumuuwa , mbona mkuu wa usalama wa taifa wa Uganda gen sejusa nae amekimbilia nje ya nchi baada ya waraka wake wa siri kuchapishwa na gazeti moja la nchi hiyo ? hata snowden aliyekuwa mkandarasi wa CIA nae yuko Moscow ?

Tujue jeshi ni zaidi ya huyu mtu mmoja mmoja kuondoka kwake ni changamoto kwa jeshi letu la ulinzi na usalama naamini wale watu wake wa karibu haswa wale waliomfanyia usaili mara ya kwanza wanajulikana na baadhi ya ref wake lakini wawajibike kwa njia moja au nyingine .


On Friday, August 23, 2013 7:06:41 PM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:
JWTZ litatoa taarifa kuhusu kutoroka kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba.  Kwa mujibu wa taarifa kutoka Makao Makuu ya Jeshi hilo, taarifa hizo zotatolewa Agosti 24. 

Imetolewa na
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi. 
Dar es Salaam. 

Kwa Mawasiliano zaidi  0715-270136 au 0754-270136

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment