Thursday, 22 August 2013

Re: [wanabidii] RWANDA NA UGANDA ZAJITOA BANDARI YA DAR ZAHAMIA BANDARI YA MOMBASA


Huu ni muda wa kujipanga na kuaacha ujingaujinga....ni muda mwafaka pia wa watu wenye akili kubwa kushika hatamu za kisiasa ili kuweza kustabilize politics za ndani na kumanipulate politics za jirani zetu pia. Ni makosa makubwa sana kwa kudhani kuwa tunaweza kuwa safe kwa kulinda mipaka yetu peke yake...ni lazima sasa tuanze kuwaza after Kagame nani anafaa na anaweza vipi kulinda maslahi yetu. Like wise,Congo,kenya ma uganda pia..Ngupula

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, 22 August 2013, 20:03
Subject: Re: [wanabidii] RWANDA NA UGANDA ZAJITOA BANDARI YA DAR ZAHAMIA BANDARI YA MOMBASA

Mwezi huu au ujao wanatarajia kusaini mkataba wa kujenga reli kutoka Mombasa kisumu kwenda uganda na kuunganisha kilometa 500 mpaka kigali , pia kuna mradi wa bomba la mafuta toka mombasa kampala , kigali na juba sudani ya kusini pengine hizi ndizo fursa wanazokimbilia , miradi yote hiyo ilibuniwa na K3 yaani Kagame , Kaguta na Kenyatta sijui kama inahusiana na jumuiya ya afrika mashariki au ni mipango binafsi kati ya mataifa hayo matatu .

Tukitazama upande wa pili viongozi hawa K3 ni watuhumiwa wote , Kagame na Museveni ni watuhumiwa wakubwa wa vita inayoendelea mashariki ya kongo wakati kenyatta anatuhumiwa na ICC ,Kagame na Museveni wameingia madarakani kwa njia ya mtutu na wameendelea kukaa hapo kubinya uhuru wa kujieleza na wanatuhumiwa kupoteza wapinzani wao kadhaa .

Upande wa Tatu ni jinsi Uganda inavyotamani Bandari ya Tanga ambapo kuliwahi kuwa na mradi wa reli kati ya tanga kwenda mara mpaka huko uganda , tukumbuke pia IDDI AMIN alipovamia sehemu ya tanzania huko kagera maslahi yake mengi zaidi yalikuwa ni kwenye ukanda huu wa bandari ya tanga - Mara - Kampala .

Tusitishike na hawa , tunaweza kuendeleza TAZARA kupitia zambia tutaweza kuunganisha mpaka mji mkuu wa kongo na miji mingine mpaka goma na kivu lakini mpaka waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Uganda na Rwanda waondoshwe pawe salama zaidi kwa biashara na hilo linawezekana .

Mwisho kitu kisichosemwa sana kuhusu hawa K3 ni biashara Haramu ya madini ambayo imenyanyua uchumi wa Rwanda , Uganda na Kenya , Tanzania tunaibiwa sana madini yanayouzwa kwenye soko la kenya kwa njia haramu , kongo inaibiwa sana madini yenye soko bandia uganda , rwanda na Kiongozi wao Kenya .


2013/8/22 John George <georgejn2000@gmail.com>
Helo all, suala hapa hatuzungumzii east africa Community tunazungumzia
serikali ya tanzania kutoitikia matakwa ya wateja wake wa bandari ya
Dar na wameamua kwenda kwenye bandari zinazotatua matatizo yao

On 8/22/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
> flein47,
> 'Rwanda na Uganda ni watu wazuri tu. No man is an island.
> em
>
>
> 2013/8/22 <flein47@yahoo.com>
>
>> **
>> Na mimi naunga mkono JK aitoe nchi yetu kwa EAC naona tunaungana kinafiki
>> sana. Hao wenzetu si watu wema hata kidogo hasa Rwanda na Uganda. Mi
>> naona
>> kama tunaungana na majambazi
>> Download the latest BlackBerry® applications from Zantel on
>> www.zantel.com/zantelapps
>> ------------------------------
>> *From: * ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>> *Date: *Thu, 22 Aug 2013 13:21:42 +0100 (BST)
>> *To: *wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>> *Subject: *Re: [wanabidii] RWANDA NA UGANDA ZAJITOA BANDARI YA DAR
>> ZAHAMIA BANDARI YA MOMBASA
>>
>> Tusiwaangalie hao. Wana mambo yao tofauti na sisi. Walikwishakutafuta
>> namna ya kututenga miaka mingi iliyopita na tunafahamu hilo na kwa
>> taarifa
>> yenu.
>>
>> Walivunja jumuiya ya afrika mashariki kwa sababu zao na hadi sasa sababu
>> hizo zipo waulize Wakenya wanajua na.walikatalia vitu vingi sisi
>> tukakubali
>> yaishe.sasa wanahaha kuchukua ardhi yetu tumewashtukia wanatapatapa.
>>
>> Ushauri wanhi kwa JK sasa tuanze maandalizi ya kujitoa EAC halafu tuone
>> nani atalia zaidi kama siyo wao.
>>
>> Wasitubabaishe tumekuwa na tunaweza kusimama wenyewe bwana ala.....
>>
>> KEMS.
>>
>> Sent from Yahoo! Mail on Android
>>
>>  ------------------------------
>> * From: * Rwambogo Edson <rwambogoedson@yahoo.com>;
>> * To: * wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
>> * Subject: * Re: [wanabidii] RWANDA NA UGANDA ZAJITOA BANDARI YA DAR
>> ZAHAMIA BANDARI YA MOMBASA
>> * Sent: * Thu, Aug 22, 2013 11:52:52 AM
>>
>>   katika hali ya kawaida.... haishangazi kuona majirani hao wameenda au
>> wanaenda zao... tatizo ni kwamba tanzania ina misimamo yake na kenya ina
>> misimamo yake, tuwaache wataalamu wetu wanaosimamia hiyo idara ya
>> usafirishaji wafanye kazi yao.. nitashangaa kama tutavunja sheria zetu
>> zilizoundwa na wasomi wetu eti kwa kuangalia MUSEVENI, KAGAME NA KENYATA
>> wanafanya nini... jamani RAISI wetu, nchi yetu na hulka za watanzania
>> hazifanani kwa lolote na hao majirani watatu.
>>
>> sisi tunafanana na majirani zetu walioko SADC na sio EAC...
>> tusibababishwe
>> na umoja wao, ikiwezekana ata umoja wao wabaki wao na sisi tule hamsini
>> zetu, tuantishwa na nini nadhani ni wakati kwa wasomi wetu kutazama soko
>> jipya na kuboresha zaidi ukusanyaji wa kodi, wamechuma sana SASA INATOSHA
>> lazima kodi zitozwe ili wao wanufaike na sisi tunufaike zaidi
>>
>>
>>   ------------------------------
>>  *From:* Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>> *Sent:* Thursday, August 22, 2013 1:08 PM
>> *Subject:* [wanabidii] RWANDA NA UGANDA ZAJITOA BANDARI YA DAR ZAHAMIA
>> BANDARI YA MOMBASA
>>
>> Na Raymond Kaminyoge,
>>
>> Dar es Salaam. Chama cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa),
>> kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam
>> kuanzia Septemba Mosi, mwaka huu.
>>
>> Katibu Mtendaji wa Tatoa, Zacharia Hanspope aliwaambia waandishi wa
>> habari
>> jana baada ya kukutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuwa nchi
>> hizo zinajitoa kutokana na matatizo mbalimbali ambayo kwa muda mrefu
>> zimekuwa zikiyalalamikia lakini Serikali haikuchukua hatua.
>>
>> Hanspope alisema ushuru wa barabara na ushuru wa forodha ni baadhi ya
>> vikwazo ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa kwa muda mrefu na wafanyabiashara
>> mbalimbali wa nchi hizo.
>>
>> "Serikali ipunguze gharama za ushuru wa barabara na ushuru wa forodha ili
>> kuwa na ushindani sawa na bandari nyingine na hivyo kuzivutia kutumia
>> Bandari ya Dar es Salaam," alisema Hanspope.
>>
>> Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Omary Chambo alikataa kuzungumzia
>> lolote kuhusu suala hilo akisema halina mantiki yoyote kwake.... "Hivi
>> hilo
>> jambo unaloniuliza lina sense (mantiki) yoyote? Mie siwezi kujibu lolote
>> nenda ukamuulize mwenyewe (Hanspope) maana wakati akisema mimi sikuwepo."
>>
>> Alisema kujitoa kwa Rwanda na Uganda kuitumia Bandari ya Dar es Salaam
>> hakutakiathiri chama hicho tu, bali uchumi wa taifa kwa ujumla.
>>
>> Hayo yanatokea wakati Rwanda ikiendeleza vita yake ya maneno na Tanzania
>> na mfululizo wa matukio ya kuitenga Tanzania kwenye Jumuiya ya Afrika
>> Mashariki. Viongozi wa Kenya, Rwanda na Uganda walikutana Juni 25, mwaka
>> huu mjini Entebbe, Uganda na kukubaliana kuongeza uhusiano wa kibiashara
>> baina yao.
>>
>> Kamati ya Bajeti
>>
>> Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge alisema
>> katika kikao kijacho cha Bunge, kamati hiyo itaibana Serikali kuhusu
>> mikakati inayofanywa kukabiliana na ushindani wa kibiashara katika
>> Jumuiya
>> ya Afrika Mashariki.
>>
>> Alisema sababu ya Rwanda na Uganda kujitoa kutumia Bandari ya Dar es
>> Salaam ni vikwazo katika barabara ikiwamo mizani mingi ya kupimia mizigo.
>>
>> "Mizani ni mingi pia kuna usumbufu katika kupima mizigo yao na kwamba
>> hali
>> hiyo inawaletea usumbufu wafanyabiashara wengi," alisema.
>>
>> Alisema vitendo vya askari wa usalama barabarani kudai rushwa pia ni
>> miongoni mwa vikwazo pamoja na urasimu mkubwa katika utoaji wa mizigo
>> bandarini ikilinganishwa na bandari nyingine.
>>
>> "Ni lazima tujifunze kwa majirani zetu Msumbiji, upanuzi wa haraka wa
>> Bandari ya Beira umekuwa kikwazo kwetu, kampuni nyingi zimeanza kuitumia
>> bandari hiyo," alisema.
>>
>> Chenge alikitaka chama hicho kuiandikia kamati hiyo mapendekezo yake
>> ikiwa
>> ni hatua ya kunusuru uchumi wa nchi ili waweze kuijadili bungeni.
>>
>> Umoja wa nchi tatu
>>
>> Marais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Paul Kagame wa Rwanda na mwenyeji wao
>> Yoweri Museveni walikutana mjini Kampala, Uganda na kuamua kuitumia
>> Bandari
>> ya Mombasa kwa shughuli zao.
>>
>> Waliahidi kuimarisha ufanisi katika huduma za Bandari ya Mombasa ili
>> kuhakikisha bidhaa zinafika mapema Uganda na Rwanda.
>>
>> Pia walikubaliana kujenga reli mpya ili kurahisisha usafirishaji wa
>> bidhaa
>> kutoka Mombasa kwenda Kenya na Uganda.
>>
>> Viongozi hao walikubaliana pia kushirikiana katika sekta ya nishati hasa
>> ikizingatiwa kuwa Uganda imegundua mafuta.
>>
>> Nchi hizo tatu ambazo zimeruhusu kwa raia wao kusafiri kwa vitambulisho
>> pale wanapotembelea nchi tatu miongoni mwao, zitakutana tena Kenya mwezi
>> huu.
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>      --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment