Hoja yako haina mashiko ni nini unachotaka kutueleza hapa! kama aliacha upadre lakini hakuliasi kanisa hivyokama alijihoji akagundua hawezi kuendelea kutoa huduma kanisani akaacha kuna kosa gani? Kuachana na mke aliekuwa akiishi nae kama alimwambia wafunge ndoa baada ya kuishi na kuzaa watoto akakataa alitakiwa afanye nini? kuhusu kuitosa CCM wananchi wa Karatu walipata maono ya kumchagua awatumikie ndo maana walimwomba na kwa kuwa CCM ina wenyewe nae hakuwa mmoja wao,
CHADEMA wakamwomba na wakati huo haikuwa na nguvu iliyopo leo.
Mwaka 1995 Wasira alimshinda warioba Kupitia NCCR Mageuzi akakatiwa rufaa na kuamriwa na mahakama asigombee tena leo hii amerudi CCM kagombea na uwazuri kapata. Kumbuka wabunge wa CCM sio wa wananchi ni wa chama ndo maana Himid kapigwa chini, kwa nini madiwani wa Bukoba waachwe!
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, August 28, 2013 10:17 AM
Subject: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, August 28, 2013 10:17 AM
Subject: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015
On Saturday, January 19, 2013 1:39:01 PM UTC+3, Yona Fares Maro wrote:
Ndugu zangu
Dr Slaa aliwahi kuwa padre lakini baadaye akalitosa kanisa akaamua
kutumikia dunia kwa kujipatia jiko na maisha mengine ya kidunia .
Amewahi kumtosa Mke wake wa kwanza ambaye wamewahi kufikishana
mahakamani kwa ajili ya kupinga ndoa yake mpya na kuomba matunzo ya
watoto aliowatosa .
Miaka ya 90 Dr Slaa Aliitosa CCM Baada ya kushindwa kwenye kura wakati
alipotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la karatu .
Sasa tunaelekea mwaka 2015 ambapo tutakuwa na uchaguzi mkuu wa wabunge
na rais nchini na inasemekana Dr Slaa anaweza akakosa nafasi hiyo ya
kuwakilisha chama katika uchaguzi wa mwaka 2015
Swali ninalouliza wadau je Dr Slaa ataitosa CHADEMA kama alivyoitosa
CCM miaka ya 90 ?
Swali hili limenijia maana amewahi kufanya maamuzi mazito 3 na
kuendelea na maisha tu .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment