Friday, 11 November 2016

Re: [wanabidii] Re: Mchakato wa katiba: Mwakyembe alinukuliwa sawasawa???

Kutofautiana ni dalili ya afya. tangu zamani mimi huwa natofautiana misimamo na rafiki zangu na huwa tunakuwa na matokeo mazuri. Ninaandaa makala ya kumweleza Rais umuhimu wa katiba mpya kwa faida yake kwa sababu kama Mkapa angerekebisha katiba kulinda mafanikio yake Jk asingekuwa na mawaziri kijiji kizima au klurumia mapato ya taifa kivile. Lakini najua katika makala hiyo tutatofautiana. Nakusudia kusema kuwa Madaraka ya rais yasipunguzwe najua hutalikubali.
Tusubiri ije
--------------------------------------------
On Fri, 11/11/16, 'Jovi kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: Mchakato wa katiba: Mwakyembe alinukuliwa sawasawa???
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com>
Date: Friday, November 11, 2016, 11:23 AM

Muhingo kwa hili tuko wote.
Tumetofautiana katika mengi hii hoja nakuunga mkono 100%
 Jovin Bifabusha

DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200


On Thursday, November
10, 2016 11:10 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Majuzi Rais wetu
aliposema Katiba haikuwahi kutajwa wakati wa kampeni
ilitafsiriwa kuwa kwake Katiba sio kipaumbele. Sikukubaliana
naye. Nitaandika makala kudhibitisha. Lakini mara
nikakumbuka makala hii niliyoitoa siku hizo wakati Waziri wa
Katiba aliponukuliwa akisema maneno kama hayo.
Nikaamua kusoma nilichokiandika ndiyo maana ipo
hapa
--------------------------------------------
On Fri, 2/26/16, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
wrote:

Subject: Mchakato
wa katiba: Mwakyembe alinukuliwa sawasawa???
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, February 26, 2016, 1:00 AM


Bahati
mbaya mimi sikumsikia Dr Mwaakyembe akihojiwa na TBC
aliposema Katiba si kipaumbnele cha Rais Magufuli. Nimepata
habari hii kupitia Blog ya Udaku Special.

Katika Muhtasari   nilioupata kwenye blog ningetaka
kujadili mambo matatu yaliyomo ndani ya maudhui mwandishi
anayosema Dr Mwakyembe aliyasema. Nayo ni:

(1) Katiba mpya haina umuhimu mkubwa katika maisha ya kila
siku ya watu.
(2) Katiba sio kipaumbele cha
rais Magufuli
(3) Mchakato ukianza
hautaanzia kwenye toleo la pili la Jaji Warioba

Hebu tuyajadili haya
matatu:
1) Neno hili kuwa Katiba haina
umuhimu katika maisha ya kila siku ya mwananchi mimi nadhani
labda Dr. Mwakyembe
alinukuliwa vibaya.
Neno hili halifanani naye. Tumekuwa na tatizo la matumizi
makubwa kutokana na serikali kubwa kwa sababu Katiba
inamruhusu rais kuunda baraza la mawaziri atakavyo. Katika
Mswada wa Warioba rais alikusudiwa kubanwa mpaka mawazidi
18. Iweje Mwakyembe aseme eti katiba haina

umuhimu katika maisha ya mtanzania ya kila siku? Nimetaja
moja tu lakini ni mengi. Yeye ni Waziri wa Sheria na katiba
Kweli Magufuli anaweza kuunda wizara isiyo na maana na
umuhimu katika maisha ya Mtanzania? Ingekuwa alitamka hivyo
tuseme alikusudia kumwambia nini Rais aliyemteua na
kuunda
wizara isiyo na maana kwa maishaa ya
Mtanzania? Hakulisema yeye!

2) Katiba sio kipaumbele cha rais Magufuli
Nakubaliana na Mwakyembe kuwa kwa sasa Katiba
sio Kipaumbele cha Rais. Lakini pia sio 'kipaunyuma'.
Wakati Katiba sio kipaumbele cha Rais lakini kwa wizara ya
Sheria na Katiba; Katiba ni kipaumbele. Baada ya Magufuli
kurudisha nidhamu ya watendaji. Kuhakikisha uwajibikaji,
kuhakikisha kodi zinaakusanywa na kutumiwa vizuri Wizara ya
sheria na katiba itamletea Magufuli Katiba bora itakayolinda
mafanikio yake baada yake. Siamini kuwa Mwakyembe anakusudia
kuwa wizarani pale, halafu Rais wake afanye mema yote kwa
myaka kumi tunayokusudia kumpa uongozi wa taifa hili,
halafu
astaafu urais aingie mwingine
avivuruge kwa sababu wizara ya Mwakyembe haikumsaidia Rais
kuandaa Katiba itakayoyalinda mafanikia yake. Basi kama
ndiyo maana ya Mwakyembe kuwa Katiba haina implication kwa
maisha ya kila siku ya Mtanzania basi hapo wizarani kuna
ombwe kutoliona hilo.

3)
Mchakato ukianza hautaanzia kwenye toleo la pili la Jaji
Warioba
Ikitokea mchakato wa Katiba
ukianzia kwa kura ya maoni itakuwa ni kwa sababu rais hana
mtu wa kumshauri katika wizara ya Sheria na Katiba. Katiba
pendekezwa haiwezi kuyalinda mafanikio yanaayotarajiwa
wakati wa uongozi wa Magufuli. Kama kuna kitu sitarajii
Magufuli ashindwe ni kulipatia taifa hili katiba iliyoachwa
na Bunge la Katiba na kufinyanga dudu. Itakuwa amefanya kazi
bure kwa myaka yote atakayokuwa rais. Mkapa alilipa madeni
nchi ikawa na hali nzurio ya kukopesheka. Baada yake nchi
imevurundwa na sasa tunaona Magufuli anavyopata taabu
kuirekebisha. Halafu naye aache nchi haaina Katiba
itaakayolinda mafanikio aliyoyaancha? Na iwe hivyo wakati
aliunda wizara ya Sheria na katiba? Na waziri aliapa mbele
zetu kwa atamshauri vyema?
Wanaomkosoa
Magufuli wanaposema ashughulikie mfumo watu wanaafikiri
mfumo gani zaidi ya Katiba? Ukweli ni kuwa siamini kuwa 
maneno haya aliyasema Mwakyembe. Naapa; hakuyasema.
Elisa Muhingo

 
  --
 

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 
  Everyone
posting to this Forum bears the sole

responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
  statements and facts must be presented
responsibly. Your
  continued membership
signifies that you agree to this
 
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
 
  ---
 
 
You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups
"Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
  from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment