Tuesday, 22 November 2016

Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri nchi inyooshwe
Kwa hiyo unaamini kabisa kwamba kuna siku hayo makundi yatakwisha? na unaamini kabisa kwamba mtu mmoja atayamaliza? nieleze nchi moja tu ambayo haya makundi uliyoyataja hayapo. Ni mfumo ndio unayafanya hayo makundi uliyoyataja yapate nguvu nyingi na ni mfumo tu ndio unaweza kuyafanya yasiwe na nguvu. Na mfumo huo unaletwa na Katiba nzuri, kufuata sheria pamoja na serikali imara. Tukiwa na mihimili mitatu inayoheshimu mipaka yake (serikali, bunge na mahakama) tukawa na vyombo vya utawala veyenye madaraka ya kikatiba, hapo tunaweza kweli kwenda mbele. Mimi siamini kabisa kwamba sasa tunakwenda mbele kwa sababu hata Kama uongozi wa sasa unaweza kuwa unafanya mambo mazuri sana kwa taifa lakini ni sawa na mtu anayejenga nyumba nzuri na imara kwenye mchanga, kubomoka kwake ni rahisi tu. 
2016-11-22 13:38 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Huwezi kupanda pamba msituni. Unajuaa kuwa nchi sasa imegawanyika. Tema makundi yasiitostahili. Zamani kulikuwa na makundi ya wafanyakazi na wakulima. Sasa kuna mafisadi, kuna wanaowashabilia. Kuna wala rushwa, Kuna watoa rushwa. Kuna wezi wakubwa wasioweza kukamwtwa na polisi, kuna vibaka waliojaa mageerreza. Kuna walipa kodi, Kuna wakwepa kodi.
Haya makundi yanahitaji kuletwa pamoja ili waweze kujadili katiba ya watanzania. mfano uliona jinsi ambavyo watanzania waliandaa katiba yao chini ya Warioba na kundi jingine likaikataa chini ya waliomuweka Marehemu Samwel Sitta. magufuli akitaka kujadili katiba sasa tgukiwa msituni "pamba haitastawi"
--------------------------------------------
On Tue, 11/22/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri nchi inyooshwe
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Tuesday, November 22, 2016, 12:32 PM
 Asante sana Elisa kwa ufafanuzi
 wako. Hata hivyo nasikitikia sana nchi yangu niipendayo
 Tanzania. Sijui ni kitu gani kitatutoa kwenye huu ulevi wa
 ubaguzi. Hata tunapoongelea suala muhimu la Katiba Mtanzania
 mwenye elimu yake nzuri analeta ubaguzi, kwa kuona kwamba ni
 wale tu wanaokubalika kwa watawala ndio wenye haki ya
 kushiriki. Hata hayo maelezo uliyotoa ya lini Katiba
 itapatikana mbona yana kasoro kubwa tu. utoe ahadi mwaka
 2006 utekeleze 2020 hicho ni kitu gani?


 Asante


 2016-11-22 12:11 GMT+03:00
 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 Masanja.
 Ubarikiwe kwa hili nitakalisema. Katiba iliyopo ilikuwa
 shirikishi. Nilishapoteza barua niliyopelekewa na Mfaume
 Kawawa akinishukuru kwa maoni yangu.kuhusu katiba. Hiyo
 ilikuwa 1970 au 77 kama sijasahau wakati wa wananchi
 kushiriki mjadala wa katiba kwa njia mbalimbali.

 Rais Magufuli amesema katiiba hakikuwa kipaumbele chake
 katika uchaguzi 2015. Hadanganyi lakini hakusema kweli.
 Ngoja niseme kweli akanushe akitaka. Katiba ni kipaumbele
 chake na tayari mchakato umeanza.

 Hatua za kwanza zitakamilika 2010. Ni kusafisha jamii ya
 kitanzania, kuondoa uovu uliozidi mpaka kuweka misingi bora
 ya kiuchumi na kuhakikisha watanzania wanajua wanachofanya
 na wanakoelekea. 2020 ataka[pokamiliasha mpango huo atakuja
 na agenda ya katiba mpya wakati akiomba ridhaa ya watanzania
 kwa awamu ya pili. Hapo watanzania wataandika katiba mpya
 wakiongozwa na Magufuli. Huenda itakuwa katiba bora kuliko
 ya Warioba ambayo watanzania waliandika kwa hasira kwa
 sababu ya maovu yaliyokuwepo. Kwa hiyo katiba bora inaweza
 kupitia barabara hiyo. Ukiondoa wenye chuki binafsi kwa
 Magufuli kwa sababu aliwashinda; watanzania watakuwa wamoja
 zaidi wakati huo

 Elisa

 ------------------------------ --------------

 On Mon, 11/21/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
 wrote:  Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya
 isubiri nchi inyooshwe

  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Monday, November 21, 2016, 11:50 AM

  Ndg. Elisa, Katiba inafuatwa sasa

  kuliko huko nyuma ni mawazo yako kwa vigezo ulivotumia

  kupima. La msing ni kwamba Katiba iliyopo haijawahi
 kuwa

  shirikishi kwa Mwananchi wa kawaida katika uaandaaji
 wake.

  Wanodai katiba mpya ni kwamba waliona mwanga fulani
 katika

  huu mchakato na wanataka usiachwe ukazimika na ndiyo
 maana

  wanadai mchakato wa Katiba Mpya urejerewe.

  Ni kweli kabisa kuna mambo

  yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano ambayo huko
 nyuma

  ilikuwa ni ndoto kufanyika jambo ambulo ni zuri sana
 kwa

  taifa. Mambo haya yakiachwa yaendelee kudumu kuwa maono
 ya

  mtu mmoja bado si afya kwa taifa vile vile, kwa sababu

  yanaweza kuporomoka Siku moja Kama ambavyo yamekuja.
 Katiba

  mpya ndiyo suruhu ya hilo. Mambo mazuri yanayoendelea

  yatengenezewe mfumo madhubuti ambao si rahisi mtu
 mwingine

  kuyabadirisha au kuyaondoa kirahisi kwa masirahi yake

  binafsi au ya kikundi fulani kidogo, hapo ndipo suala
 la

  Katiba Mpya linapokuwa na umuhimu mkubwa.  2016-11-21 10:34 GMT+03:00

  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

  Edgar.  sasa katiba inafuatwa kuliko wakati uliopita. Ndiyo
 maana

  waliozoea kukwepa kodi wanashawishi watu kuwa katiba

  inavunjwa. Mafisadi waliofikiri hawawezi kuguswa
 wanaguswa.

  Ukichunguza sana utakuta wanaoshawishi wengine kuwa
 katiba

  haifuatwi ni wale waliozoea kuivunja na watu tukafikiri
 ndio

  utaratibu. Uholela hauwezi kuruhusiwa kuendelea bali

  tujiruhusu kuzoea kufuata taratibu  ------------------------------ --------------  On Sat, 11/19/16, Edgar Mbegu

  <embegu@hotmail.com>

  wrote:   Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba
 mpya

  isubiri nchi inyooshwe   To: "wanabidii@googlegroups.com"

  <wanabidii@googlegroups.com>   Date: Saturday, November 19, 2016, 3:18 PM   Tusishabikie na ubabe wa ndani vile vile. Tusikubali   nchi kuendeshwa kwa utashi wa mtu mmoja hata kama ana

  akili   kiasi gani! Katiba iliyopo ifuatwe to the letter hata

  kama   ni mbovu. Utawala wa sharia utamalaki kwa maslahi ya
 wote

  na   siyo ya mtu au kikundi    cha watu.    Sent from Samsung   tablet.   -------- Original message   --------   From: 'Mashaka Makana' via

  Wanabidii   <wanabidii@googlegroups.com>   Date: 19/11/2016 12:50 (GMT+03:00)   To: wanabidii@googlegroups.com   Subject: Re: [wanabidii] Magufuli

  kasema yote: katiba   mpya isubiri nchi inyooshwe   Watanzania   tusishabikie ubabe wa nchi kigeni kuwa ndiyo
 suluhisho

  ya   matatizo ya ndani ya nchi. Tunasiakia na kuona ya
 Libya

  na   kule Iraq watu walishabikia wakidhani ingekuwa
 suluhisho

  ya   tamaa ya mali    na madaraka na kukubali kutumika na hawajapata

  chochote   zaidi ya kuharibu miundombinu ya nchi yao na vita vya   wenyewe kwa wenyewe. Hii Demokrasia ya uchaguzi kila

  baada   ya miaka mitano ukilinganisha na gharama za uchaguzi
 ni   hasara tupu na matumizi mabaya    ya pesa za umma, Wakati wa kampeni za uchaguzi raia   hawafanyi kazi kungojea mikusanyiko ya kampeni. Je.
 ni

  hali   ya namna hii na kwa nchi zenye utawala wa kifalme?

  Msaada   hapo!   From:   'Lesian' via Wanabidii   <wanabidii@googlegroups.com>   To:   wanabidii@googlegroups.com   Sent:   Saturday, November 19, 2016 11:39

  AM   Subject: Re:   [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri

  nchi   inyooshwe   Katiba   iliopo ni'mbovu reuben.....inawapa watu mamlaka
 ya

  ajabu   anateua hadi wajumbe wa nyumbakumi...hawa ma dcs wa n

  sasa   kama si upotevu wa pesa......   Katiba iliopo ni nzr kwa watu kama kina reuben tu   wqnaofagilia kila jambo ilmradi limesemwa na
 kusimamiwa

  na   ccm   Hawanaga mawazo mbadala na hawatak,'na maana yake   hawataki kuona mbele na trump kaja atawanyooshen

  subirin   mnaokomaa madarakan navyma vyenu kaja komesha..teh
 teh   'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii   <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:   Mbegu;   Sio   kwamba inji haina Katiba kabisa,itanyooshwa na katiba   iliyopo.   Katiba   iliyopo sio kwamba ni mbaya kabisa kwamba sawa na

  haipo,   mabadiliko ya katiba yana sehemu chache za kuboresha
 na   kuongeza.   Uhuni   uliokuwepo/uliopo umetokana na kutofuata Katina,
 shaeria

  na   kanuni zake i.e. lazier free       Reuben   On Thursday,   November 17, 2016 7:42 PM, Edgar Mbegu   <embegu@hotmail.com>

  wrote:   Nchi itanyooshwa kwa sheria zipi? Kwa utaratibu upi?    Kwa utashi wa mtu binafsi?  Ametumwa na nani?   Sent from Samsung   tablet.   -------- Original message --------   From: 'mpombe mtalika' via Wanabidii   <wanabidii@googlegroups.com>   Date: 17/11/2016 10:36 (GMT+03:00)   To: ELISA MUHINGO' via Wanabidii   <wanabidii@googlegroups.com>   Subject: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba
 mpya   isubiri nchi inyooshwe   Serikali   za Wanyama na ndege au Wadudu;   Ndani   zina taadhima, kama kwamba maabudu;   Na   watu wenye hekima, siku hizi hawamudu   Madaraka   na heshima, heri mnyama na mdudu   Vinywa   vimewaachama, tamu imekuwa ngwandu   Na   heshima imehama baki taka na mashudu   Na   madhara na dhuluma miungu ya kuabudu   (Shaaban   Robert; katika "Kielelezo cha Fasili")   SHAABAN Robert katika shairi nililonukuu hapo juu,

  anaelezea   madhara ya Uongozi na Viongozi wanapokosa maono,
 hekima

  na   heshima kwa wananchi akisema, inapokuwa hivyo heri

  Serikali   za Wanyama, Ndege au Wadudu zina taadhima kuliko za

  viongozi   wenye kukithiri    kwa dhuluma na kujigeuza miungu watu.   Japo gwiji hilo la ushairi Afrika Mashariki alikuwa   akiandikia zama zake zaidi ya miaka 50 iliyopita
 ambapo   fukuto la ufisadi, rushwa, kutoweka kwa uzalendo,

  uadilifu,   maadili ya uongozi na ubinyaji wa demokrasia ilivyo

  sasa   halikuwa jambo lililopevuka, lakini    utabiri wake wa kinabii kwa yajayo hayo wakati huo

  ulikuwa   sahihi na ndiyo yaliyoikaba koo nchi yetu hivi leo.   Ilivyo leo, na kama tunavyoambiwa na wataalamu wa
 siasa

  na   sayansi ya jamii kwa ujumla, suluhisho la maovu haya
 ya   kijamii ni kwa njia ya Katiba ya nchi itakiwayo na

  itokanayo   na wananchi wahanga wa maovu hayo, kwa njia ya maoni
 na

  kura   ya maoni.   Pengine ni kwa sababu hii miaka ya karibuni, na hasa   kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwamba suala la
 Katiba

  mpya   lilikuwa ajenda moto, na zaidi kwa vyama vya upinzani   vilivyodai kuwa Katiba iliyopo imepitwa na wakati kwa

  sababu   iliandaliwa katika mazingira    tofauti na ya sasa miaka 40 iliyopita.   Tangu mwanzo, Serikali, kupitia Mwanasheria wake Mkuu

  (AG)   na mara nyingi pia kupitia waziri mwenye dhamana ya
 mambo

  ya   Katiba na vigogo wengine wa chama tawala, ilitamka
 wazi   kuwa, "Katiba mpya si ajenda ya serikali

  madarakani",   tamko lililochukuliwa na wengi    kama sawa na kujaribu kuzuia mafuriko kwa viganja
 vya   mkono.   Hatimaye mwaka 2012, serikali ilisalimu amri kwa   "mafuriko" hayo kwa kuteua Tume ya Kupendekeza

  "Rasimu   ya Katiba", chini ya uenyekiti makini wa Jaji
 Joseph

  Sinde   Warioba kwa matarajio kwamba Katiba hiyo mpya
 ingetumika

  kwa   mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu    wa Oktoba 2015.   Hadi kipindi hicho na mpaka sasa, nchi yetu ilikuwa
 na

  moja   ya Katiba bora Afrika Mashariki – Katiba ya Jamhuri

  ya   Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ambayo ukiondoa   mapungufu machache kadhaa yaliyomo, likiwamo lile la

  harufu   ya chama kimoja; madaraka makubwa    ya Rais (Mhimili wa Utawala) dhidi ya mihimili
 mingine

  –   Bunge na Mahakama na baadhi kuhusu Muungano, ilitosha
 na

  kwa   utoshelevu mkubwa katika ujenzi wa demokrasia na

  utawala   bora nchini.   Ni mwananchi gani mpenda demokrasia ya kweli bila

  kificho,   anaweza kubeza ubora usio na mshindani wa Katiba hii

  kwa   mambo muhimu inayotetea, kama vile, "malengo muhimu

  na   misingi ya shughuli za serikali madarakani" (ibara
 6

  –   11); na "Haki ya Usawa --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.


 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment