Tuesday, 22 November 2016

Re: [wanabidii] Mikosi ya mapacha.....

Elisa.

Asante kwa input . Bilashaka utatwambia hapa jukwaan yale utakayoongea na Rebecca.

By the way makala hii ilifupishwa maana nilikuwa nimeongea vitu vingi kwa undani. Najaribu kutafuta platform ya kuichapa kwa urefu wake

On Nov 22, 2016 1:31 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kamala
Nimesoma document hii na nitaisoma tena. haata hivyo bado naona hakuna kinachoonyesha kuwa kuna imani kuwa mapacha ni mkosi. Ni kweli kulikuwa na matambiko lakini si ya kuondcoa mikosi ila kuwalinda mapacha wasife. Na hii mingine walifanyiwa watotio wote. Nitamtafuta Lebecca niongee naye k3waa ufafanuzi (nafahamiana naye) Lkaini bao inahitaji kusomaa document sawasawa na kuongea na watu wengi zaidi.Watu wengi hupotoshwa na leading/misleading questions na kujibu mtu anachoona anayeuliza anataka. Kuna uwezekano mkubwsa kuwa makala hii ilipotoshwa. Mapachaa hawakuwahi kudhaniwa kuwa mkosi na mila ya kihaya. Hii haiondoi mtyu kwenda k,upiga ramli akaambiwa hivyo. Hii haigeuki kuwa mila ya jamii yote
Elisa
--------------------------------------------
On Mon, 11/21/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] Mikosi ya mapacha.....
 To: "Wanazuoni" <Wanazuoni@yahoogroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Monday, November 21, 2016, 9:11 PM

 Ile makala ya mikosi ya
 mapacha inapatikana huku:
 http://www.thecitizen.co.tz/magazine/Taboos-weigh-down-twins-as-bad-luck-babies/1840564-3459516-7jven4z/index.html
 Nawasilisha. --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment