Tuesday 22 November 2016

Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri nchi inyooshwe

Masanja sasa umeanza ukandamizaji. Unawezaje kusema nyumba inajengwa kwenye mchanga wakati mjenzi anaushughulikia.
Nianze hivi naamini kuwa makundi haya hayawezi kuisha ila makundi hayo yanaweza kuwa maoga kwa kuogopa mamlaka yaliyopo kwa hiyo yasivuruge mifumo ya uongozi. Unakumbuka kiongozi kusema ana orodha ya wafanya biashara wa madawa ya kulevya lakini akashindwa kuyataja. sasa wengi wamekimbia au wako lupango.
Naamini kuwa mtu mmoja hawezi. Ndiyo maana Rais ana vyombo vingi na wasaidizi wengi. Mihimili mitatu kama ulivyoitaja ipo. Lakini kazi ya mihimili sio kusigana. Ndiyo maana umesikia Trump aliposhinda na mabunge mawili ya Marekani kuwa na wawakilishi wengi wa chama chake ilisemwa kuwa sasa ataweza kupitisha mambo yake bila shida. Unafikiri nini maana yake? Inatofautiana vipi na hapa kwetu. Mwaka jana au huu alifariki jaji wa mahakama ya juu wa Marekani. Obama ameshindwa kumteua kwa sababu bunge linalostahili kumpitisha lilimdindia. Sasa imesemwa Trump atamchagua anayeweza kukubaliana na mikakati yake. Unajua bila kuwa waangalifu tutadai demokrasia isiyokuwepo popote. Tunahitaji kujenga jamii ya haki na kuhesimiana kama mifumo ya demokrasia ikiwa kikwazo zipo njia za mkato, ili mradi tunakwenda tunakotaka. ndiyo maana Bunge liliweza kupitisha bajeti
--------------------------------------------
On Tue, 11/22/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri nchi inyooshwe
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, November 22, 2016, 3:33 PM




Kwa hiyo unaamini kabisa kwamba kuna
siku hayo makundi yatakwisha? na unaamini kabisa kwamba mtu
mmoja atayamaliza? nieleze nchi moja tu ambayo haya makundi
uliyoyataja hayapo. Ni mfumo ndio unayafanya hayo makundi
uliyoyataja yapate nguvu nyingi na ni mfumo tu ndio unaweza
kuyafanya yasiwe na nguvu. Na mfumo huo unaletwa na Katiba
nzuri, kufuata sheria pamoja na serikali imara. Tukiwa na
mihimili mitatu inayoheshimu mipaka yake (serikali, bunge na
mahakama) tukawa na vyombo vya utawala veyenye madaraka ya
kikatiba, hapo tunaweza kweli kwenda mbele. Mimi siamini
kabisa kwamba sasa tunakwenda mbele kwa sababu hata Kama
uongozi wa sasa unaweza kuwa unafanya mambo mazuri sana kwa
taifa lakini ni sawa na mtu anayejenga nyumba nzuri na imara
kwenye mchanga, kubomoka kwake ni rahisi tu. 



2016-11-22 13:38 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Huwezi
kupanda pamba msituni. Unajuaa kuwa nchi sasa imegawanyika.
Tema makundi yasiitostahili. Zamani kulikuwa na makundi ya
wafanyakazi na wakulima. Sasa kuna mafisadi, kuna
wanaowashabilia. Kuna wala rushwa, Kuna watoa rushwa. Kuna
wezi wakubwa wasioweza kukamwtwa na polisi, kuna vibaka
waliojaa mageerreza. Kuna walipa kodi, Kuna wakwepa kodi.

Haya makundi yanahitaji kuletwa pamoja ili waweze kujadili
katiba ya watanzania. mfano uliona jinsi ambavyo watanzania
waliandaa katiba yao chini ya Warioba na kundi jingine
likaikataa chini ya waliomuweka Marehemu Samwel Sitta.
magufuli akitaka kujadili katiba sasa tgukiwa msituni
"pamba haitastawi"

------------------------------ --------------

On Tue, 11/22/16, Ezekiel
Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya
isubiri nchi inyooshwe

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Tuesday, November 22, 2016, 12:32 PM









 Asante sana Elisa kwa ufafanuzi

 wako. Hata hivyo nasikitikia sana nchi yangu niipendayo

 Tanzania. Sijui ni kitu gani kitatutoa kwenye huu ulevi
wa

 ubaguzi. Hata tunapoongelea suala muhimu la Katiba
Mtanzania

 mwenye elimu yake nzuri analeta ubaguzi, kwa kuona kwamba
ni

 wale tu wanaokubalika kwa watawala ndio wenye haki ya

 kushiriki. Hata hayo maelezo uliyotoa ya lini Katiba

 itapatikana mbona yana kasoro kubwa tu. utoe ahadi
mwaka

 2006 utekeleze 2020 hicho ni kitu gani?





 Asante





 2016-11-22 12:11 GMT+03:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Masanja.

 Ubarikiwe kwa hili nitakalisema. Katiba iliyopo ilikuwa

 shirikishi. Nilishapoteza barua niliyopelekewa na
Mfaume

 Kawawa akinishukuru kwa maoni yangu.kuhusu katiba. Hiyo

 ilikuwa 1970 au 77 kama sijasahau wakati wa wananchi

 kushiriki mjadala wa katiba kwa njia mbalimbali.



 Rais Magufuli amesema katiiba hakikuwa kipaumbele chake

 katika uchaguzi 2015. Hadanganyi lakini hakusema kweli.

 Ngoja niseme kweli akanushe akitaka. Katiba ni
kipaumbele

 chake na tayari mchakato umeanza.



 Hatua za kwanza zitakamilika 2010. Ni kusafisha jamii
ya

 kitanzania, kuondoa uovu uliozidi mpaka kuweka misingi
bora

 ya kiuchumi na kuhakikisha watanzania wanajua
wanachofanya

 na wanakoelekea. 2020 ataka[pokamiliasha mpango huo
atakuja

 na agenda ya katiba mpya wakati akiomba ridhaa ya
watanzania

 kwa awamu ya pili. Hapo watanzania wataandika katiba
mpya

 wakiongozwa na Magufuli. Huenda itakuwa katiba bora
kuliko

 ya Warioba ambayo watanzania waliandika kwa hasira kwa

 sababu ya maovu yaliyokuwepo. Kwa hiyo katiba bora
inaweza

 kupitia barabara hiyo. Ukiondoa wenye chuki binafsi kwa

 Magufuli kwa sababu aliwashinda; watanzania watakuwa
wamoja

 zaidi wakati huo



 Elisa



 ------------------------------ --------------



 On Mon, 11/21/16, Ezekiel Massanja
<ezekielmassanja@gmail.com>

 wrote:







  Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba
mpya

 isubiri nchi inyooshwe



  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>



  Date: Monday, November 21, 2016, 11:50 AM



















  Ndg. Elisa, Katiba inafuatwa sasa



  kuliko huko nyuma ni mawazo yako kwa vigezo
ulivotumia



  kupima. La msing ni kwamba Katiba iliyopo haijawahi

 kuwa



  shirikishi kwa Mwananchi wa kawaida katika uaandaaji

 wake.



  Wanodai katiba mpya ni kwamba waliona mwanga fulani

 katika



  huu mchakato na wanataka usiachwe ukazimika na ndiyo

 maana



  wanadai mchakato wa Katiba Mpya urejerewe.



  Ni kweli kabisa kuna mambo



  yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano ambayo huko

 nyuma



  ilikuwa ni ndoto kufanyika jambo ambulo ni zuri sana

 kwa



  taifa. Mambo haya yakiachwa yaendelee kudumu kuwa
maono

 ya



  mtu mmoja bado si afya kwa taifa vile vile, kwa
sababu



  yanaweza kuporomoka Siku moja Kama ambavyo yamekuja.

 Katiba



  mpya ndiyo suruhu ya hilo. Mambo mazuri yanayoendelea



  yatengenezewe mfumo madhubuti ambao si rahisi mtu

 mwingine



  kuyabadirisha au kuyaondoa kirahisi kwa masirahi yake



  binafsi au ya kikundi fulani kidogo, hapo ndipo suala

 la



  Katiba Mpya linapokuwa na umuhimu mkubwa.















  2016-11-21 10:34 GMT+03:00



  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:



  Edgar.







  sasa katiba inafuatwa kuliko wakati uliopita. Ndiyo

 maana



  waliozoea kukwepa kodi wanashawishi watu kuwa katiba



  inavunjwa. Mafisadi waliofikiri hawawezi kuguswa

 wanaguswa.



  Ukichunguza sana utakuta wanaoshawishi wengine kuwa

 katiba



  haifuatwi ni wale waliozoea kuivunja na watu
tukafikiri

 ndio



  utaratibu. Uholela hauwezi kuruhusiwa kuendelea bali



  tujiruhusu kuzoea kufuata taratibu







  ----------------------------- - --------------







  On Sat, 11/19/16, Edgar Mbegu



  <embegu@hotmail.com>



  wrote:















   Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote:
katiba

 mpya



  isubiri nchi inyooshwe







   To: "wanabidii@googlegroups.com"



  <wanabidii@googlegroups.com>







   Date: Saturday, November 19, 2016, 3:18 PM























   Tusishabikie na ubabe wa ndani vile vile.
Tusikubali







   nchi kuendeshwa kwa utashi wa mtu mmoja hata kama
ana



  akili







   kiasi gani! Katiba iliyopo ifuatwe to the letter
hata



  kama







   ni mbovu. Utawala wa sharia utamalaki kwa maslahi
ya

 wote



  na







   siyo ya mtu au kikundi







    cha watu. 























































































   Sent from Samsung







   tablet.































































   -------- Original message







   --------







   From: 'Mashaka Makana' via



  Wanabidii







   <wanabidii@googlegroups.com>







   Date: 19/11/2016 12:50 (GMT+03:00)







   To: wanabidii@googlegroups.com







   Subject: Re: [wanabidii] Magufuli



  kasema yote: katiba







   mpya isubiri nchi inyooshwe























































   Watanzania







   tusishabikie ubabe wa nchi kigeni kuwa ndiyo

 suluhisho



  ya







   matatizo ya ndani ya nchi. Tunasiakia na kuona ya

 Libya



  na







   kule Iraq watu walishabikia wakidhani ingekuwa

 suluhisho



  ya







   tamaa ya mali







    na madaraka na kukubali kutumika na hawajapata



  chochote







   zaidi ya kuharibu miundombinu ya nchi yao na vita
vya







   wenyewe kwa wenyewe. Hii Demokrasia ya uchaguzi
kila



  baada







   ya miaka mitano ukilinganisha na gharama za
uchaguzi

 ni







   hasara tupu na matumizi mabaya







    ya pesa za umma, Wakati wa kampeni za uchaguzi
raia







   hawafanyi kazi kungojea mikusanyiko ya kampeni. Je.

 ni



  hali







   ya namna hii na kwa nchi zenye utawala wa kifalme?



  Msaada







   hapo!























































































   From:







   'Lesian' via Wanabidii







   <wanabidii@googlegroups.com>















   To:







   wanabidii@googlegroups.com















   Sent:







   Saturday, November 19, 2016 11:39



  AM















   Subject: Re:







   [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya
isubiri



  nchi







   inyooshwe















































   Katiba







   iliopo ni'mbovu reuben.....inawapa watu mamlaka

 ya



  ajabu







   anateua hadi wajumbe wa nyumbakumi...hawa ma dcs wa
n



  sasa







   kama si upotevu wa pesa......















   Katiba iliopo ni nzr kwa watu kama kina reuben tu







   wqnaofagilia kila jambo ilmradi limesemwa na

 kusimamiwa



  na







   ccm















   Hawanaga mawazo mbadala na hawatak,'na maana
yake







   hawataki kuona mbele na trump kaja atawanyooshen



  subirin







   mnaokomaa madarakan navyma vyenu kaja komesha..teh

 teh































   'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii







   <wanabidii@googlegroups.com>



  wrote:







































   Mbegu;







   Sio







   kwamba inji haina Katiba kabisa,itanyooshwa na
katiba







   iliyopo.







   Katiba







   iliyopo sio kwamba ni mbaya kabisa kwamba sawa na



  haipo,







   mabadiliko ya katiba yana sehemu chache za
kuboresha

 na







   kuongeza.







   Uhuni







   uliokuwepo/uliopo umetokana na kutofuata Katina,

 shaeria



  na







   kanuni zake i.e. lazier free







    















   Reuben







































































































   On Thursday,







   November 17, 2016 7:42 PM, Edgar Mbegu







   <embegu@hotmail.com>



  wrote:























































































   Nchi itanyooshwa kwa sheria zipi? Kwa utaratibu
upi?







    Kwa utashi wa mtu binafsi?  Ametumwa na nani?























































































   Sent from Samsung







   tablet.







































































   -------- Original message --------







   From: 'mpombe mtalika' via Wanabidii







   <wanabidii@googlegroups.com>







   Date: 17/11/2016 10:36 (GMT+03:00)







   To: ELISA MUHINGO' via Wanabidii







   <wanabidii@googlegroups.com>







   Subject: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba

 mpya







   isubiri nchi inyooshwe























































   Serikali







   za Wanyama na ndege au Wadudu;































   Ndani







   zina taadhima, kama kwamba maabudu;































   Na







   watu wenye hekima, siku hizi hawamudu































   Madaraka







   na heshima, heri mnyama na mdudu































   Vinywa







   vimewaachama, tamu imekuwa ngwandu































   Na







   heshima imehama baki taka na mashudu































   Na







   madhara na dhuluma miungu ya kuabudu







































   (Shaaban







   Robert; katika "Kielelezo cha Fasili")































   SHAABAN Robert katika shairi nililonukuu hapo juu,



  anaelezea







   madhara ya Uongozi na Viongozi wanapokosa maono,

 hekima



  na







   heshima kwa wananchi akisema, inapokuwa hivyo heri



  Serikali







   za Wanyama, Ndege au Wadudu zina taadhima kuliko za



  viongozi







   wenye kukithiri







    kwa dhuluma na kujigeuza miungu watu.































   Japo gwiji hilo la ushairi Afrika Mashariki alikuwa







   akiandikia zama zake zaidi ya miaka 50 iliyopita

 ambapo







   fukuto la ufisadi, rushwa, kutoweka kwa uzalendo,



  uadilifu,







   maadili ya uongozi na ubinyaji wa demokrasia ilivyo



  sasa







   halikuwa jambo lililopevuka, lakini







    utabiri wake wa kinabii kwa yajayo hayo wakati huo



  ulikuwa







   sahihi na ndiyo yaliyoikaba koo nchi yetu hivi leo.































   Ilivyo leo, na kama tunavyoambiwa na wataalamu wa

 siasa



  na







   sayansi ya jamii kwa ujumla, suluhisho la maovu
haya

 ya







   kijamii ni kwa njia ya Katiba ya nchi itakiwayo na



  itokanayo







   na wananchi wahanga wa maovu hayo, kwa njia ya
maoni

 na



  kura







   ya maoni.































   Pengine ni kwa sababu hii miaka ya karibuni, na
hasa







   kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwamba suala la

 Katiba



  mpya







   lilikuwa ajenda moto, na zaidi kwa vyama vya
upinzani







   vilivyodai kuwa Katiba iliyopo imepitwa na wakati
kwa



  sababu







   iliandaliwa katika mazingira







    tofauti na ya sasa miaka 40 iliyopita.































   Tangu mwanzo, Serikali, kupitia Mwanasheria wake
Mkuu



  (AG)







   na mara nyingi pia kupitia waziri mwenye dhamana ya

 mambo



  ya







   Katiba na vigogo wengine wa chama tawala, ilitamka

 wazi







   kuwa, "Katiba mpya si ajenda ya serikali



  madarakani",







   tamko lililochukuliwa na wengi







    kama sawa na kujaribu kuzuia mafuriko kwa viganja

 vya







   mkono.































   Hatimaye mwaka 2012, serikali ilisalimu amri kwa







   "mafuriko" hayo kwa kuteua Tume ya Kupendekeza



  "Rasimu







   ya Katiba", chini ya uenyekiti makini wa Jaji

 Joseph



  Sinde







   Warioba kwa matarajio kwamba Katiba hiyo mpya

 ingetumika



  kwa







   mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu







    wa Oktoba 2015.































   Hadi kipindi hicho na mpaka sasa, nchi yetu ilikuwa

 na



  moja







   ya Katiba bora Afrika Mashariki – Katiba ya
Jamhuri



  ya







   Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ambayo ukiondoa







   mapungufu machache kadhaa yaliyomo, likiwamo lile
la



  harufu







   ya chama kimoja; madaraka makubwa







    ya Rais (Mhimili wa Utawala) dhidi ya mihimili

 mingine



  –







   Bunge na Mahakama na baadhi kuhusu Muungano,
ilitosha

 na



  kwa







   utoshelevu mkubwa katika ujenzi wa demokrasia na



  utawala







   bora nchini.































   Ni mwananchi gani mpenda demokrasia ya kweli bila



  kificho,







   anaweza kubeza ubora usio na mshindani wa Katiba
hii



  kwa







   mambo muhimu inayotetea, kama vile, "malengo
muhimu



  na







   misingi ya shughuli za serikali madarakani"
(ibara

 6



  –







   11); na "Haki ya Usawa







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.





















 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.










--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment