Tuesday, 1 November 2016

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TIGO HUU NI UZEMBE AU WIZI?

Tigo ni wezi. hela ikipotea ukaripoti ndo huipati milele. mm ilishanitokea mara mbili. voda wakikwambia saa ishirini na nne hazifiki unapata hela zako, si tigo.


On Sunday, October 30, 2016 8:55 PM, 'hamisi kilimba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Ireneus,
Naomba nitummie inbox ukurasa wao ni lodge claim.

Kilimba


On Sun, Oct 30, 2016 at 20:53, hamisi kilimba
<matyois@yahoo.co.uk> wrote:
Bwana Ludovick.
Hawa tigo ndio zao hata mimi  nimepata tatizoi kama hilo juzi nilituma pesa kutoka tigo kwenda voda na nilipogundua nilipiga simi huduma kwa wateja na alipopokea simu akasema wanatuna ujumbe voda ili waizuie hela isiutoke kwani  haipo kwenye  akaunti yao

Wakanishauri nipigge vodacom kwa msaada zaidi milipopiga wakasema wao hawezi kuzuia hela isitoke.
Kwa kuwa hela ilikuwa  nyingi nikaenda kwenye ofisi zao za tigo ndio kwanza huyo dada akaanza kuangalia na kusema hakina ujumbe uliotumwa vodacom na akaanza kutuma kwa mara ys kwanza.

Baada ya masaa 48 wananiambia hela imeshatolewa kwani vodacom hajaizuia.

TCRA sidhani kama inalijia hili.

Kilimba


On Sun, Oct 30, 2016 at 13:52, Joseph Ludovick
<josephludovick@gmail.com> wrote:
Nilituma kimakosa fedha kutoka TIGO kwenda M PESA. Mhudumu wa TIGO akaniambia fedha zingelirudishwa ndani ya Masaa 72. Ajabu tangu tar 19 octoba mpaka LEO, Masaa 72 kwenye SAA za TIGO, hayajafika. Kinachoudhi ni kuwa nimeuliza na kuuliza bila msaada wowote.
Nimeamua hata kwenda Voda wamenisaidia na kukuta fedha haikuingia kwenye namba niliyokosea kuitumia! Lakini Tigo wamekomaa eti hela ilienda Voda! Sasa maana yake hamna mpango wa kurudisha hela yangu? Maana Nina uhakika haikwenda huko ilikokosea njia! 
Ama hata vitu kidogo kama hivi viwe vinamalizikia mahakamani? Tigo mjirekebishe haraka.
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at https://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6Qg%2BR28To6c7HWM0Vaa5A3-bAvJHTo7k375OkXH9L9Xfow%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment