Sunday 20 November 2016

Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri nchi inyooshwe

Yorated Lesian. Hata kulima karibu utaacha maana Trump anaaposhwa tarehe 20 January. Shida kweli
--------------------------------------------
On Mon, 11/21/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri nchi inyooshwe
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, November 21, 2016, 7:55 AM

Mzee Rais wa us ni wa dunia ,'mbn
huelewag mzee
He cant force to his direction...mfano anaposemea viongozi
wa kiafrika wanaoamini wa ni marais wa maisha,'mfano
wameshafanya nn ktk nchi kibao a dunia...
Trump anamaanisha anavhosema kua africa need to be
recolonised, watu hata uchaguzi mdogo wanaforce matokeo
Trump atalete majibu ya matatizo kibao ya afrika

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Maskini Lesian. Unakaa na kutarajia Trump aaishwe kama
rais wa Marekani aje kukusaidia Tanzania?????
>--------------------------------------------
>On Sat, 11/19/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba
mpya isubiri nchi inyooshwe
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, November 19, 2016, 12:33 PM
>
> Triump atawakomesha hata
> hawa wanalazimisha matokeo kua wameshinda ili
waendelee
> kutoa mi amri tu kumbe alieshinda mwingineee,nyie
subirin
>
> 'Reuben Mwandumbya'
> via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Lessian;Shambulia
> hoja sio kushambulia mimi.
> Never
> believe that Trump is for others than American
> interests.Jiandae
> kupokea wadogo zako wanaodeki vyoo kule America then
wakija
> Bongo wanasema ni Mameneja huko ughaibuni.Trump
> akishika moto na wengine watamfuata,hapo ndipo moto
utawaka
> Jomba. Reuben
>

>
>
>    On Saturday, November
> 19, 2016 11:39 AM, 'Lesian' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>   
>
>  Katiba iliopo ni'mbovu
> reuben.....inawapa watu mamlaka ya ajabu anateua hadi
> wajumbe wa nyumbakumi...hawa ma dcs wa n sasa kama si
> upotevu wa pesa......
> Katiba iliopo ni nzr
> kwa watu kama kina reuben tu wqnaofagilia kila jambo
ilmradi
> limesemwa na kusimamiwa na ccm
> Hawanaga
> mawazo mbadala na hawatak,'na maana yake hawataki
kuona
> mbele na trump kaja atawanyooshen subirin mnaokomaa
> madarakan navyma vyenu kaja komesha..teh teh
>
> 'Reuben Mwandumbya'
> via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Mbegu;Sio
> kwamba inji haina Katiba kabisa,itanyooshwa na katiba
> iliyopo.Katiba
> iliyopo sio kwamba ni mbaya kabisa kwamba sawa na
haipo,
> mabadiliko ya katiba yana sehemu chache za kuboresha
na
> kuongeza.Uhuni
> uliokuwepo/uliopo umetokana na kutofuata Katina,
shaeria na
> kanuni zake i.e. lazier free Reuben
>

>
>     On Thursday, November
> 17, 2016 7:42 PM, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
> wrote:
>   
>

>


>
>
> Nchi itanyooshwa kwa sheria zipi? Kwa utaratibu upi?
>  Kwa utashi wa mtu binafsi?  Ametumwa na nani?
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Sent from Samsung
> tablet.
>
>
>
>
>
>
>
> -------- Original message --------
> From: 'mpombe mtalika' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>

> Date: 17/11/2016 10:36 (GMT+03:00)
> To: ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>

> Subject: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya
> isubiri nchi inyooshwe
>
>
>
>
>
>
> Serikali
> za Wanyama na ndege au Wadudu;
>
>
>
> Ndani
> zina taadhima, kama kwamba maabudu;
>
>
>
> Na
> watu wenye hekima, siku hizi hawamudu
>
>
>
> Madaraka
> na heshima, heri mnyama na mdudu
>
>
>
> Vinywa
> vimewaachama, tamu imekuwa ngwandu
>
>
>
> Na
> heshima imehama baki taka na mashudu
>
>
>
> Na
> madhara na dhuluma miungu ya kuabudu
>
>
>
>
> (Shaaban
> Robert; katika "Kielelezo cha Fasili")
>
>
>
> SHAABAN Robert katika shairi nililonukuu hapo juu,
anaelezea
> madhara ya Uongozi na Viongozi wanapokosa maono, hekima
na
> heshima kwa wananchi akisema, inapokuwa hivyo heri
Serikali
> za Wanyama, Ndege au Wadudu zina taadhima kuliko za
viongozi
> wenye kukithiri
>  kwa dhuluma na kujigeuza miungu watu.
>
>
>
> Japo gwiji hilo la ushairi Afrika Mashariki alikuwa
> akiandikia zama zake zaidi ya miaka 50 iliyopita
ambapo
> fukuto la ufisadi, rushwa, kutoweka kwa uzalendo,
uadilifu,
> maadili ya uongozi na ubinyaji wa demokrasia ilivyo
sasa
> halikuwa jambo lililopevuka, lakini
>  utabiri wake wa kinabii kwa yajayo hayo wakati
huo ulikuwa
> sahihi na ndiyo yaliyoikaba koo nchi yetu hivi leo.
>
>
>
> Ilivyo leo, na kama tunavyoambiwa na wataalamu wa siasa
na
> sayansi ya jamii kwa ujumla, suluhisho la maovu haya
ya
> kijamii ni kwa njia ya Katiba ya nchi itakiwayo na
itokanayo
> na wananchi wahanga wa maovu hayo, kwa njia ya maoni na
kura
> ya maoni.
>
>
>
> Pengine ni kwa sababu hii miaka ya karibuni, na hasa
> kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwamba suala la Katiba
mpya
> lilikuwa ajenda moto, na zaidi kwa vyama vya upinzani
> vilivyodai kuwa Katiba iliyopo imepitwa na wakati kwa
sababu
> iliandaliwa katika mazingira
>  tofauti na ya sasa miaka 40 iliyopita.
>
>
>
> Tangu mwanzo, Serikali, kupitia Mwanasheria wake Mkuu
(AG)
> na mara nyingi pia kupitia waziri mwenye dhamana ya
mambo ya
> Katiba na vigogo wengine wa chama tawala, ilitamka
wazi
> kuwa, "Katiba mpya si ajenda ya serikali
madarakani",
> tamko lililochukuliwa na wengi
>  kama sawa na kujaribu kuzuia mafuriko kwa viganja
vya
> mkono.
>
>
>
> Hatimaye mwaka 2012, serikali ilisalimu amri kwa
> "mafuriko" hayo kwa kuteua Tume ya Kupendekeza
"Rasimu
> ya Katiba", chini ya uenyekiti makini wa Jaji Joseph
Sinde
> Warioba kwa matarajio kwamba Katiba hiyo mpya
ingetumika kwa
> mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu
>  wa Oktoba 2015.
>
>
>
> Hadi kipindi hicho na mpaka sasa, nchi yetu ilikuwa na
moja
> ya Katiba bora Afrika Mashariki – Katiba ya Jamhuri
ya
> Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ambayo ukiondoa
> mapungufu machache kadhaa yaliyomo, likiwamo lile la
harufu
> ya chama kimoja; madaraka makubwa
>  ya Rais (Mhimili wa Utawala) dhidi ya mihimili
mingine –
> Bunge na Mahakama na baadhi kuhusu Muungano, ilitosha
na kwa
> utoshelevu mkubwa katika ujenzi wa demokrasia na
utawala
> bora nchini.
>
>
>
> Ni mwananchi gani mpenda demokrasia ya kweli bila
kificho,
> anaweza kubeza ubora usio na mshindani wa Katiba hii
kwa
> mambo muhimu inayotetea, kama vile, "malengo muhimu
na
> misingi ya shughuli za serikali madarakani" (ibara 6

> 11); na "Haki ya Usawa na Wajibu
>  wa Serikali kwa Raia" (ibara 12 – 30) ambayo
Katiba za
> nchi nyingi hazina?.
>
>
>
> Ibara hizi za Katiba zina umahiri wa pekee kutokana na
> ukweli kwamba zilitungwa na kupewa nguvu na msukumo
enzi za
> utawala ulioweka mbele mambo kama vile uwajibikaji na
> maadili kwa viongozi; usawa wa binadamu na wa kijamii,
utu
> na dhana nzima ya uchumi/utajiri
>  wa nchi kuwa mikononi mwa wananchi kwa ajili ya
na kwa
> manufaa ya wananchi wenyewe.
>
>
>
> Kwa kuzingatia haya, nchi haikuhitaji, na bado
haihitaji
> Katiba mpya kwa wakati huu, ila ipo haja isiyohojika
ya
> kuifanyia marekebisho ya hapa na pale Katiba iliyopo
kwa
> kuondoa ibara zinazopwaya au zinazokinzana (repugnant
> provisions) na mnyumbuliko wa demokrasia
>  kwa mazingira ya sasa.
>
>
>
> Serikali ya Awamu ya Nne ilitishika na kusalimu amri
kwa
> "mungurumo" wa mbali wa kudai Katiba mpya bila
sababu
> wakati ikijua ubora wa Katiba iliyopo, ila kwa sababu
ya
> "uzembe" wake wa kuruhusu maovu ya kijamii
tuliyoyataja
> kutamalaki.
>
>
>
> Uzembe huo ulisababisha kujipaka matope na uchafu wa
kila
> aina ama kwa kushiriki au kwa kunyamazia maovu hayo
kufikia
> kile anachosema kila mara Rais wa awamu ya tano, John
Pombe
> Joseph Magufuli (JPM), kwamba, "nchi iliendeshwa
kihovyo
> hovyo tu kana kwamba hapakuwa
>  na (viongozi) serikali".
>
>
>
> Kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Tume ya Warioba kwa
njia
> ya Rasimu ya Katiba ni kuboresha na kufafanua kwa fikra
na
> "mantiki" pana zaidi ya yaliyo bora yaliyomo
katika
> Katiba ya 1977 pamoja na namna ya utekelezaji kwa
uthabiti,
> na kwa kuziba au kuondoa mapungufu
>  tuliyokwishaelezea hapo mwanzo.
>
>
>
> Ni Rasimu iliyohusisha "akili" bora za ainaaina
> zinazofahamika hapa nchini, zenye fikra za kimapinduzi,
utu
> na usawa wa binadamu na wa kijamii na ambayo kama
ingepita
> ilivyo, bila ya shaka yoyote ingetoa Katiba bora na ya
aina
> yake kumfanya Mtanzania aishi
>  bustani ya Edeni bila hofu wala mawaa, badala ya
kuendelea
> kuishi kwenye "shamba la bibi" ilivyo sasa, kwa
kila mtu
> kuishi kadri ya ukali wa meno yake kuweza kurarua na
kupora
> kiharamia awezavyo, bila kujali wanyonge na mafukara wa
nchi
> wa kufukarishwa na
>  mfumo.
>
>
>
> Rasimu hii ilikuwa tishio kwa maslahi ya mfumo wa
kifisadi
> uliotaka kubakia na uliofanya nchi "kuendeshwa
kihovyo
> hovyo tu kana kwamba hapakuwa na serikali".
>
>
>
> Waingereza wana msemo, kwamba, "give a dog a bad name
and
> it will be killed", yaani, "mpe mbwa jina baya na
> atauawa". Haraka haraka mafisadi wa nchini na wa
kimataifa
> walivuta pumzi kukusanya nguvu kuiangamiza rasimu hii
kwa
> kuipa tume na baadhi ya wajumbe
>  wake majina mabaya mabaya ionekane ya
"majahili" na
> rasimu hiyo kuwa haifai.
>
>
>
> Kanuni na taratibu za kutunga Katiba zikapindwa
bungeni
> kuhakikisha kwamba inanyumbulishwa na kusukwasukwa
mithili
> ya meli ndani ya tufani na kupoteza mwelekeo wa Katiba
> iliyokusudiwa.
>
>
>
> Kisha, kwa matumizi ya hoja za nguvu; ubaguzi wa
kiitikadi
> wa kubumba; ushawishi wa kilaghai na matumizi ya pesa
chafu
> kwa kushirikisha ubepari wa ndani na wa kimataifa,
tabaka
> hili la kifisadi lililewesha bangi sehemu kubwa ya
Bunge
> Maalum la Katiba kiasi
>  cha kupanua midomo na kulishwa kila aina ya
"mvinyo",
> vinywa vimewaachama mithili ya makinda ya ndege, huku
> likijipa bila uhalali wa kisheria, mamlaka ya kuandika
> lenyewe "Katiba Inayopendekezwa" kwa kutupilia
mbali
> sehemu kubwa ya maoni ya wananchi.
>
>
>
> Matokeo ya ubabe huu yalikuwa ni pamoja na kunyofolewa
kwa
> sehemu kubwa, misingi ya usawa wa kijamii, tunu za
taifa,
> maadili ya taifa, usimamizi wa rasilimali za taifa kwa
> manufaa ya wananchi wote na uwajibikaji wa viongozi
ili
> kusimika kile kinachoweza kuitwa
>  "jamii ya kitabaka".
>
>
>
> Baada ya kunyofolewa kwa sehemu kubwa mengi mema
kwenye
> Rasimu ya Tume ya Warioba, "Katiba Inayopendekezwa"
ya
> wababe wa ufisadi na mawakala wa ukoloni mamboleo, si
tu
> kwamba iliweka rehani demokrasia na uhuru wa nchi na
raia
> kwa ubeberu mpya, bali pia inasaliti
>  yaliyo mema katika Katiba ya sasa ya mwaka 1977
kuturejesha
> "utumwani" kwa Farao, Misri.
>
>
>
> Pengine, na huenda JPM aliyaona mapema haya kiasi cha
kupata
> ujasiri wa kuhoji kwenye mkutano wake na wahariri wa
vyombo
> vya habari nchini hivi karibuni akisema, "Je,
mliwahi
> kunisikia wakati wa kampeni zangu nikitaja lolote juu
ya
> Katiba?".
>
>
>
> Maadam wababe wa ufisadi bado wana ushawishi mkubwa wa
> kilaghai juu ya mkondo wa Katiba nchini kwa
kushirikiana na
> vigogo wengi ambao bado wapo ndani ya mfumo wa
serikali,
> mwendelezo wowote wa "Katiba Inayopendekezwa"
hauna
> maana tena kwa sababu utaipeleka
>  nchi pabaya kwa matakwa ya wababe hao.
>
>
>
> Acha muda upite kwa jambo hili, hadi umma
utakapofunguka
> macho kuona uchafu uliokuwa ukilishwa ili kuchangamkia
> mchezo huo wa kifo. Na maadam sehemu kubwa ya Katiba
iliyopo
> ina mengi mazuri ila kwa sababu tu ilibezwa kwa maslahi
ya
> kitabaka; JPM hana sababu
>  ya kukosa usingizi juu ya "mwongozo" wa
kufanyia kazi
> ila kwa kuzingatia na kuheshimu mema yaliyomo.
>
>
>
> Wananchi (mimi nikiwa mmoja wao) baada ya kuona kuwa
maovu
> ya kijamii yanavuma na kunyamaziwa wakati Katiba
iliyopo
> ikivunjwa bila hofu kwa wavunjaji kuwajibishwa,
walifikia
> kutamani kuwa na kiongozi "kichaa" kidogo, dikteta
mwema
> (benevolent dictator) ainyooshe
>  kwanza nchi japo kwa awamu moja tu kwa
kuwashikisha adabu
> wote wenye kuchezea demokrasia, uhuru na haki za raia,
hata
> kama ni kwa "kuweka pembeni" kidogo baadhi ya
vifungu
> vya Katiba nzuri iliyopo.
>
>
>
> Tangu mwanzo, serikali haikuwa na nia njema na suala
la
> Katiba mpya ila kuziba ombwe la uongozi kwa njia hiyo
> kufuatia kutamalaki kwa ufisadi, rushwa na demokrasia
duni
> na hivyo kuelekea kuipa nguvu kambi ya upinzani dhidi
ya
> serikali iliyokwenda likizo kuchapa
>  usingizi.
>
>
>
> Ni wazi pasingekuwa na hoja ya upinzani juu ya maovu
haya
> kama uongozi ungetekeleza wajibu wake vyema kwa
kuongozwa na
> Katiba iliyopo, na hivyo pia pasingezuka hoja ya
Katiba
> mpya.
>
>
>
> Ndiyo maana, baada ya Serikali ya Awamu ya Tano
kuingia
> madarakani na kujitoa mhanga kupambana na maovu haya,
kambi
> ya upinzani imeishiwa hoja na madai ya Katiba mpya
kukosa
> mantiki. Hebu angalia mifano hii kuona ilivyokuwa.
>
>
>
> Ukiona serikali madarakani inaatamia kwa mbawa zake
maovu
> yenye kuhujumu nchi, kupora au kuibia serikali mapato
na
> kuwakingia kifua wafanyabiashara wahujumu wa uchumi,
> wakishirikiana na wanasiasa ili wasiguswe; hapo elewa
> kwamba, serikali hiyo imejiweka rehani
>  kwa wenye fedha, mafisadi na maharamia wa uchumi
wa
> nchi.
>
>
>
> Ukiona kuibuka kwa tabaka la wafanyabiashara
kuchangamkia
> nafasi za uongozi wa chama na serikali kwa udi na
uvumba na
> kwa kupenyeza nguvu ya fedha kupata uongozi, fahamu
kwamba
> demokrasia, utawala bora na utawala wa sheria unayoyoma
na
> kukaribisha utajiri (fedha)
>  kununua madaraka na uongozi, na uongozi kuwa
sehemu ya
> kundi la kimafia la kupora utajiri wa nchi, hata kama
nchi
> itakuwa na katiba bora kupita zote duniani.
>
>
>
> Chini ya awamu hii, yaonesha kama vile JPM anawaambia
> viongozi wa aina hii, wauze kwanza vyote walivyo navyo
na
> kisha wamfuate katika kuutafuta ufalme wa kisiasa, kwa
maana
> hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa pamoja, yaani
watu na
> mali.
>
>
>
> Nakwambia, subiri uchaguzi mkuu ujao (2020) uone; zaidi
ya
> nusu kati yao hawatachukua fomu, maana walizoea vya
kunyonga
> na sasa vya kuchinja hawaviwezi. Hapo, iko wapi hoja
ya
> Katiba mpya?.
>
>
>
> Ukiona uchumi wa nchi unahama mikononi mwa wananchi
kwenda
> mikononi mwa wajanja wachache; rasilimali za taifa
kuporwa
> na "wawekezaji" wa kigeni bila hofu kwa
kushirikiana na
> mawakala wao wa ndani; elewa kwamba nchi iko hatarini
> kugeuzwa "shamba la bibi", kwa
>  kila mtu kurarua na kupora kadri ya ukali wa meno
yake.
>
>
>
> Ukiona viongozi wa kitaifa wakiutangazia umma kwa
ulaghai
> kwamba uchumi wa taifa unapaa wakati wananchi wakizidi
> kufukarika kuliko mwanzo, na eti kwamba wasiokubaliana
na
> uongo huo ni "wavivu wa kufikiri" au wapinzani wa
chama
> na serikali; fahamu kwamba hizo
>  ni dalili za serikali kujiweka mbali na wananchi
wake na
> kuwa "mwenye shibe (viongozi) hamjui mwenye njaa".
>
>
>
> Ukiona serikali inapuuza maoni ya wananchi na
kusikiliza ya
> wenye pesa na wenye madaraka; elewa kwamba serikali
hiyo
> imelewa madaraka; itanyanyasa vyombo vya habari na
> wanahabari kwa changamoto zao za "kuuamsha umma".
>
>
>
> Lakini ilivyo leo, mambo yanaonekana kugeuka, kwamba
> kiongozi wa awamu ya tano (JPM), anaonekana kuongozwa
na
> kauli mbiu na hekima ya Rais, mwanademokrasia wa zamani
wa
> Marekani, Abraham Lincoln, kwamba "Kwa kuungwa mkono
na
> umma (si na mafisadi na majambazi
>  ya kisiasa) naweza kufanya jambo lolote; lakini
bila hivyo
> na mbele ya upinzani wa umma, siwezi kufanya
lolote".
>
>
>
> Kauli mbiu hii inakidhi ule msemo wa Kilatini "Vox
Populi,
> Vox Dei", yaani, "Sauti ya Wengi ni Sauti ya
Mungu".
> Pengine ni kwa sababu hii, kwamba JPM mara nyingi
hachoki
> kuwaomba wananchi wamwombee kwa Mungu amlinde katika
> harakati hizi. Kwa nini?.
>
>
>
> Hapa tena, Shabaan Robert anaonekana kumpa sala JPM
kwa
> shairi "NILINDE", linapokuja suala la kutetea na
kulinda
> maslahi ya taifa katikati ya ufisadi uliotamalaki.
Kwenye
> shairi hilo, Shaaban Robert anasema:
>
>
>
> "Ni
> weledi wa kusema, watu wa leo
>
>
>
> Na
> elimu na hekima, si haba kwao
>
>
>
> Bali
> hawana huruma, katika moyo
>
>
>
> Na
> fahari (kwa taifa) na heshima
>
>
>
> ni
> chache kwao tamthili ya wanyama,
>
>
>
>
> mfano
> wao kisha waweza kuuma, sumu wanayo
>
>
>
> E
> Mungu mwenye uzima, nilinde nao".
>
>
>
> Na tumuombee sote kwa Mungu afanikishe vita hii bila
hoja ya
> Katiba mpya.
>
>
>
> Raia mwema
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to
>  abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>     
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>     
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment