naona vyote vinafanyika na kila kinachofanyika kinaishia kufanya kampeni. Ni juhudi za kulipatia viongozi wazuri na kuwafanya watakaopata nafasi ya kuongoza wajue wananchi wanataka nini.
--------------------------------------------
On Sun, 9/27/15, jones konga <lufj.24@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mbatia na Ukawa uzushi na uongo dhidi ya rais Kikwete haviwezi kumpeleka ikulu Lowassa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, September 27, 2015, 10:51 PM
Mbona huu wakati
mnajisahau sana mnafanya kampeni kwenye hii forum na
mnasahau kuchambua masuala mazito,,,
On 9/27/15, 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
> Wewe na nani
>
--------------------------------------------
> On Sun, 9/27/15, 'jozackys' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Mbatia na Ukawa
uzushi na uongo dhidi ya rais
> Kikwete
haviwezi kumpeleka ikulu Lowassa
> To:
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Sunday, September 27, 2015, 8:27
PM
>
> Elisa
tumekuchoka
>
> 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Pamoja na kuwa nafikiri kuwa Rais
Kikwete angeweza
> kupunguza safari
zake lakini ukweli ni kuwa Mbatia
>
ameonyeshqa sura yake asili ambayo ni kinyume na
tulivyokuwa
> tunamuona. Tulimuona kama
kiongozi anayetanguliza uzalendo
>
kuliko itikadi. Baada ya kuona UKAWA inayumba ameamua
> kutumia kila kitu ikiwa ni pamoja na
heshima yake. Kwa kweli
> Mbatia ana
kazi kubwa sana kujiosha na huenda ikamgarimu
> muda kurudia pale tulipomdhania.
> >
>
>--------------------------------------------
> >On Sun, 9/27/15, fadhil fadhil
<fadhil.fadhil96@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Subject: [wanabidii] Mbatia na
Ukawa uzushi na uongo
> dhidi ya rais
Kikwete haviwezi kumpeleka ikulu Lowassa
> > To: "'Hildegarda
Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Sunday, September 27, 2015,
5:43 PM
> >
>
> By
> > mkulimawakiteto
> >
>
> >
>
> >
>
> > Kadri siku za kufanya uchaguzi
mkuu
> > unavyokaribia ndivyo
tunavyowajua wanasiasa wetu na
>
kuwato
> > maana kwa
> > kuwa wamekuwa wakionyesha uhalisia
wao kwa kushindwa
> kuficha
> > asilia na
>
> hulka zao kwa jinsi walivyo akiwemo Mwenyekiti wa
Nccr
> > Mageuzi Jemsi Mbatia.
> >
> >
> >
> > Mbatia
amekuwa mzushi na
> > Muongo
katika
> > harakati zake na Ukawa
ili kuwaghiribu watanzania
> >
wafanikishe kumpeleka
> > ikulu
Edward Lowassa kwa njia yeyote ile hata kama ni
> kwa
> > kusema
uongo
> > ili mradi tu mgombea wao
ashinde uchaguzi mkuu bila
> >
kuangalia athari za
> > maneno yao
ya uongo wanayojaribu kuyapandikiza vichwani
> mwa
> >
watanzania.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Nilikuwa namchukulia Mbatia kama
> > mwanasiasa mkweli na Mweledi na
makini lakini nimekuja
> kujua
> > kuwa hayupo
>
> hivyo kama tulivyokuwa tukidhani watanzania
> wengi, Mbatia amekuwa kama wanasiasa
> > wengine wachumia tumbo ambao
wamekuwa wakipoteza
> heshima zao
> > kila kukicha.
> >
> >
> >
>
> Akizungumza hivi karibuni na waandishi
> wa habari Jemsi
>
> Mbatia
> > alidai kuwa ktika
kipindi cha miaka 10 chenye
> wastani
wa
> > siku 3,650
> > Rais Kikwete amesafiri mara 409 na
alikuwa akikaa nje
> ya
> > Tanzania kwa
>
> wastani wa siku tano katika kila safari hivyo jumla
> yake
> > kuwa
2,045.
> >
>
>
> >
>
> Mbatia akijumuisha
> >
salafri hizo za rais Kikwete alisema jumla ya asilimia
> 56 ya
> > muda
wake aliokaa madarakani hadi kufikia sasa, Mbatia
> > alifika mabali zaidi kwa kusema
uongo kwa
> kusema hgarama
> > ambazo taifa
>
> imezibeba kutokna na safari hizo kwa mujibu wa
safari
> hizo
>
> ni trilioni
> > 4.5.
> >
> >
> >
>
> Serikali iliingilia kati uzushi huo na
> Mbatia
> > na
kueleza uhalisia wake. Wizara ya mambo ya nje
> na
> >
ushirikino wa
> > kimataifa ilitoa
ufafanuzi kuwa tangu rais Jakaya
>
Kikwete
> > aiingia
> > madarakani mwaka 2005, kiasi
kikubwa kabisa cha bajeti
> > kuwahi
kutengwa
> > kwa viongozi wakuu
rais, makamu wa rais na waziri mkuu
>
ni
> > shilingi
> > bilioni 50 ambazo zilitengwa kwa
mwaka 2014/2015. Kwa
> ajili
> > ya idara ya
>
> itifaki.
> >
> >
> >
> > Kwa miaka mingine yote imekuwa
wastani
> kati ya bilioni 5
> > mpaka 25
>
> kulingana na mahitaji ya idara husika ilisema
taarifa
> hiyo
>
> ya wizara ya
> > mamabo ya
nje.
> >
>
>
> >
>
> Hebu Tuangalie baadhi ya mafanikio ya
> safari za rais
>
> kikwete tangu
> > aingie
madarakani, Inawezekana kuwa rais Kikwete ndiye
> kuwa
> >
ndiye
> > anayeongoza mara kwa mara
kwa safari za kwenda Marekani
>
> > kuliko tawala
> > zote tatu zilizopita.
> >
> >
> >
> > Katika
ziara hizo za Marekani za rais Kikwete, wakati
> wa
> > utawala
wa
> > George Bush ulisaidia misaada
ya kupambana na maralia
> dawa
> > na chanjo na
>
> vyandarua.
> >
> >
> >
> > Halikadhalika tulipatiwa
msaada wa
> dola za kimarekani
> > million 700
>
> kupitia mfuko wa milleniam challenge (MCC) fedha
> ambazo
> >
zimesaidia
> > ujenzi wa barabara
za Mtwara-Masasi-Tunduru
> Songea
hadi
> > Mbamba Bay na
> > ile ya Rukwa hadi Sumbawanga.
> >
> >
> >
> > Pia
rais alifanya ziara katika nchi za Brazil na India
>
> > ambapo
katika
> > ziara yake ya nchini
India ilizaa mradi mkubwa wa
>
kuboresha
> > miundombinu
> > ya maji ndani jiji la Dar es Salaam
pamoja na ujenzi
> wa
> > chanzo kipya cha
> > maji cha katika mto Ruvu,
Bagamoyo.
> >
>
>
> >
>
> Ziara za rais Kikwete nchini nBrazil
> ndizo zilizoiwezesha
> > Tanzania
>
> Kupata wataalam wa mahiri katika utafiti wa gesi
> na miradi
> >
iliyozaa
> > ujenzi wa visima vya
gesi katikika mkoa ya
> Mtwara
> > uliopeleka umeme wa
> > uhakika kwa wana Mtwara.
> >
> >
> >
>
> Safari za rais Kikwete nchini Korea
> zilileta matunda ya
> > ujenzi wa mto
> > Magarasi ambapo ujenzi wa mto huo
umeufungua mkoa
> wa kigoma
> > ambao
> >
ulikuwa nyuma kimaendeleleo. Kigoma imefunguka kwa
> shughuli
> >
zote za
> > kiuchumi ikiwemo utalii
ambazo zitaboresha maisha ya
> wana
> > Kigoma.
>
>
> >
>
>
> >
>
>
> > Hali kadhalika Ziara za
rais Kikwete nchini China
>
ilipelekea
> > kuzaa
> > ziara kubwa ya rais Xi Jinping wa
china ambayo ilikuwa
> ziara
> > yake ya
> >
kwanza barani Afrika. Katika ziara ya Xi wa
> china
> >
tulishuhudia Tanzania
> > ikiingia
mikataba mikubwa 17 ya miradi
>
mbalimbali ya
> > kimendeleo
> > isiyokuwa na hata chembe ya
masharti wala hasara
> kwa
> > Taifa.
>
>
> >
>
>
> > Baadhi ya mikataba hiyo ni
pamoja na ujenzi wa bandari
> ya
> > bagamoyo
>
> itakayokuwa bandari kubwa kuliko zote ukanda wa
> jangwa la
> >
Sahara la
> > Afrika. Ujenzi wa
viwanda vya aina mbali mbali ambapo
>
ujenzi
> > wote huo
> > utaongeza ajira nchini.
> >
> >
> >
>
> Pia kulisainiwa mkataba wa ushirikiano
> wa kitaaluma
> >
utakaowawezesha
> > maelfu ya
watanzania kupata ufadhili wa kusoma fani
> > mbalimbali katika
> > vyuo vikuu nchini China kwa kufanya
hivyo adui ujinga
> > tutazidi
> > kumthibiti.
>
>
> >
>
>
> > Rais Kikwete amefanya
juhudi kubwa za
> kutangaza vivutio
> > vya Utalii
>
> Nchini akiwa nje katika zira zake ambazop zimewasidi
> > kuongeza idadi ya
> > watalii na safari za, Mashirika ya
Ndege ya Qatar
> Airways,
> > Fly Dubai na
>
> Turkish Airlines kuongeza idadi ya safari zao nchini
> > Tanzania. Juhudi
> > hizo zimesaidia kuwashawishi
watalii wengi zaidi
> kuitembelea
> > Tanzania.
>
>
> >
>
>
> > Idadiya watalii wa nje
imeongezeka
> kutoka 1,095,884 mwaka
> > 2013 hadi
>
> watalii 1,102,026 mwaka 2014/2015. Mapato
> yatokanayo na
>
> utalii
> > yaliongezeka kutoka
Dola za Marekani milioni 1,853
>
mwaka
> > 2013 hadi Dola
> > za Marekani 1,983 mwaka 2014, sawa
na ongezeko la
> asilimia
> > saba (7).
>
> Yote hayo kutokana na zira za rais Kikwete Nje ya
> Tanzania.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Mbatia anapaswa
> > anapoeleza hasara za
> > Safari na gharama zake pia awe
anaeleza faida ya safari
> hizo
> > lakini
> >
asipofanya hivyo atakuwa sawa na wanasiasa wengine
> wachumia
> >
tumbo ambao
> > huwapotea haraka
katika tasnia nzima ya siasa hapa
>
nchini.
> >
>
>
> >
>
> Pia namalizi kwa kusema Tunajua kuwa
> hiki ni kipindi cha
> > uchaguzi ni vizuri Mbatia
> > na wenzake wakatangaza ilani yao
kuwa nini
> Watawafanyia
> > Watanzania
>
> badala ya kueneza uongo ambao huwa haudumu hata siku
> moja
> > kwa
kuwa
> > hautachuwa muda mrefu
kugundulika na muenezaji wa uongo
>
huo
> > kuishia
> > kudharauliwa.
> >
> >
> >
> >
Namuhusia Mbatia badala
> > ya
kutumia muda
> > mwingi kuzua mambo
ya uongo ni bora akatumia muda huo
>
> kueleza na kunadi
> > sera na
ilani ya ukawa na kumsafisha mgombea wo Edward
> > Lowassa na kashfa
> > mbalimbali za kifisadi
zinazomundama.
> >
> > 0789976314
>
>
> >
>
>
> >
> >
--
> >
> >
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
> kudhibitisha ukishatuma
> >
> >
> >
> > Disclaimer:
>
>
> > Everyone posting to this
Forum bears the sole
>
responsibility
> > for any legal
consequences of his or her postings, and
> hence
> >
statements and facts must be presented responsibly.
> Your
> >
continued membership signifies that you agree to this
> > disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
> Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You
received this message because you are subscribed to
> the
> > Google
Groups "Wanabidii" group.
>
>
> > To unsubscribe from this
group and stop receiving
> emails
> > from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For
more options, visit
>
https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> >--
> >Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
>
>Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal
consequences of his or her
> postings,
and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership
signifies that you
> agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
>
>---
> >You received this message
because you are subscribed to
> the
Google Groups "Wanabidii" group.
> >To unsubscribe from this group and
stop receiving emails
> from it, send
an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma
Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>
>
Disclaimer:
> Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility
>
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be
presented responsibly. Your
> continued
membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our
Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you
are subscribed to the
> Google Groups
"Wanabidii" group.
> To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
>
ukishatuma
>
>
Disclaimer:
> Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and
hence statements and facts must be
>
presented responsibly. Your continued membership signifies
that you agree to
> this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this
message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send an
> email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment