Tuesday, 29 September 2015

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TOKA KWENYE MAHOJIANO KATI YA MAMA NKYA NA RAIA TANZANIA - APRIL 3, 2015

Nkya;
Thibitisha kama haya sio sehemu ya maandishi yako.
Ukiambiwa watu wanakufahamu,sio wewe yule wamjuaye unakana hawakujui.
 
Reuben

On Tuesday, September 29, 2015 2:11 PM, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Mama nkya mchumia tumbo
On Sep 29, 2015 2:09 PM, "Ireneus Kakuru Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Kaka Kitila,

Ninaamini kwenye uwazi zaidi kuliko unafiki ninaouona. 

Kutoka katika barua ya Mama Nkya kwa Rais Kikwete ya tarehe 25 Septemba 2013 akimtaka JK kuhakikisha anawezesha kupatikana kwa katiba mpya kabla ya kumaliza muhula wake aliandika (baadhi) yafuatayo:

Rais wangu Kikwete, awali ya yote niweke bayana kwako kwamba mimi Ananilea Nkya, sina chama chochote cha siasa ninachofungamana nacho na wala sina mpango wowote wa kuwa mwanasiasa ama kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa kisiasa

Rais wangu, ujumbe wangu ni mfupi tu, kwamba tulipofika sasa kama nchi, hakuna Rais awe kupitia Chadema, CCM, NCCR-Mageuzi au chama kingine chochote atakayeweza kuivusha nchi hii 2015 kwa hali tuliyofikia sasa.

Mwanasiasa pekee mwenye UWEZO na MAMLAKA ya kuivusha nchi hii tuweze kubaki  salama kama taifa moja la watu wanaopendana kwa dhati ni wewe peke yako.

Binafsi, Rais wangu Kikwete, ninakuamini na kukuthamini sana maana ninakujua tangu zama ukishiriki nasi harakati za ukombozi wa wanawake kimapinduzi pale kwenye matamasha ya jinsia ambayo yalikuwa yanaandaliwa kwa pamoja kati ya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)….. Nakujua uhalisia wako unapoamua kusimamia jambo, linatoka….

Huu ni ukinyonga... hatendi kama anavyoongea, amekuwa mtu wa kupima upepo tu na ku-toss dice, ni aibu kwa msomi kutokuwa na msimamo halafu unabadilika badilika kila wakati...ukiamua kusimama simama kisawasawa sio kupindapinda.. hii sio sifa ya mtu wa kariba yake.

Omukunirwa Ireneus 

2015-09-29 9:36 GMT+03:00 Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>:
Kakuru: wewe ni mkorofi au mchokozi au mchochezi, hujui sisi tunataka mabadiliko? Acha bana usitukwamishe, hayo ya kununuliwa tutashughulikia tukishachukua nchi!! :) 

2015-09-29 9:01 GMT+03:00 'salhabakari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kwa kuwa wewe ni mwanamme, na usiyeona haja ya naendeleo ya wana wake na watoto wa kike, huwezi kuujua mchango wa Ananilea Nkya kwa watanzania.
Huijui hata ile ya "SIDANGANYIKI" ? Duh! Unatishaaaa wee Kaka!
SB
On Sep 29, 2015 8:37 AM, "'mnzava2@yahoo.com' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kila nikijaribu kutafakari na kutafuta mchango halisia wa Huyu mama ktk maisha ya wayanzania naona mawingu tuu . . . .aidha macho yangu yana dosari, au utambuzi wangu umefikia kikomo . . . . nao.ba yeyote anipatie taatifa ya jambo angalau Moja aliliwahi kuwatendea watanzania (. . . . inabidi liwe la vitendo) kwani hayo ya kauli nyingi na maazimio yamekuwa ni mengi sana yoka kwetu watanzania

Sent from my LG Mobile

Original message

------ Original message------
From: 'Finnigan wa Simbeye' via Wanabidii
Date: Mon, 28 Sep 2015 4:06 PM
Cc: wanabidii@googlegroups com;
Subject:[wanabidii] Re: [Mabadiliko] TOKA KWENYE MAHOJIANO KATI YA MAMA NKYA NA RAIA TANZANIA - APRIL 3, 2015

Dello,

Majibu mepesi kwa maswali magumu!!!

wa Simbeye

From: Abdul Dello <abduldello@gmail.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, September 28, 2015 3:44 PM
Subject: Re: [Mabadiliko] TOKA KWENYE MAHOJIANO KATI YA MAMA NKYA NA RAIA TANZANIA - APRIL 3, 2015

Hii Raia Tanzania ni moja ya zile habari za 'waandishi wa habari"..................

2015-09-28 13:40 GMT+03:00 Ireneus Kakur
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment