Elisa,
Umeona mafuriko ya Tanga jana? Endelea kujidanganya. Watanzania wamechoshwa na CCM na hilo peke yake linatosha kuleta ushindi kwa UKAWA
em
2015-09-28 18:24 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Anakudanganya. Usijisumbue Lowasa hatashinda
--------------------------------------------
On Mon, 9/28/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya tembo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, September 28, 2015, 5:31 PM
Rudi nyumbani
umuongezee kura lowassa maana huko hupati fursa ya kupiga
kura
On Sep 28, 2015 5:28 PM,
"Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Amour,Ndio maana tupo hapa. Kueleweshana na
kufundishana.em
2015-09-28 10:19 GMT-04:00
amour chamani <abachamani@gmail.com>:
Inawezekana
Siko vizuri hapo
Walewale
On Sep 28, 2015 5:14
PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Amour,Walikamatwa dagaa tu
waliosindikiza.Yule gwiji Mpakistani alitoroka baada ya
kupewa dhamana.Mpaka sasa hatujaambiwa ndege ya
jeshi la nchi ya Kiarabu lilipewa idhini na nani kuingia
nchini kubeba mzigo wakati jeshi letu halina
habari.Bado
haitoshi.em
2015-09-28 10:12 GMT-04:00
amour chamani <abachamani@gmail.com>:
Tulishambiwa na
wahusika wakaadhibiwa nadhani
Inawezekana labda hiyo haitoshi.
Walewale
On Sep 28, 2015 5:09
PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Pia tuambiwe vipi twiga walipandishwa kwenye ndege
ya jeshi la nchi ya Kiarabu.em
2015-09-28 7:39 GMT-04:00
'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya tembo

IMEANDIKWA NA NAKAJUMO JAMES, HAI.
IMECHAPISHWA: 28 SEPTEMBA 2015
MAVUMBUO: 50
GAZETI LA HABARI LEO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Hai kimemtaka Waziri Mkuu
mstaafu,
Frederick Sumaye kujibu tuhuma zilizokuwa zikimkabili kuhusu
gari
alilokuwa akitumia kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya
Sh milioni
100 mwaka jana.
Katika tukio hilo lililojiri Machi 26, 2014 pembe hizo
zilikutwa zikiwa
zimebebwa na gari lenye namba za usajili STK 8394 lililokuwa
likitumiwa
na Sumaye. Gari hilo lilikamatwa eneo la Ulanga mkoani
Morogoro ambapo
katika majibu yake (Sumaye) alidai ni mchezo mchafu
uliofanywa na
mafisadi kuzuia ndoto zake za kugombea urais.
Mwenyekiti wa CCM wilayani Hai, Amini Uronu alisema hayo
jana mjini hapa
wakati akijibu baadhi ya madai yaliyotolewa na Sumaye
ambaye kwa sasa
amejitoa ndani ya CCM na kuungana na vyama vinavyounda Umoja
wa Katiba
ya Wananchi (Ukawa).
Katika madai ya Sumaye kwa wananchi katika viwanja vya Half
London
wilayani Hai, alitaka CCM iwaeleze Watanzania kuwa nani
anafanya
biashara ya pembe za ndovu.
"Viongozi wa Ukawa juzi, walifanya mikutano wilayani Hai
na kufanya
upotoshaji wa masuala mbalimbali, moja ya mambo Sumaye
alihoji juu ya
biashara ya pembe za ndovu…
Sasa sisi tunataka ajibu tuhuma baada ya gari lake kukutwa
na pembe
hizo, asiwahadae wananchi amtaje mmiliki wake," alisema
Uronu.
Uronu alidai pia katika madai yake kwa wakati huo, Sumaye
alimtaja
Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward
Lowassa ambaye
sasa ni mgombea wa urais kupitia Chadema, kuwa ni miongoni
mwa
waliofanya njama hizo.
"Pia Sumaye katika kauli zake alidai kuwa iwapo CCM
ingemteua Lowassa
kuwa mgombea urais kupitia chama hicho yeye angejitoa, leo
anakuja
kuwahadaa wananchi wakati sasa ndiyo anamnadi kuwa ni mtu
mwadilifu na
mchapakazi," alisema
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment