Nkya, wewe ulitakaje kwanza?
On Sep 23, 2015 5:28 PM, "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- --Mama Nkya;Sifa moja ya msingi na kubwa katika hayo uliyoandika binafsi nimeona ni UADILIFU.Hapo sasa ndio kuna ngarambe kwa huyo wenu ambaye siku mbili hizi mumemuona amekuwa Malaika.Penye UADILIFU ndipo tunaweza kupata dhamira ya dhati ya kutuondolea umaskini.Pasipo na UADILIFU patakuwa na UBINAFSI na kujilimbikizia mali (UFISADI) na hata kuwa na jeuri ya kukinunua chama.ReubenOn Wednesday, September 23, 2015 6:11 AM, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Pengine ndiyo sababu mkuu wa nchi wa sasa alimuita mgombea Urais wa chama chake tingatinga bila kujuwa kuwa neno tingatinga siyo neno la sifa mzuri kwa mtu anayeomba ridhaa ya kuongoza nchi. Misuli kakamavu ni sifa kwa watu wanaoomba kazi za kubeba mizigo bandarini.
Mtu anayetafuta kuchaguliwa kuongoza nchi yetu Tanzania miaka mitano ijayo, sifa anazotakiwa kuwa nazo ni pamoja na busara, hekima,uadilifu, dhamira ya dhati ya kuwaondolea wananchi umaskini na masikio ya mwilini na rohoni ya kusilikiza wananchi ambao ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi yetu. Misingi hiyo pamoja na mambo mengine itawezesha nchi kuwa na serikali makini na adilifu, mahakama huru na Bunge lenye meno ambalo litaisimamia serikali ili viongozi wake wanaofanya kazi kwa bidii, umakini, uadilifu na ubunifu kukamilisha kazi za umma kwa wakati zikiwa na viwango vya juu na kwa gharama nafuu. Rais mwenye sifa hizi anakuwa ni kiongozi ambaye wananchi wengi watakuwa wamemshiba rohoni maana serikali yake itakuwa imetambua kuwa wananchi ndio wenye mamlaka tofauti na sasa watawala wachache ndio wanaonekana wana hati miliki ya nchi yetu Tanzania.
Hata hivyo mgombea anayeomba uongozi wa nchi kwa tiketi ya chama kilichokataa Rasimu ya Katiba Mpya iliyotokana na maoni ya wananchi hataweza kuweka misingi hiyo muhimu kwa sababu tayari chama chake kimezika Rasimu ya Katiba ya wananchi. Mungu ibariki Tanzania
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 9/23/15, Faiza Hassan <wasitara@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli na push up kama Obama na Putin
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, September 23, 2015, 6:28 AM
Lokomoi damu
CCM
On Sep 23, 2015 8:17 AM,
"'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Inapendeza Lokomoi!! Super!!
--------------------------------------------
On Wed, 23/9/15, 'lang'itomoni lokomoi' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] Magufuli na push up kama Obama na
Putin
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 23 September, 2015, 7:42
Huyu sijui
nani anayesaidiwa kupanda Jukwaani?
Huyu ni
John Magufuli akipiga push
up
Huyu ni Barack Obama akipiga
push ups
Huyu ni
Vladimir Putin akipiga push
ups
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment