Monday, 28 September 2015

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] TOKA KWENYE MAHOJIANO KATI YA MAMA NKYA NA RAIA TANZANIA - APRIL 3, 2015

Kakuru
huyu Mama Nkya atakuja na maelezo mareeefu yasiyojibu maswali yako..... anadhani sisi tu mbumbumbu mzungu wa reli.  anasahau kuwa maandishi hayafi.. yatamrudi.

On Sep 28, 2015 4:06 PM, "'Finnigan wa Simbeye' via Mabadiliko Forum" <mabadilikotanzania@googlegroups.com> wrote:
Dello,

Majibu mepesi kwa maswali magumu!!!

wa Simbeye

From: Abdul Dello <abduldello@gmail.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, September 28, 2015 3:44 PM
Subject: Re: [Mabadiliko] TOKA KWENYE MAHOJIANO KATI YA MAMA NKYA NA RAIA TANZANIA - APRIL 3, 2015

Hii Raia Tanzania ni moja ya zile habari za 'waandishi wa habari"..................

2015-09-28 13:40 GMT+03:00 Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>:
Hii ni kutoka kwenye mahojiano kati ya Deus Bugaywa, Mwandishi wa habari mkongwe, na mwanaharakati, Mama Ananilea Nkya kama yalivyochapishwa kwenye gazeti la Raia Tanzania, makala ya tarehe 3, April, 2015.

Nimechukua swali moja tu la mwisho na majibu yake kama lilivyo kutoka makala iliyopewa jina "Wapiga kura kama fungu dogo la dagaa"

....huenda uchaguzi  wa Oktoba mwaka huu  ukatoa fursa pana zaidi  kwa wafanya biashara ya madawa ya kulevya,  majangili na wakwapuaji wa mali ya umma kununua uongozi...

Raia Tanzania; Unazungumziaje nafasi ya upinzani katika uchaguzi ujao, ukizingitia kujiunga kwa Zitto na ACT? 
Ananilea: Itategemea tuendako  nguvu  ya fedha itafanikiwa kumnunua nani  na  itashindwa kumnunua nani katika vyama vya upinzani maana ninaamini  siyo kila anayeingia kwenye siasa  anafanya hivyo kwa sababu ana uchungu na maisha ya Watanzania walio wengi.  Ninaamini kuwa wako baadhi  wameingia  au kuingizwa kwenye siasa ili nchi yetu iendelee kuwa na siasa  ambazo  kikundi  cha wachache  kitanufaika kwa kukamata dola hata kama  kwa kufanya hivyo  wananchi wengi wataendelea kuteseka kwa ufukara  kipindi kirefu kijacho. Hivyo sisi wananchi tunasubiri tuone,  hatua hiyo  ni mpango  wa  kudhoofisha  upinzani ili bunge lijalo liwe dhaifu zaidi  au ni mpango wa kuharakisha ukombozi wa wengi   kwa  kuimarisha  sauti ya wananchi katika  vyombo vya maamuzi baada ya uchaguzi ujao.
Swali langu: Kwa kauli hii (nimeikariri hapo kwenye jibu lako):
..Itategemea tuendako  nguvu  ya fedha itafanikiwa kumnunua nani  na  itashindwa kumnunua nani katika vyama vya upinzani maana ninaamini  siyo kila anayeingia kwenye siasa  anafanya hivyo kwa sababu ana uchungu na maisha ya Watanzania walio wengi.  Ninaamini kuwa wako baadhi  wameingia  au kuingizwa kwenye siasa ili nchi yetu iendelee kuwa na siasa  ambazo  kikundi  cha wachache  kitanufaika kwa kukamata dola hata kama  kwa kufanya hivyo  wananchi wengi wataendelea kuteseka kwa ufukara  kipindi kirefu kijacho...
1. Jibu hili lilimaanisha nini ukizingatia uliulizwa kuhusu ujio wa Zitto ACT?
2. Bado kauli hii iko valid? Kama ungeulizwa hili swali leo ungetoa jibu hili hili au au una majibu tofauti, hasa kwenye suala la nguvu ya fedha kuununua upinzani?
3.Ulimaanisha nini kuhusu watu baadhi kuingizwa au kuingia kwenye siasa ili kujenga kikundi cha watu fulani kukamata dola, ukizingtia tumeona hadi viongozi wa kiroho wakiingia kwa kasi kwenye siasa za nchi hivi karibuni?
4. Unaweza kufafanunua ulimaanisha nini kuhusu kujiunga kwa Zitto ACT kuwa "hatua hiyo  ni mpango  wa  kudhoofisha  upinzani ili bunge lijalo liwe dhaifu zaidi  au ni mpango wa kuharakisha ukombozi wa wengi   kwa  kuimarisha  sauti ya wananchi katika  vyombo vya maamuzi baada ya uchaguzi ujao" (JIBU HILI NI TATA,-umekubali, umekataa au uko neutral?)

Ni hayo tu.

Omukunirwa Ireneus.

Makala hii iko online kwenye anwani hii: 
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAN5khk558FczebAv0MaZZxqv5-%3Dho6D-mU3S1AHPZZFTsaU2iQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAGFQo2Rc9_u4f%2B%3D3mwJQAZP2LBPcJsj3PkW2UL5nOwX4vdovRw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/97023221.1852918.1443445598049.JavaMail.yahoo%40mail.yahoo.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment