Wanabidii wenzangu
Ninarudia tena kuuliza. Je hapa Tanzania kwa mazingira tuliyo nayo ya kifisadi kuna mtu msafi? Je kuna dhambi kubwa na ndogo? Kwa kipimo kipi? Tuwe werevu na tuache kujadili watu tujadili issues, mfumo, katiba, haki sheria, uongozi mwema, ndoto ya mtanzania wa kawaida, na mengine mengi kama tatizo la umaskini.
Tufanye nini tufanye mabadiliko ya mfumo huu wa kifisadi, uporaji na unyonyaji ambao tumerithi kwa wakoloni na tukauendeleza kwa sababu ya ubinafsi wetu badala ya kujali maslahi ya Watanzania kwa ujumla?
Penda tusipende mabadiliko ni lazima na hakuna kilicho na mwanzo kisichokuwa na mwisho na hakuna wa kuzuia mabadiliko haya. Tunachoweza kufanya ni kuyachelewesha lakini tukiyachelewesha yatatugharimu zaidi. Mabadiliko yanapofanyika mapema ni bora zaidi kwani gharama inakuwa ndogo kama tutasubiri mpaka nchi ifike mahali ambapo itakuwa imechemka kiasi cha kuleta mabadiliko kili mtu anaunguzwa na maji ya moto ya mabadiliko badala ya kuponea na maji baridi ya mabadiliko.
Swali la kujiuliza kwa makini tufanye nini tushirikiane wote wale walioko CCM na upinzani walete mabadiliko yenye tija kwani wananchi wamechoka na wanataka mabadiliko?
Ni wakati muafaka wa kuwa na kongamano hilo kabla ya kufanya uchaguzi ili kujenga Watanzania kisaikologia na mabadiliko na mapinduzi yaliyo mbele yetu ili tusiwe na vurugu, fujo na kuuharibu uchumi huu tulioujenga kwa shida sana japokuwa unapendelea waliokuwa nacho na kuwaumiza walala hoi.
Tafakari chukua hatua
Herment A. Mrema
Date: Mon, 28 Sep 2015 13:43:05 -0400
Subject: Re: [wanabidii] Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya tembo
From: emuganda@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Ludo,
Ufisadi ni ule ule. Kama mmoja alifanya ufisadi wa kijangili mwengine alifanya ufisadi wa kugawa maliasili zetu bila kufuata kanuni.
Tuanze na Mwinyi. Yeye aligawa Loliondo na maCCM waliofuata wamefumbia macho. Sisi tutamtimua Mwarabu na kurejesha eneo kwa wananchi.
em
2015-09-28 12:07 GMT-04:00 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>:
Emma
so twiga na tembo ni kitu kilekile?
nilidhani unajua kuwa two wrong dont make one right.On Sep 28, 2015 5:09 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:Pia tuambiwe vipi twiga walipandishwa kwenye ndege ya jeshi la nchi ya Kiarabu.em2015-09-28 7:39 GMT-04:00 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya tembo
Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya tembo
IMEANDIKWA NA NAKAJUMO JAMES, HAI.
IMECHAPISHWA: 28 SEPTEMBA 2015
MAVUMBUO: 50
GAZETI LA HABARI LEO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Hai kimemtaka Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kujibu tuhuma zilizokuwa zikimkabili kuhusu gari alilokuwa akitumia kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 100 mwaka jana.
Katika tukio hilo lililojiri Machi 26, 2014 pembe hizo zilikutwa zikiwa zimebebwa na gari lenye namba za usajili STK 8394 lililokuwa likitumiwa na Sumaye. Gari hilo lilikamatwa eneo la Ulanga mkoani Morogoro ambapo katika majibu yake (Sumaye) alidai ni mchezo mchafu uliofanywa na mafisadi kuzuia ndoto zake za kugombea urais.
Mwenyekiti wa CCM wilayani Hai, Amini Uronu alisema hayo jana mjini hapa wakati akijibu baadhi ya madai yaliyotolewa na Sumaye ambaye kwa sasa amejitoa ndani ya CCM na kuungana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Katika madai ya Sumaye kwa wananchi katika viwanja vya Half London wilayani Hai, alitaka CCM iwaeleze Watanzania kuwa nani anafanya biashara ya pembe za ndovu.
"Viongozi wa Ukawa juzi, walifanya mikutano wilayani Hai na kufanya upotoshaji wa masuala mbalimbali, moja ya mambo Sumaye alihoji juu ya biashara ya pembe za ndovu…
Sasa sisi tunataka ajibu tuhuma baada ya gari lake kukutwa na pembe hizo, asiwahadae wananchi amtaje mmiliki wake," alisema Uronu.
Uronu alidai pia katika madai yake kwa wakati huo, Sumaye alimtaja Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa ambaye sasa ni mgombea wa urais kupitia Chadema, kuwa ni miongoni mwa waliofanya njama hizo.
"Pia Sumaye katika kauli zake alidai kuwa iwapo CCM ingemteua Lowassa kuwa mgombea urais kupitia chama hicho yeye angejitoa, leo anakuja kuwahadaa wananchi wakati sasa ndiyo anamnadi kuwa ni mtu mwadilifu na mchapakazi," alisema
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment