Muhingo, wote tunaamini utawala wa nyerere haukuwa na mawaa, yaani ulikuwa safi' nyerere alitawala miaka 25, lowasa na sumaye miaka 13, hivi kweli umasikini wetu ni wa miaka saba tu?
On Sep 27, 2015 6:39 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- Uko sahihi kuwa kazi ya Oposition ni kumonitor maeneo mamlaka inadolola. Basi ni wajibu na haki yao kuyaleta peupe mambo ambayo serikali haikufanya na kuwaonyesha kuwa wao wanaweza kufanya vizuri. Kinyume chake watadundwa kuwa hawajui tulipo na hivyo hawajui wanakotupeleka.
--------------------------------------------
On Sun, 9/27/15, ireneus kakuru <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Subject: RE: [wanabidii] WATU WASIOJUA TULIKOTOKA WANAJUA WANAKOTUPELEKA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, September 27, 2015, 6:33 PM
Utawala maana yake AMA tafsiri
yake nyingine Ni ufanisi. Governance means performance.
Katika mazingira yoyote yanayozingatia ufanisi WA kiutendaji
na zaidi kwenye multiparty politics, vyama vya upinzani
vinafanya kazi km watch dogs. Mara nyingi tunapoongelea
performance tusisahau critics. People and all interest
groups are not interested in where did you well. They always
press alarm in areas with poor or no performance at all!
Kwa hiyo moja ya function za
opposition parties Ni kumonitor (indirectly) performance of
the ruling party. And even if you have performed well, they
can nail you on that small portion of poor performance na
wakifanikiwa kukubana na wakawaalign wananchi ujue
umekwenda! So it's upon ruling parties to prove the
opposition wrong before wananchi!
So despite struggles for independence, peace
keeping, provision of essential needs and services to the
wananchi still there are much more to do. It's not
enough kusema tumefanya hivi na hivi na kuwashawishi
wananchi. Wao watawapima kwenye mapungufu Tu na vyama vya
upinzani hali kadhaliika vinasimamia pale penye mapungufu
Tu. Wakiwalobby wananchi basi chama tawala kimeliwa.
It needs a joint effort
kuwashawishi wananchi. Hawataelewa kuwa mmejenga km 7000 za
lami wakati wao wanahitaji Maji elimu na madawa so it's
up to watawala kuelezea priorities Ni kwa nini wamefanya au
wameanza na hiki na nini kitafuata ili wawe kwenye loop.
Tawala zetu Mara nyingi haziwashirikishi wananchi wake so ht
ile feedback mechanism haipo maana kinachofanywa so kile
wanachokitarajia. Wakati wanatarajia huduma kwa Matumaini
hawazipati kwa wakati na baadaye wanasikia viongozi wamekula
Pesa so wanakuwa pissed off na ht wanasahau ht hivi
vichache vilivyofanyika. Hichi ndio kinachofanyika.
Hi Ni Changamoto Sana na
zinapaswa zifanyiwe kazi kurudisha imani ya watu. Kumbuka
wao si malaika na wana muda mfupi Sana kusikiliza serikali
inasema nini na wapinzani wanasema nini. Ktk mazingira km
haya lolote linaweza kutokea. Busara na uelewa WA mtu mmoja
mmoja hautoshi Ni jukumu la wadau wore kuwakeep raia kwenye
feedback ya yanayojiri kwenye mustakabari WA maisha Yao ya
kila siku.
All the best
!From:
Jovias
Mwesiga
Sent:
9/27/2015 4:57
AM
To:
WANA
BIDII
Subject:
Re: [wanabidii] WATU WASIOJUA
TULIKOTOKA WANAJUA WANAKOTUPELEKA?
Nchi hii ya
wakulima na wafanyakazi. Hamuwezi kutuimbisha tu kuwa
mmefanya makubwa wakati mmetoka katika misingi ya muhimu ya
kuongoza nchi hii.
Mkulima ana hali gani? Mfanyakazi anaishije. Mengine
mnayajua. Sasa tusiwe watu wa kujifanya tunaipenda historia
ya nchi hii peke yetu wakati hatuitendei haki historia.
Mbaya zaidi tunajisifia umoja wa kitaifa huku
nchi ikipoteza kwa kasi utamaduni wa kitaifa. It is all
broken needs big fixation sasa tuondoleeni blah blah maana
mabingwa wa kutia hofu na kuongea yasiyotekelezeka
On Sep 26, 2015 5:03
PM, "'Mike Zunzu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Barakathomas,Wewe
ni mdogo wake na Baraka Obama nini, unawaponda kweli CCM na
serikali yao, demokrasia iwe bora zaidi ya hii tuliyofiia
ifike wapi?Kwenye nchi zisizojali
wananchi wake serikali isingelinyamaza mtu kukataa kwenda
uhojiwa na kamati ya maadili baada ya kupata mgawo wa pesa
za Escrow. Na pia mtu aliyekuwa akigawa hayo ma milioni
angelukuwa mtu wa kwanza kusughulikwa. Eti watu wanahoji kwa
nini pesa hizo walikuwa wapewa wale jamaa. Serikali hizo
hizo zisizojali watu zingelimuajibisha mfanyaka wa Ikulu
kutamba kuwa hata kama vijisenti vya million 80, anazo
zingine zaidi ya hazo.Hiyo ni mifano
michache tu tena inayohusu tukio moja, hapo inakuonyeha
jinsi demokrasia ilivyokomaa, ndiyo maana mtu amekuja na
kichwa cha habari, mnataka tumpe nchi yet mtu mwingine, je
anao uwezo wa kuachia pesa za nchi zikachotwa kirahisi
hivyo, kama hawezi ya nini
tubadilishe?
On Saturday, 26
September 2015, 22:37, Japhet Joseph <japhetjoseph@gmail.com>
wrote:
Sasa
madeni ya walimu hakuna tena!From:
barakathomson@rocketmail.com
Sent:
9/27/2015
0:11
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii] WATU WASIOJUA
TULIKOTOKA WANAJUA WANAKOTUPELEKA?
Serikali haijafanya kitu ni
kibwagizo tu. UKWELI NI KWAMBA KAMA SIYO CCM KUKUMBATIA
WEZI, WALA RUSHWA, MAFISADI, MAJANGILI NA WANALOLIINGIZA
TAIFA KWENYE MIKATABA MIBOVU MRADI WAPATE 10% TUSINGEKUWA NA
HALI HII. TUMEPITWA NA KENYA, RWANDA NK. Kwa uzembe wa
watawala
Ulisikia wapi
Raisi wa nchi anasamehe wezi wa mabilioni(EPA) kama si
Tanzania tu.
Sent from my
HTC
----- Reply message
-----
From: "'ELISA MUHINGO'
via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] WATU WASIOJUA TULIKOTOKA
WANAJUA WANAKOTUPELEKA?
Date: Sat, Sep 26,
2015 10:37
Kuna watu wanagombea uongozi
wa Taifa hili katika uchaguzi mkuu. Wanasema katika miaka 54
ya uhuru wetu hakuna kilichofanyika. Kwa hiyo wanataka
kulikomboa taifa hili. Katika ufunguzi wa kampeni za CCM
rais mstaafu aliwaita watu hao WAPUMBAVU. Ameshambuliwa kwa
neno hilo kana kwamba sio kweli. Nami sitaki kutoa msimamo
wangu katika hilo lakini ukweli mtu kutojua kuwa Tanzania
haiku kama ilivyokuwa 1961 ni tatizo kubwa sana. Kama siasa
ni kutaka kutumikia watu lazima mtu uwe unajua mazingira
uliyomo ili uweze kuwaongoza wenzako kutoka point 'C'
kwenda 'G'. Sasa kama kiongozi hajui mko wapi anawezaje
kuwapeleka 'G'? Siku ya siku akiwarudisha point 'B'
mtakataaje wakati mlimkubalia kuwa hakuna chochote? Kama
technicall speaking Mkapa hakukosea katika tamshi lake basi
kukubaliana na wanaosema miaka Hamsini hakuna kilichofanyika
ni kujiunga na wenye kipaji alichokitaja Mkapa.
Tanzania imeendelea. Kuna mambo mengi
yamefanyika. Kuna mambo mengi hayajafanyika. Ambayo
yamefanyika ni msingi wa kufanya ambayo hayajafanyika. Kwa
yale ambayo hayajafanyika kuna sababu mbili 1) Hayajafanyika
kwa sababu ya yale yaliyofanyika. Mfano tusingeweza kuanza
kuchimba gesi kabla ya kuigundua. 2) kwa sababu ya
uharibifu, uzembe nakadhalika. Ndiyo maana kuna uchaguzi.
Uchaguzi ambamo tunaweza kubadilisha viongozi au hata chama.
Kabla ya kufanya uchaguzi tunavichunguza vyama, hasa ilani
zake na baada ya hapo tunawachunguza wagombea ambao ni
watekelezaji wa ilani hizo. Hapo tutaweza kutoka tulipo
kwenda mbele, kama hatukukosea hapo.
Maisha
ya watanzania yamebadilika katika mambo mengi. Mengi sana.
Tanzania yenyewe imebadilika. Imebadilika sana. Taja jambo
lolote. Ukilipima jinsi lilivyokuwa 1961/4 na kulilinganisha
na sasa, utaona mabadiliko makubwa. Nitataja machache:
1) Tumetengeneza Tanzania. Zamani tulikuwa
makabira. Watawala wetu wakatuunga katika mataifa ambayo
tuliyakomboa kwa kuwaondoa watawala. Baadaye Tukaunganisha
Tanganyika na Zanzibar na kupata Tanzania. Kuna watu
wanahoji uhalali wa Tanzania lakini hawahoji uhalali wa
Tanganyika. Tofauti ni kuwa Tanganyika iliundwa na wakoloni
lakini Tanzania tumeiunda sisi watanzania.
=Tanganyika ilipatia uhuru wake mwaka 1961 Na
kuungana na Zanzibar 1964 na kuzaliwa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania.
2) Nakumbuka mwaka 1962 alikuja
Chifu wa eneo letu (Omukama Lutinwa) shuleni Katarabuga
Wilayani Missenyi. Wanafunzi tulijikusanya na kupiga magoti
katika uwanja na walimu wakajipanga kumsalimia wakiwa
wameinama. Salamu yenyewe inasema Uinulimwe muweza-Habuka
Lugaba. Inadhalilisha. Ukilinganisha na sasa ona kwenye
mitandao hii tunavyomchambua Kikwete. Hata kuandika neon
Kikwete bila kuweka neno Mheshimiwa, au Mtukufu, enzi hizo
ningekamatwa.
3) Myaka hiyo ya mwanzo wa
uhuru Kupiga mswaki asubuhi lilikuwa somo darasani. Kuvaa
nguo ya ndani kabla ya kaptura ilikuwa hadithi au watoto wa
matajiri na tulikuwa tunaonyeshana –fulani anavaa chupi.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema alivaa nguo akiwa na myaka 12
wakati akienda shule. Tulitembea kilomita 10 kuifuata shule
ya dhehebu letu na kuipita shule isiyo ya dhehebu letu. Ni
tofauti na sasa. Mswaki ni wazazi wanamfundisha mtoto
nyumbani, nk nk nk. Tukiziangalia idadi ya shule karibu kila
kijiji kina shule ya msingi, kila kata ina shule ya
sekondari kila wilaya ina chuo cha aina Fulani.
4) Mpaka 1980 nadhani; magazeti yalikuwa ni
UHURU na Daily News na mfanyakazi (Gazeti la NUTA). Gazeti
huru la kwanza lilikuwa Majira. Sasa tunachagua kusoma hili
na kuliacha lile. Radio pekee ilikuwa RTD (Radio Tanzania
Dar Es Salaam). Sasa karibu kila mkoa una vituo vitatu mpaka
vine.
5) Usafiri wa kawaida kutoka mathalan
Kijijini kwetu Bwanjai kuja Bukoba mjini kilomita 25 usafiri
ilikuwa ni kutembea kwa mguu au baiskeri.
6) Mpaka 1977 Mtu ukipanda gari Tukuyu asubuhi
ulikuwa ukifika Dar Es Salaam kesho yake saa nne. Hapo
mmetembea mchana kutwa na usiku kucha.
7)
Kuna tunaokumbuka wakati ule tunachagua kati ya Nyerere na
bure. Wabunge walikuwa wanatembea pamoja kwenye gari.
Wakifika kila mmoja anajieleza halafu wanaondoka wote. Mwaka
huu tunauamuzi kati ya watu wanane.
Hata kwa
hayo machache; yasiyo na yaliyo ya msingi nitamshangaa mtu
anayewakubalia wanaosema Vyama vilivyopigania uhuru
havijafanya lolote. Sitavishangaa vyama ila wanaovikubalia.
Sitavishangaa vyama wala viongozi wake Maana mkapa
alishalimaliza siku ya ufunguzi wa kampeni.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility
for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer
and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment