Kunraqdhi, nilimaanisha lang'itomoni...
BILLEGEYA, Mussa,
Twitter: @MBillegeya
Le Lundi 24 août 2015 16h43, "'BILLEGEYA, Mussa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> a écrit :
Elisa sina uhakika kama unakuwa unajua kuwa hayo unayoyaandika unayatuma hapa WANABIDII au yanajituma yenyewe kwa bahati mbaya??... please, nashawishika kuwa hapa sio mahala pake, na labda kwa kuwa wajumbe wengine hawakuambii unadhani uko sahihi.Yawezekana hawakwambii kwa kuwa wanadhani ni mambo madogo mno ambayo unapaswa kuyaona na kujizuia mwenyewe bila kuhitaji msaada wa mtu wa pembeni "kukubonyeza"...Hayo uliyoyaandika sidhani kama yanamsaidia yeyote (kwa maana ya chama au kundi) kwenye uchaguzi tulio nao, wala sidhani kama yana muharibia yeyote (yaani sidhani kama kuna mtu anaweza akayatumia kufanya maamuzi - ya kuichagua CCM au kuikataa ACT au UKAWA). Hata mtu mpumbavu sidhani kama anaweza akanufaika nayo!Nakushauri kama wewe ni mkereketwa wa Chama au kundi fulani, omba ushauri wa namna ya kutengeneza UJUMBE BORA wa kukiknadi chama chako, au basi hata ujumbe bora wa kuwavutia wasio kwenye chama chako bado!Maana ukweli ni kwamba maandishi kama hayo hapo juu hayawezi kumuongoza mtu yeyote kujiunga au kujiondoa upande wowote, infact kuna watu ambao wanaweza kuwa kwenye chama chako, lakini kwa kusoma kauli kama hizo wakaona AIBU hata kuwa Associated na mtu/watu wenye mawazo kama hayo!!Au basi MUHIMU ZAIDI, labda tafuta mahali pengine ambapo mawazo kama hayo yanaweza kuwa sahihi na yakapokelewa kwa shangwe/furaha, lakini naamini HAPA SIO MAHALI Pake.As much as kundi linahitaji kuwa active, lakini it is NOT WORTH IT inbox za watu kujazwa na mambo ambayo....BILLEGEYA, Mussa,Twitter: @MBillegeyaLe Lundi 24 août 2015 16h14, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> a écrit :
A day dreamSent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.From: "'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Mon, 24 Aug 2015 11:55:13 +0000 (UTC)To: ELISA MUHINGO' via Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: [wanabidii] Wapumbavu na Marofa bye byeEnyi wapumbavu na Malofa, jiandaeni kuhama nchi baada ya uchaguzi, vinginevyo, jelaHakika naiona Tanzania mpya baada ya uchaguzi wa Oktoba. Tanzania ijayo itakuwa mahala pabaya sana kuishi kwa wapumbavu na malofa.1. Kutakuwa na jela maalum kwa malofa na wapumbavu ambao siku zote wamekuwa wakituibia Watanzania. Mafisadi, majizi na mahujumu uchumi.2. Tanzania ijayo itaweka usawa baina ya wananchi. Hiyo itawanyima fursa mafisadi ambao wamekuwa wakitumia umaskini wetu kujitajirisha.3. Tanzania ijayo itakuwa ya viwanda. Wananchi wengi watakuwa busy na kazi hivyo itakuwa ngumu kwa wapumbavu na malofa kuwatumia Watanzania kama chambo kwenye maandamano.4. Elimu itakuwa bure kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Yale mafisadi yaliyotuibia yakajenga mashule yao yakawa yanatoza ada kubwa sasa hali itakuwa mbaya. Heshima ya shule za serikali itarudi tena.5. Enyi mafisadi, katika Tanzania ijayo, ili chama kiwe cha siasa lazima kiwe na sura ya kitaifa. Chama ambacho viongozi wake wakuu wanatoka kanda moja tu hakitapata nafasi ya kugombea6. Enyi wauza unga, Tanzania ijayo viwanja vya ndege na bandari vitakuwa havipitiki. Biashara yenu itaingia kirusi na hivyo hakutakuwa na fedha za kufadhili mafisadi kwenda Ikulu.7. Enyi malofa na wapumbavu, CCM kimezaliwa upya baada ya malofa, wapumbavu na wachawi kuhama chama. Waliobaki tunaserebuka na kucheza.8. Enyi mafisadi na malofa, mmekuwa mkihujumu sana hospitali za serikali kwa kujenga mafoka kando ya hospitali hizo. Mmekuwa mkihamisha dawa za serikali na kuuza kwenye maduka binafsi. Tanzania ijayo hakutakuwa na mwanya huo. Heshima ya hospitali za serikali itarudi tena.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment