Monday, 24 August 2015

Re: [wanabidii] Wapumbavu na Marofa bye bye

Sawa, kwa kuwa kura moja ya mtu mmoja inatisha!1

SB
--------------------------------------------
On Mon, 8/24/15, 'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Wapumbavu na Marofa bye bye
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 24, 2015, 4:05 PM

Mkabila, mdini

On Monday, August
24, 2015 2:58 PM, 'lang'itomoni lokomoi' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Enyi
wapumbavu na Malofa, jiandaeni kuhama nchi baada ya
uchaguzi, vinginevyo, jela

Hakika naiona Tanzania mpya baada ya
uchaguzi wa Oktoba. Tanzania ijayo itakuwa mahala pabaya
sana kuishi kwa
wapumbavu na malofa.

    1.
Kutakuwa na jela maalum kwa malofa na
wapumbavu ambao siku zote wamekuwa wakituibia Watanzania.
Mafisadi, majizi na
mahujumu uchumi.

    2.
Tanzania ijayo itaweka usawa baina ya
wananchi. Hiyo itawanyima fursa mafisadi ambao wamekuwa
wakitumia umaskini wetu
kujitajirisha.

    3.
Tanzania ijayo itakuwa ya viwanda.
Wananchi wengi watakuwa busy na kazi hivyo itakuwa ngumu kwa
wapumbavu na
malofa kuwatumia Watanzania kama chambo kwenye
maandamano.

    4.
Elimu itakuwa bure kuanzia shule ya
msingi mpaka sekondari. Yale mafisadi yaliyotuibia yakajenga
mashule yao yakawa
yanatoza ada kubwa sasa hali itakuwa mbaya. Heshima ya shule
za serikali
itarudi tena.

    5.
Enyi mafisadi, katika Tanzania ijayo,
ili chama kiwe cha siasa lazima kiwe na sura ya kitaifa.
Chama ambacho viongozi
wake wakuu wanatoka kanda moja tu hakitapata nafasi ya
kugombea

    6.
Enyi wauza unga, Tanzania ijayo viwanja
vya ndege na bandari vitakuwa havipitiki. Biashara yenu
itaingia kirusi na
hivyo hakutakuwa na fedha za kufadhili mafisadi kwenda
Ikulu.

    7.
Enyi malofa na wapumbavu, CCM kimezaliwa
upya baada ya malofa, wapumbavu na wachawi kuhama chama.
Waliobaki tunaserebuka
na kucheza.

    8.
Enyi mafisadi na malofa, mmekuwa
mkihujumu sana hospitali za serikali kwa kujenga mafoka
kando ya hospitali
hizo. Mmekuwa mkihamisha dawa za serikali na kuuza kwenye
maduka binafsi.
Tanzania ijayo hakutakuwa na mwanya huo. Heshima ya
hospitali za serikali
itarudi tena.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment