Tuesday, 25 August 2015

Re: [wanabidii] Wapumbavu na Marofa bye bye

Musa.
Nisaidie. Unamsema Elisa yupi? unasema kutokana na coment gani iliyotolewa na Elisa? Comment yako imetolewa 24 August 2015 04.41 PM na Comment yangu ya kwanza kuhusu topic hii nimeitoa 25 August 2015 11.48 am. Kwa hiyo nashindwa kujua ushauri huu unampa nani maana namuona Elisa mmoja humu ambaye ni mimi na haiwezekani ukanishauri bila kuwa omeona nilichokiandika. Au ulimaanisha mwingine si Elisa
Elisa
--------------------------------------------
On Mon, 8/24/15, 'BILLEGEYA, Mussa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Wapumbavu na Marofa bye bye
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 24, 2015, 4:41 PM

Elisa
sina uhakika kama unakuwa unajua kuwa hayo unayoyaandika
unayatuma hapa WANABIDII au yanajituma yenyewe kwa bahati
mbaya??... please, nashawishika kuwa hapa sio mahala pake,
na labda kwa kuwa wajumbe wengine hawakuambii unadhani uko
sahihi. 
Yawezekana
hawakwambii kwa kuwa wanadhani ni mambo madogo mno ambayo
unapaswa kuyaona na kujizuia mwenyewe bila kuhitaji msaada
wa mtu wa pembeni
"kukubonyeza"... 
Hayo
uliyoyaandika sidhani kama yanamsaidia yeyote (kwa maana ya
chama au kundi) kwenye uchaguzi tulio nao, wala sidhani kama
yana muharibia yeyote (yaani sidhani kama kuna mtu anaweza
akayatumia kufanya maamuzi - ya kuichagua CCM au kuikataa
ACT au UKAWA). Hata mtu mpumbavu sidhani kama anaweza
akanufaika nayo!
Nakushauri
kama wewe ni mkereketwa wa Chama au kundi fulani, omba
ushauri wa namna ya kutengeneza UJUMBE BORA wa kukiknadi
chama chako, au basi hata ujumbe bora wa kuwavutia wasio
kwenye chama chako bado!
Maana
ukweli ni kwamba maandishi kama hayo hapo juu hayawezi
kumuongoza mtu yeyote kujiunga au kujiondoa upande wowote,
infact kuna watu ambao wanaweza kuwa kwenye chama chako,
lakini kwa kusoma kauli kama hizo wakaona AIBU hata kuwa
Associated na mtu/watu wenye mawazo kama
hayo!!
Au basi
MUHIMU ZAIDI, labda tafuta mahali pengine ambapo mawazo kama
hayo yanaweza kuwa sahihi na yakapokelewa kwa
shangwe/furaha, lakini naamini HAPA SIO MAHALI
Pake.
As much
as kundi linahitaji kuwa active, lakini it is NOT WORTH IT
inbox za watu kujazwa na mambo
ambayo.... BILLEGEYA,
Mussa,Twitter:
@MBillegeya

Le Lundi 24 août
2015 16h14, fatma_elia via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> a écrit :

A day dream Sent from my
BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.From:
"'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 24 Aug 2015 11:55:13 +0000
(UTC)To: ELISA MUHINGO' via
Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Wapumbavu na Marofa
bye bye

Enyi
wapumbavu na Malofa, jiandaeni kuhama nchi baada ya
uchaguzi, vinginevyo, jela

    Hakika naiona Tanzania mpya baada ya
uchaguzi wa Oktoba. Tanzania ijayo itakuwa mahala pabaya
sana kuishi kwa
wapumbavu na malofa.

    1. Kutakuwa na jela maalum kwa malofa
na
wapumbavu ambao siku zote wamekuwa wakituibia Watanzania.
Mafisadi, majizi na
mahujumu uchumi.

    2. Tanzania ijayo itaweka usawa baina
ya
wananchi. Hiyo itawanyima fursa mafisadi ambao wamekuwa
wakitumia umaskini wetu
kujitajirisha.

    3. Tanzania ijayo itakuwa ya viwanda.
Wananchi wengi watakuwa busy na kazi hivyo itakuwa ngumu kwa
wapumbavu na
malofa kuwatumia Watanzania kama chambo kwenye
maandamano.

    4. Elimu itakuwa bure kuanzia shule
ya
msingi mpaka sekondari. Yale mafisadi yaliyotuibia yakajenga
mashule yao yakawa
yanatoza ada kubwa sasa hali itakuwa mbaya. Heshima ya shule
za serikali
itarudi tena.

    5. Enyi mafisadi, katika Tanzania
ijayo,
ili chama kiwe cha siasa lazima kiwe na sura ya kitaifa.
Chama ambacho viongozi
wake wakuu wanatoka kanda moja tu hakitapata nafasi ya
kugombea

    6. Enyi wauza unga, Tanzania ijayo
viwanja
vya ndege na bandari vitakuwa havipitiki. Biashara yenu
itaingia kirusi na
hivyo hakutakuwa na fedha za kufadhili mafisadi kwenda
Ikulu.

    7. Enyi malofa na wapumbavu, CCM
kimezaliwa
upya baada ya malofa, wapumbavu na wachawi kuhama chama.
Waliobaki tunaserebuka
na kucheza.

    8. Enyi mafisadi na malofa, mmekuwa
mkihujumu sana hospitali za serikali kwa kujenga mafoka
kando ya hospitali
hizo. Mmekuwa mkihamisha dawa za serikali na kuuza kwenye
maduka binafsi.
Tanzania ijayo hakutakuwa na mwanya huo. Heshima ya
hospitali za serikali
itarudi tena.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment