Monday, 24 August 2015

Re: [wanabidii] Ukawa na Makapi ya CCM

Wewe lofa kalale, saa hizi ni usiku tayari kwako!
Labda hilo neon la "pumbavu", neno "dhaifu" siyo tusi, ni sifa,  kama mtu unaposeama, mtu mzembe, mchapa kazi, wewe ungelipenda usifiwe kuwa u mchapa kazi wakati ambapo ukweli siyo hivyo, unapenda sifa za bandia? yaani wewe usiambiwe ukweli ulivyo inakuwa tusi? Kumbuka mtu akikukumbusha ulivyo mshukuru na kama u makini uanze kubadilika.


On Monday, 24 August 2015, 13:18, 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


UKAWA: you'r sowing a seed of your own destruction.

Kuwachukuwa hayo makapi makubwa mawili, ilihali Slaa na Lipumba wameukimbia ukawa, ndo kifo chenu. Watu makini kuwaelewa kwa sasa ni ngumu sana. Mtabaki na vijana wahuni tu na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari.

Lowassa na Sumaye wote walikuwa ndan ya mfumo wa Ccm kwa vipindi tofauti. Leo hii wanajiunga na nyie ili kuitoa Ccm madarakani na walete mabadiliko, yapi?

Hebu acheni kutudanganya cc co watoto.
Na istoshe, hao hao mnaowapokea ndo mlishawahi kuwashambulia kama wezi na mafisadi sugu, mbona mnakuwa wanafiki na wadhandiki wanene hvo!?

Hii ni hatari sana, mabadiliko ya kweli yangeletwa na "REAL UKAWA" hata bila hayo makapi na hapo ndo tungeweza kuwasapoti na kuwaelewa. Lakini kwa hayl, inaonesha na nyie pie hamko na nia njema na hii nchi, dhambi ya Slaa na Lipumba lazima iwatafune, Kumbukeni Lipumba ndo alimuwa mwasisi rasimi wa ukawa.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment