Monday, 17 August 2015

Re: [wanabidii] Sakata la Richmond: Lowassa kikombe hakiepukiki

YOTE YAMEPITA NA TAZAMA, YAMEKUWA MAPYA. UKIANZA KUFUKUA YA ZAMANI MBONA WENGI WATALIA?



On Tuesday, August 18, 2015 2:21 AM, 'Salha Bakari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Tutaongea na kuongea , na kuelekezana hapa jamvini,
Na pia tutasema vyote tunavovifahamu, walivyovifahamu, alivyovifahamu, jibu litabaki kuwa la tarehe 25.10.2015, tena litatoka kwa wengi ambao wala hawamo kwenye hii mitandao.
Hapa kila mmoja ana kura 1 tu.Hakuna ambaye atapiga na kura ya mwanawe, ya mkewe wala ya mumewe.Wote hao wataachania kwenye box la kura, hata kama watakaa pamoja kwenye foleni.Na itabaki kuwa siri ya anayepiga kura, ambayo italeta kula.

Sijui kama nasi ni wanasiasa, au la. Iwe  ndiyo au hapana, naona pia tusubiri mara magoli ya mkono, na wengine ya visigino.
Hizi kauli sizipendi sana,lakini ndo zimeshika kasi

Ewe tarehe 25.10.2015! Fika haraka, ili mambo yaishe!
Tunatabiri kuliko sheikh Yakhaya, na tunahukumu kuliko Mungu.
Nasali tu Mungu atusimamie watanzania, tusirithi ya nchi za wenzetu zote wanazotunguka.

Rgds
SB
--------------------------------------------
On Mon, 8/17/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Sakata la Richmond: Lowassa kikombe hakiepukiki
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, August 17, 2015, 9:11 PM

Sitaki kumjadili
Edo.
Najiuliza tu, kama ni wataalam walileta SHIDA,
kwa nini wasijumuishwe wao kwenye report ya Mwakyembe?
Kama  alihusishwa yeye, alifanya/amefanya nini
mpaka leo kuliweka hilo sawa?
Na pia kama aliwajibika kwa sababu ya wengine,
uzalendo wake uko wapi kama hakusema ni kina nani? Don't
tell me "aliiokoa serikali" kutoa kafara wenye
akili kwa lengo la kuokoa wapumbavu bado hainiingii akilini.
Ni kama kumkwepa MTU 1 na kuua 60!!
Logic hizi zinatusumbua Africans kuzitengeneza
na kuona matokeo, can we fail to put 2 + 2 together and get
4?? Kina Salva Kiir wana majeshi, wanayahudumia, kisilaha na
chakula, wanasafiri mpaka Addis Ababa na hawana kipato cha
kueleweka!!! Baaado tunashindwa kujua there is someone/guys
behind all this??
Ningefurahi mtu mwenye data sahihi akusanye
matukio yaliyotokea Wizara ya Nishati na Madini, Tanesco na
Bodi zao kabla ya mchakato, wakati wa mchakato na baada!!
Tutapata jibu!!
The only thing is "WE DONT KNOW HOW TO PUT
2 AND 2 TOGETHER"
that's all I can say.....





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment