Hivi jamani CCM ni nini/nani? Kama watu walifanya uhuni ndani ya CCm halafu watu hao wakahama kutoka CCM hatuwezi kujikuta tunaongea na CCM mahala tunapofikiri sipo CCM? Umakini unahitajika kutafsiri mambo. Mabadiliko yanaweza kutokea popote na hata ndani ya CCm inawezekana. Ninajua ugumu uliopo kwa CCM kufanya mabadiliko bila woga ndiyo maana imewachukua muda mwingi kufikia hapa tunapoona mabadiliko nao wameanza kwa kujivua magamba. TUSIYAOKOTE NA KUYABADILISHA RANGI
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MTAFARUKU NDANI YA UKAWA: NDEGE HAIWEZI KUSUIWA KUPAA???
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, August 6, 2015, 5:55 PM
Mfano
uliotoa wala hauna uhusiano wowote na mambo ya
siasa.Labda tu
tizama hii misemo miwila ya wanafilosopher, Chinese saying
" Thest time for planting a tree wa 20 years ago, the
next best time is now" Na huu wa mfilospher kwamba
"There is no traffic on mile ahead" Hao
wanaopukutika wananapunguza trafiki, kwanza ni hiyari yao
kuchukua slip road na kuicha motor way wanapunguza hiyo
traffic ya kuanza ku nogotiate nana atangulie, nani apite
kulia.
On Thursday, 6
August 2015, 15:03, 'ananilea nkya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Fadhili,
Kama umesikiliza you tube ambayo Lowassa
alikuwa anajibu maswali ya wanahabari siku alipojiunga
CHADEMA kuhusu ufisadi aliohusishwa nao--ufisadi wa
Richmond-- utabaini Lowassa alibambikizwa. Kibaya zaidi
wapinzani kwa kutokujua ukweli wote kama mimi nilivyokuwa
siujui ukweli wote hadi miaka minane baadaye, wapinzani
walimuona Lowassa kama fisadi wa Richmond. Kumbe ufisadi
wa Richmond ulikingiwa kifua na bosi wa Lowassa na
Lowassa alibeba jukumu la kujiuzulu kuokoa bosi wake na
serikali nzima isianguke na hivyo nchi kuingia gharama kubwa
kufanya uchaguzi. Fadhili bahati nzuri baadhi yetu hupenda
kujifunza baada ya kupata kweli na hivyo tunatumia ukweli
kubadilisha misimamo yetu. Maisha ni mabadiliko na
asiyekubali kubadilika mabadiliko yatambadilisha kwa lazima.
Lakini zaidi baadhi yetu tunajua fika kuwa CCM inaogopa
upinzani wenye nguvu maana inajua fika kuwa upinzani wenye
nguvu maan ayake ni umma kushika hatamu-wananchi kuwa na
madaraka ya
mwisho. Wananchi wakiwa na
madaraka ya mwisho watawala wachache watakosa jinsi ya
kujineemesha. Tusubiri.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MTAFARUKU NDANI YA UKAWA: NDEGE HAIWEZI KUSUIWA
KUPAA???
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 2:34 PM
Mama nkya ikileta
mambo ya kutumwa utakosea maana kuna watu mimi
nikiwemo
tunaamini lowasa katumwa na kuja
kuvuruga ndege ya ukawa
ambayo watanzania
waliiamini.
Kwanini hamtaki kuukubali
ukweli kilichoiua ukawa ni
kuwapokea
mafisadi
On Aug 6, 2015 4:30 PM,
"'ananilea nkya' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Sasa
ndo upinzani wa kweli unaanza kuonekana
Tanzania. Waliokuwa
upinzani kwa agenda zao
au za kutumwa, wengi ataanza kubagwa
manyanga. Tusubiri.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, fadhil
fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii]
MTAFARUKU NDANI YA UKAWA: NDEGE
HAIWEZI
KUSUIWA KUPAA???
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6,
2015, 2:11 PM
Mzee muhingo sikio la
kufa halisikii dawa wacha
wafu wawazike wafu wao
On Aug 6, 2015 4:03 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mara ya
mwisho ndege aina ya Concord iliporuka
ilianguka na
kuua
watu wote.
Ilikuwa
hivi:
ndege ilianza vizuri kujipanga. Polepole
ikaanza
mwendo.
Mwasiliano na mnara wa kuongozea ndege
yalikuwa mazuri.
ndege
ikashika mwendo. ukaongezeka na kufikia hatua
ambayo
haiwezekani ndege kutoruka ndipo rubani akagundua kuwa
ndege
ina
hitilafu kwenye engine. Akautaarifu mnara wa
kuongezea
na kuwa takeof was ireversible (huwezi kuizuia tenda
ndege
kupaa angani) Rubani akaambiwa ajitahidi kutua uwanja
ulio
karibu maana dege hilo lilikuwa linatimka usiome.
Likaanguka
kabla ya kuufikia uwanja wa mbele. Iligundua hitilafu
iliwa
uwanjani lakini kwa vyovyoite vile lazima iinuke.
Majuzi humu ulianza kutoka ushahidi wa
riipoti ya
mwakyembe.
Nilifikir sasa UKAWA itaitisha vikao vya
haraka
kuijadili
ripoti yote ambayo kwa kutonesha kidogo
tulikumbuka
ambayo
yatatoka baadaye. Huwezi kuendelea na Lowasa
ukijua
hayo
labda akina Mollel ambao walikuwa
wananyonya.
Ha! vikao vikasendelea
akakabidhiwa form ya kugombea.
Sasa
Slaa haonekani katika UKAWA. Lipumba kajitoa.
najiuliza ishara hizi zinaonekana?? bado
wanafikiri
hili
dege litaondoka uwanjani lirue uwanja
ufuatao na
hitilafu
zote hizi??? Kwa sababu bado Tume ya
uchaguzi
haijatangaza
wagombea bado tu UKAWA hakuna mwenye kichwa
akawaambia
wenzake kuwa
hatufiki popote??? Au wameishatumia fedha
walizo naniii?
I
believe the take off is reversible to my thinking
UKAWA
need to swaloow it
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma
Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
>
kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or
her
postings,
and
hence
> statements and facts must be presented
responsibly.
Your
> continued
membership signifies that you agree to
this
> disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are
subscribed
to
the
> Google Groups
"Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from
this group and stop
receiving
emails
> from it, send
an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more
options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma
Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility for
any legal consequences of his or
her
postings, and hence statements and facts
must be
presented
responsibly. Your continued membership
signifies that
you
agree to this disclaimer and pledge to
abide by our
Rules
and Guidelines.
>---
>You received this
message because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must
be presented responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment