Thursday, 6 August 2015

Re: [wanabidii] Mbowe ulikosea sana kwa kudhani Sharif Hamad ndio kila kitu, Bila Liipumba Tanzania bara hamna Cuf

Mahala fulani nimeongelea CUF imara visiwani na dhaifu Bara -------. Wenyekumbukumbu za nyuma tumkumbuke Mapalala na Maalim Seif wakianzia chama gani nimesahau Kuanzia hapo tuone Lipumba katokaje CUF Historia ni mwalimu mzuri sana jamani
Baada ya hapo tutaweja kujua kijacho katika coctail hii: Strong CUF in Zanzibar and weak CUF in Tanzania mainland + Strong CDM Nainland and Weak CDM in Zanzibar leading a UKAWA government = (equals) WHAT a) strong United republic b) broken United republic

Hii ni hesabu ya darasa la sita fanyeni haraka
--------------------------------------------
On Fri, 8/7/15, 'LINGONET Lindi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Mbowe ulikosea sana kwa kudhani Sharif Hamad ndio kila kitu, Bila Liipumba Tanzania bara hamna Cuf
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>, "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, August 7, 2015, 7:47 AM

Aliyempeleka lipumba cuf mwaka 95 kwa lengo la
kuipinga ccm baada ya kukatwa leo ametumia turufu hiyo
kuiokoa ccm baada kuona upinzani alioshiriki kuunda unafanya
kweli,kwa bahati mahusiano ya ukawa sio baina ya watu ni
makubaliano ya kitaasisi ndio maana jusa amesema cuf bado
ipo na ipo ndani ya ukawa

Sent
from Yahoo Mail on Android From:"'Mashaka
Makana' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:Fri, Aug 7, 2015 at 7:16
Subject:Re: [wanabidii] Mbowe ulikosea
sana kwa kudhani Sharif Hamad ndio kila kitu, Bila Liipumba
Tanzania bara hamna Cuf

Nasikia
UKAWA haitambuliki na Msajiri wa vyama vya siasa wala tume
ya uchaguzi na hivyo hakuna mgombea atakaesimama kwa tiketi
ya UKAWA. Kama hivyo ndivyo ni chama husika ndiyo
kinasimamisha mgombea na mwishowe kupata ruzuku kutokana na
ushiriki wa chama icho ktk kugombea na hatimae idadi ya
wabunge. Sasa baada ya uchaguzi ni wazi vyama ambavyo
havikusimamisha wagombea havitapata ruzuku hapo ndiyo tatizo
na pendine kupelekea hivyo vyama kufa! Si umeona mgombea
mwenza wa Chadema imebidi ahame chama hata kama
hakupenda!

Pia
kutakuwa na tatizo wakati wa kupiga kura kwa baadhi ya
wapiga kura watakao kosa elimu ya kumpigia mgombea kwa jina
lake na
siyo chama kama ilivyozoeleka. Hapo napo
paangaliwe.........

From: 'mohamed
mnzava' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent: Friday,
August 7, 2015 6:42 AM
Subject: Re:
[wanabidii] Mbowe ulikosea sana kwa kudhani Sharif Hamad
ndio kila kitu, Bila Liipumba Tanzania bara hamna Cuf

Ni
vizuri
tusitoke nje ya hoja iliyopo ktk kicha cha
HabariNaamini
kabisa kuwa mojawapo ya mbinu kubwa anazotumia Lowassa kwa
kipindi kirefu tangu alipokuwa CCM na kwa sasa ndani ya
CHADEMA nk.  ni kuwatafuta watu Dhaifu kimaadili,
kiuchumi na kimalengo ndani ya vyama na kuwatumia kwa siri
ili kufikia hatua mbalimbali ktk malengo yake ya kisiasa na
kibinafsi . . .
. . naamini kabisa kuwa Lowassa anatumia  sera zenye mbinu
za kugawanya watu ili apate nafasi ya kutawala ("divide
and rule"). Na hii ni hatari sana kwa sababu inaleta na
kujenga makundi hasimu na upungufu wa Imani na Amani kokote
pale
inapotumika

On Thursday, August
6, 2015 11:26 PM, 'Lesian Mollel' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Nachoona lipumba kalipuka sana,
mbona mwenzie slaa kakubali ushaur wa wazeeeeeee
Nadhan kukwazana na katibu mkuu wake nidio
issue kubwa kwa wale wasiojua kama kina
muhingo wanapenda kushabikia ukawa kudhoofika.....ni hv
kipind flan magazet yalirepork kua kua chairman lipumba na
sharif walikua ktk msuguano mkali over pesa za ruzuku sharif
akidai kua ruzuk yote iende znzbr ikafanye campaign na bar
prof atumke kutoka hks own source......hapo ndio suguano
ulipoanzia......hili la prof kusingizia ukawa ni uongo na
hapo ndio napowaonaga viongozi wakisiasa kua ni wasanii na
wanafimi wakubwa........ukawa wkt wap ndio waliopioneer na
kuanza kumshangaa slaaa kwann ajitehpngeee
Imumbukwe huyu jamaa alishaanza kucampaign
mapema baada ya kujitangaz a kua anago bea kwa tiket ya
cuf......nae ni mpenda show, kufa ya ziara ya kujinadi
ilhali anajua hata akisimama na mimi niwe ccm
nashinda........aaache unafiki kama kajkuzuru mungu ambarimi
atuachie cc zoezi litafanimiwa tu....cuf wako wengi bila
lipumba cuf ipo na ukawa tjtasonga ,mbeleee
Lesian

Emmanuel Muganda
<emuganda@gmail.com> wrote:

Msisahau kuwa Lipumba alikuwa wa
kwanza kutangaza kuwa angegombea urais tena mwaka
huu.emj
2015-08-06 8:17 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Fadhil
huenda uko sawa. Huenda pia hauko sawa. hawa wawili wanaweza
kuwa na agenda na hakuna kitu kizuri kama kuona mambo
yaliyofungiwa katika ukuta wa zege. angalia hii
asumption.

1) Kama CUF Tanzania bara bila Lipumba hakuna CUF. na

2) Kama Lengo ni kuwa na Tanzania bara iliyotengana na
Tanzania Visiwani.

3) Njia bora na nyepesi kufikia lengo hilo (wazushi watasema
kuvunja muungano) ni hivo basi ni Strong Chadema bara na
Weak CHADEMA Visiwani plus Ctrong CUF Visiwani na Weak (or
no) CUF bara equals no muungano.

Fadhil kama katika strong room ya Mbowe na Sharif kuna
hilobado unafikiri Mbowe kakosea??

--------------------------------------------

On Thu, 8/6/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] Mbowe ulikosea sana kwa kudhani
Sharif Hamad ndio kila kitu, Bila Liipumba Tanzania bara
hamna Cuf

 To: "'Hildegarda Kiwasila' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Thursday, August 6, 2015, 1:20 PM

 Mbowe

 ulikosea sana kwa kudhani Sharif Hamad ndio kila kitu,
Bila

 Liipumba Tanzania bara hamna Cuf

ukizungumzia Cuf Tanzania bara huwezi kuacha kumtaja

 prof. Lipumba,

  bila Lipumba hakuna Cuf Tanzania bara, mipaka ya
Sharif

 Hamad ni kule

 kule kisiwani na sio huku Tanzania Bara.

  Chadema na Mbowe mlikose sana kumrubuni Sharif Hamad
kwa

 kuona Lipumba

 si chochote si lolote, tamaa yenu, na uzandiki leo

 mmeisambaratisha

 Ukawa.

 Namuonea huruma Lowasa bora angetuli ccm lakini
amekwenda

 kuusambaratisha upinzani uliokuwa imara na wenye nguvu,

 Lowasa huoni

 aibu unakaribishwa ndani ya nyumba halafu wenye nyumba

 wanagombana

 uliona wapi mpangaji akawa na nguvu kuliko mwenye
nyumba.

 Nampongeza Lipumba kwa uamuzi mgumu wa kukataa kubakwa
kwa

 demokrasia Nchini Kwetu

 Lowasa umekosea sana na utajuta maishani mwako
watanzania

 hatutakusamehe

  kwa kuua upinzani na Ukawa  yetu, nakuhakikishia october
si

 mbali

 utajua  na kujua kuwa pesa si kila kitu na Dunia hadaa
na

 ulimwengu

 Shujaa

 tukutane october

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment